Search results

  1. N

    Natafuta Importer wa Ream Paper

    Wadau, Kama bei iko vizuri, Nakaka carton 250 kwa mwezi.
  2. N

    Natafuta Importer wa Ream Paper

    Wadau, mwenye link ya hii huduma tafadhali saidia. Natafuta importer wa ream papers aina ya Mond Number 1, Dolphin, Nopa au Mond Ratatrim. Nimejaribu kucheck na watu wa kariakoo lakini hawanipi link ya kueleweka.
  3. N

    Nataka kujiunga na kifurushi cha mwezi cha Tigo

    Kwa yeyote anayejua kifurushi kizuri cha Tigo cha mwezi: tafadhali nisaidie. Nipige namba gani?
  4. N

    Msaada: Nashindwa kutoa pesa kutoka kwenye simu yangu kwa Airtel Money

    Wapendwa, hebu nisaidieni. Nina wiki mbili sasa nashindwa kutoa pesa kutoka kwenye simu yangu kwa njia ya Airtel Money. Hata kuitoa kwa njia ya kuongeza salio imeshindikana. Inanipa ujumbe ufuatao CONNECTION FAILED. TRY AGAIN LATER.
  5. N

    Sababu za kutonunua Kazi za Wasanii waliojiunga na CCM

    Binafsi sioni tatizo wasanii kushabikia, kushiriki au hata kuipigia debe CCM. Ni haki yao kama raia wa tanzania. Na kama wamewezeshwa kwenda mbeya bado si tatizo kama ni wachama wa CCM. Na hata kama si wanachama wa CCM basi wamelipwa ujira wao kwa kuipigia debe CCM. Narudia tena ni haki yao...
  6. N

    wakuu wapi ntapata daktari makini wa saikolojia

    Mimi pia nahitaji daktari wa saikolojia. Tatizo langu ni jinsi ya kumanage hofu (fear) za mara kwa mara. Limekuwa likinisumbua kidogo lakini nahisi linaongezeka. Tafadhali kwa anayemfahamu mwanasaikolojia makini na hospitali anayopatikana, tusaidieni.
  7. N

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Angalia sasa, wanaonesha. Ila Rais hajaingia
  8. N

    Dk kitila mkumbo akataliwa na kuaibishwa vibaya iramba.

    Nakuunga mkono Naipuli. Yawezekana hata mtoa mada kasikia tu. Ni muhimu kupata maelezo ya pande zote mbili kabla ya kutoa hitimisho.
  9. N

    Kigoma: CHADEMA watoa tamko kali, waapa kuendelea kumuunga mkono Zitto

    Kwa ile ripoti ya siri iliyosambazwa humu jf hakuna namna zitto lazima aondoke chadema kwa faida ya chama.
  10. N

    Serikali 3 haziepukiki

    Ukweli ni kwamba kuendesha serikali 3 ni gharama kubwa ambayo tunataka kuikubali ili kulinda muungano. Tungeweza kubaki na serikali 2 zilizoboreshwa maana kusema kweli wanaozungumzia muundo wa serikali ni wazanzibari na si watanganyika. Watanganyika wanazungumza kuhusu maadili ya viongozi na...
  11. N

    Kafulila si mbunge wa mahakama tena

    Deka nakubaliana na wewe lkn ili CDM iendelee kubaki na hiyo hadhi yake shart ijitathmini na irekebishe mapungufu yake ambayo kwa sasa yanaonekana dhahiri.
  12. N

    Kafulila si mbunge wa mahakama tena

    Hata kama ni kama ni kauka niuvae lakini mwenyekiti wao Mbatia toka aingie bungeni ameonesha umakini wa hali ya juu na amepandisha hadhi ya chama chake. Nawapongeza kwa kweli.
  13. N

    Dr. Lwaitama amekuwa Prof. lini?

    Ninachojua mimi huyu bwana alistaafu UDSM akiwa Dr. Leo nimemuona kupitia Star TV akitambulishwa kama Professor. Kwa wenye taarifa anafanya kazi wapi siku hizi? Kama kweli kawa Professor nampongeza sana. Ukweli ni kwa Lwaitama na Baregu ni watu ambao hunikosha sana na uwezo wao wa kuchambua...
  14. N

    Kafulila si mbunge wa mahakama tena

    Kwa mujibu ya taarifa ya habari ya Star TV leo saa mbili usiku, uongozi wa NCCR Mageuzi umetangaza kuwa Kafulila ni mwanachama halali wa chama hicho na si mbunge wa mahakama tena.Imeelezwa kwamba mgogoro umesuluhishwa nje ya mahakama My Take: CHADEMA wanalo la kujifunza hapa kuhusiana na...
  15. N

    Tunatengeneza Mfumo wa Kusafisha Maji Taka

    Kwa wale wote mnaosumbuliwa na tatizo la Majitaka, tuna suluhisho sahihi kwa ajili yenu. Iwe ni mtu binafsi, shule, kiwanda ama taasisi yoyote, tunaweza kukufikia na kukuhudumia. Tunatumia teknolojia mbalimbali mojawapo ikiwa Constructed Wetland Technology ambayo inatumia mfumo wa asili. Pia...
  16. N

    Ikulu yalijibu Gazeti la Dira ya Mtanzania: Yataka watoe majibu au wachukuliwe hatua...

    Na, au vinginevyo unalenga kuchafua jina la Kampuni ya Home Shopping Centre. Kama nia ni kufanya hivyo tafadhali msilitumie jina la familia ya Rais. Kwa hiyo ni ruhusa kuichafua Kampuni ya Home Shopping Centre isipokuwa kwa kutumia Familia ya Rais. Na, kwa nini Ikulu inapenda kukanusha...
  17. N

    Lowassa aonja nguvu ya CHADEMA Tunduma

    Hivi huyu Lowasa hizi pesa anazogawa makanisani kazitoa wapi? Je, atazirudishaje? Ama ni mwema kiasi hicho kweli? Anyway, yangu macho.
  18. N

    Je, unakumbuka ulivyokuwa ukifikiria ulipokuwa mtoto?

    Mimi nilikua najua kwamba mtu anayeendesha gari kubwa ana nguvu sana kuliko anayeendesha gari ndogo
  19. N

    Je, unakumbuka ulivyokuwa ukifikiria ulipokuwa mtoto?

    Mimi nilikua najua kwamba ukipiga picha mbele ya ukuta, picha yako inatokea ukutani wakati huohuo.
  20. N

    Je unakumbuka nini miaka ya 80’s na 90’s.

    Nakumbuka nguo anaina ya Kamanyora, Buga na Chachacha. Nilikuwa nazivaa Jumapili tu. Siku nikivaa hakuna kucheza mpira wala tayari bado. Ni mwendo wa mikono mfukoni siku nzima. Vinginevyo ni kichapo. Nakumbuka jinsi nilivyokuwa napuyanga kwenda shule bila viatu. Tunakula gwaride safi, halafu...
Back
Top Bottom