Search results

  1. Y

    Diploma ya shule ya msingi

    Je mshahara wa diploma ya shule ya msingi na sekondari mshahara unalingana? naomba mnisaidie kama hujui ni bora ukae kimya kuliko kunidanganya. Maana nataka kufanya maamzi ya kipi ni some.
  2. Y

    Tathimini: NCCR-Mageuzi vs ACT-Wazalendo

    Act Wazalendo ina Mbunge 1 Zitto Kabwe na madiwani takriban 34 nchi nzima, kumbuka chama hiki ni kimpya hakikuwahi kuwa na mbunge hivyo hawajapoteza chochote kwenye uchaguzi huu. NCCR-mageuzi walikuwa na wabunge 4 kule mkoani Kigoma na mmoja wa kuteuliwa(James Mbatia) baada ya uchaguzi wamepata...
  3. Y

    Hongera Zitto Zuberi Kabwe

    Umechukua viti vyote 12 vya udiwani umebeba. Umedhihakiwa sana. sasa kachape kazi. Ndio maana wahenga walisema kuwa MUNGU SI ATHUMANI. MUNGU ANGEKUWA BINADAMU TUNGEANGAMIA WOTE. Hongera.
  4. Y

    CCM mfupa mgumu uliomshinda CHADEMA, karibu ACT wazalendo

    Poleni sana UKAWA, CCM imedhihirisha kuwa ni mfupa mgumu usioweza kutafunwa na CHADEMA. ACT wazalendo karibuni mjaribu kutafuna fupa hili gumu! Lakin ni gumu kweli kweli, wakati wa kulitafuna mwangalie sana msije mkawa vibogoyo kama CHADEMA.
  5. Y

    mwalimu njoo arusha tupadilishane kituo cha kazi.

    njoo arusha na mm nije kigoma manispaa. idara sec. 079039524
  6. Y

    Ombi: ACT-Wazalendo jipangeni kuchukua jimbo la Ubungo

    UKAWA walikuwa na nguvu za kutosha jimbo la Ubungo lakini kwa sasa mgombea wa CUF na wa CHADEMA wote wanaendekea na kampeni kitu kitakacho sababisha kugawanywa kwa kura na hatimaye kukosa ushindi. Ombi langu kwa ACT-Wazalendo jengeni hoja mlichukue jimbo hilo maana UKAWA wamekiuka misingi ya...
  7. Y

    Mwalimu wa kuja Arusha tubadilishane kituo cha kazi

    njoo arusha na mimi nije morogoro au tanga. idara secondary. 0755707867
  8. Y

    zitto

    act wazalendo mkoa wa kigoma ni balaa! kazi ya zitto imeonekana! hakika kwa utafiti niliofanya lazima zitto atakuwa mbunge kigoma mjini. najua mahasimu wake mtabisha lakini ukweli ndo huo! asipo shinda kwa jinsi navyoona upepo wa kisiasa ulivyo hapa kigoma mjini, mimi ntatembea uchi kutoka ujiji...
  9. Y

    Zitto amejipanga, atashinda Jimbo la Kigoma Mjini

    act wazalendo mkoa wa kigoma ni balaa! kazi ya zitto imeonekana! hakika kwa utafiti niliofanya lazima zitto atakuwa mbunge kigoma mjini. najua mahasimu wake mtabisha lakini ukweli ndo huo! asipo sinda kwa jinsi navyoona upepo wa kisiasa ulivyo hapa kigoma mjini, mimi ntatembea uchi kutoka ujiji...
  10. Y

    mungu ndo mkuu wa siasa.

    jina la bwana lihimidiwe. Nimeona nije niwajuze kuhusu ukuu wa Mungu katika siasa. enyi watanzania na wanasiasa mungu ndo muumba wa kila kitu madini, ardhi, mito, mawe, na wewe binadamu pia. utajiri wote wa niwake mali, hata uwezo wa kufikiri pia. si ukawa wala ccm wawezao kutuamulia raisi wa...
  11. Y

    mwalimu njoo tubadilishane kituo cha kazi.

    njoo arusha na mimi nije tanga au morogoro. idara secondary.0755707867
  12. Y

    mwalimu njoo arusha tubadilishane kituo cha kazi

    njoo arusha na mimi nije tanga au morogoro. idara secondary. 0755707867
  13. Y

    mwalimu tubadilishane kituo cha kazi

    njoo arusha na mm nije tanga au morogoro. idara secondary. 0755707867
  14. Y

    mwalimu njoo arusha tubadilishane kituo cha kazi

    njoo arusha na mm nije morogoro au tanga. idara secondary. 0755707867
  15. Y

    mwalimu njoo arusha tubadilishane kituo cha kazi.

    njoo arusha na Mimi nije morogoro au tanga. idara secondary. 0755707867
  16. Y

    njoo arusha tubadilishane kituo cha kazi.

    njoo arusha na mm nije morogoro au tanga.idara ya secondary 0755707867
  17. Y

    mwalimu njoo arusha tubadilishane kituo cha kazi

    njoo arusha na mm nije tanga au morogoro. idara secondary. 0755707867
  18. Y

    mwalimu wa kubadilishananaye kituo cha kazi.

    njoo arusha na Mimi nije morogoro au tanga. idara secondary. 0755707867
  19. Y

    zitto kabwe: usimwamini mwanasiasa.

    baada ya pro.lipumba kuididimiza ukawa nimeamini maneno ya ndugu yangu zitto. looh! nini maoni yako juu ya lipumba?
  20. Y

    Mke wangu anagombea ubunge, sina amani

    VIpi mkeo akiwa Mbunge na kuwa anatolewa out tena nje ya nchi na vigogo na kutoa penzi. Utavumiliana naye? Maana mke wangu anagombea, nifanyeje?
Back
Top Bottom