Search results

  1. ibra87

    Nimeshindwa kuuthibiti wivu

    INGAWA MIMI MWENYEWE NI MSHAURI WA MAPENZI NA MAHUSIANO LAKINI HILI LIMENISHINDA. NAOMBA MNISHAURI. Ndugu zangu na marafiki zangu, Naandika hili nikihitaji ushauri wa kina, ushauri ambao utaniondoa katika kadhia hili. Naomba msiangalie mimi ni nani, naomba msiangalie kile ninachokifanya bali...
  2. ibra87

    Riwaya: Nitakupata tu

    [14:58, 18/02/2017] Ibrahim Masimba: NITAKUPA TU SEHEMU YA 001 Mwandishi Ibrahim Masimba ********* Alihisi ilikuwa sauti ya mwanamke, sauti ambayo mwanzo alidhani haikuwa ya mwanamke kutoka na usiku ule kuwa vigumu. Lakini sauti ile bado ilikuwa ikisikika katika ngoma za masikio yake. Sauti...
  3. ibra87

    Dada zangu jitazameni upya, thamani yenu ni kubwa

    Wasalaam wanajukwa.. Ni kipindi kirefu sijajitokeza hapa kuandika kitu chochote kinachohusu mapenzi, uhusiano na urafiki. Sio kwamba nilikuwa siingii na kusoma, la hasha, nilikuwa nikiingia nakusoma kama kawaida na kuchangia kwa uchache sana. Ndugu zangu sitaki kuongelea kilichonitokea mwishoni...
  4. ibra87

    Riwaya: Mateso yangu

    MATESO YANGU SEHEMU YA 001 Ilikuwa 08/09/2007 nikiwa nasoma chuo cha Elimu ya Biashara (college of business education) nikiwa ndio kwanza nauanza mwaka wa kwanza nikisomea Utawala wa Biashara Yaani Business Administration. Ulikuwa Usiku ambao sitausahau katika maisha yangu. Usiku ambao...
  5. ibra87

    Scarf bora kuwahi kutokea zinauzwa

  6. ibra87

    Riwaya: Mke wa Rais

    MKE WA RAIS SEHEMU YA 002 Mwanaume akageuka kumtazama mwanamke akashangaa kukutana na mdomo wa bastola, bastola ambayo ilikuwa mikononi kwa mwanamke Yule. Macho Yalikuwa mekundu kwa Hasira.. Bastola Ikakohoa mara Mbili Risasi mbele Zikapenya Katika Paji la Uso la Mwanaume Yule. Ubongo Ukaruka...
  7. ibra87

    Msaada: Najua natembea na changudoa, lakini kumuacha siwezi

    Wasalaam wakuu, Nikama miezi mitatu imepita tokea nilipoanzisha mahusiano na binti mmoja hivi mwenyeji wa mkoani Kilimanjaro. Ni binti mzuri wa sura, mweupe wa rangi na mwenye macho sahihi ya kike. Uhusiano wangu na binti ulianza pale alipohamia kwenye nyumba ninayoishi mimi akitokea maeneo ya...
  8. ibra87

    Jitathimini kwanza

    Usiache kuchagua kitakacho kupa maisha mazuri kwa maisha yako yote, kwa kukimbilia mazuri ya muda mfupi. Kuwa makini sana
  9. ibra87

    Happy birthday @nameless @girl

    kwa heshima na upendo wa moyo wangu.. naomba kujitokeza mbele ya jukwaa hili kwa sababu maalum. sababu ambayo imenifanya nihisi nimwenye kupaswa kuifanya. Naomba mnisaidie kumuwish heri ya kuzaliwa Mdogo wenu, Dada Yenu na Shemeji/wifi yenu Nameless girl. Mungu Akubariki na kukupa kila...
  10. ibra87

    Hivi inawezekana kuishi na mwanamke mmoja toka kuzaliwa mpaka kufa?

    Wasalaam wakuu habari za masiku tele? Bila shaka muwazima wa afya kama kawaida. wakuu na wanajf wote kwa ujumla nina swali la kuwauliza. swali hili nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu nikawa nakosa majibu sahihi. Sasa naomba leo nililete kwenu ili tusaidiane kupata jibu ama majibu sahihi...
  11. ibra87

    Wanachokifanya Polisi Kituo cha Kigamboni ni Udhalilishaji kwa Wanawake

    Kitendo cha polisi kituo cha kigamboni kuwakamata wanawake wanaouza miili yao mchana kweupe ni udhalilishaji ambao unapaswa kukemewa kwa nguvu zote. Kuwafukuza Wanawake mchana kweupe wakiwa uchi wa mnyama katikati ya MITAA sio sahihi kabisa. Tunajua ni biashara ambayo inapingwa kila kona lakini...
  12. ibra87

    Ukiudharau moshi unaofuka, basi jiandae kuzima moto

    Habari za jioni wakuu, Jaribu kumtazama mwanamke ama mwanamume uliyenae kwa umakini. Mtizame anavyohangaika sababu ya mapenzi mazito aliyonayo juu yako. Muangalie anapoamka asubuhi akikiacha kitanda tena akiwa bado na usingizi mzito. Lakini kwa kuitambua thamani yako na mahitaji muhimu katika...
  13. ibra87

    Jiondoe kwenye kifungo kisicho na ulazima

    Wasalaam wakuu, Ni matumaini yangu kuwa kuna baadhi yetu tupo katika mahusiano. Mahusiano yenye mambo mengi kama kukera, kuliza na kuumiza. Wengi walio katika mahusiano wamefika walipo wakipita katika mataizo mpaka kufikia hapa walipo. Mapito ya wengi waliopita ni mapito ambayo yaliwaacha na...
  14. ibra87

    Ndoto ya mapenzi mazito kati yangu na Valentine inaninyima usingizi

    Wakuu, Nimeshindwa kupata usingizi mpaka muda huu kutokana na ndoto inayonijia kila wakati kuhusu uwepo wangu katika kina cha Mahaba na mtoto wa Kisukuma Valentine. Kinachonishangaza ndoto hii huwa inajirudia kila pale ninapopitiwa na usingizi hata kama ni asubuhi. mshana jr hembu nidadavulie...
  15. ibra87

    Kipi kinakupa amani kwamba unapendwa na uliyenaye?

    Najua kila mmoja wetu yupo katika mahusiano. Mahusiano ambayo licha ya kuwa na furaha ndani yake lakini vile vile huwa kuna maumivu na mateso makali sana. Wengi ni waongo, wasaliti na hawajali kile ambacho kipo ndani ya Moyo wa yule aliyenae. Wengi wamekuwa wakionyesha mapenzi ya dhati kwa...
  16. ibra87

    mmenichosha

    mmenichosha na Huu ujinga wenu wa kutoithamini miili yenu... Mwanamke lazima ujithamini na Kujiheshimu. Hivi huwa mnajisikiaje kugawa papuchi bila mpangilio
  17. ibra87

    Sina Hamu Ya Tendo La Ndoa.

    Wasalaam wana Jf...... Sijui kama hili ni tatizo ama ni hali ambayo inanitokea kutokana na mengi mabaya niliopitia katika mahusiano yangu. Ni kweli mimi ni mwanaume lijali na kunawakati huwa nahitaji kuwa na mpenzi. Lakini nina tatizo kubwa. Tatizo lenyewe lilianza kipindi...
  18. ibra87

    Mikadi Beach Sio Salama Siku Za Sikukuu

    Kabari, uporaji na Kila aina Ya Uhuni unapatikana pale siku Ya Leo. Dada Zangu mliopanga kwenda pale kuweni makini na Simu Zenu, Mikoba Yenu na Hata nguo Zenu. Madada mnaokuja na Watoto Wadogo naomba sana tena sana muwe mnaondoka mapema kabla Ya giza kuingia na Hili ni Angalizo kwasababu...
  19. ibra87

    Asanteni wana MMU

    Wasalaam wana MMU! Ninayaandika haya nikiwa ni mwenye furaha iliyopitiliza.Furaha Ambayo imenifanya nije hapa kuja kuwashukuru wana mmu walioamua kuacha kazi zao na kuja kuungana na mimi kunisapoti katika siku yangu ya kuzaliwa. Sikutegemea wala kuamini kile ambacho mlikifanya jana kwa ajili...
  20. ibra87

    Happy birthday ibra87

    Namshukuru Mungu kwa Kunifikisha Siku Ya leo. Siku ambayo ni maalum kwangu. Siku Ambayo kwa mapenzi Yake yeye Mwenyezi Mungu Ibra87 natimiza Miaka Kadhaa. Ninayofuraha kubwa kufika Siku Ya leo.. Siku Ambayo niwengi walihitaji kufika Lakini Kwa Mapenzi Ya Mungu Hawakufanikiwa Kuiona.. Ni...
Back
Top Bottom