Search results

  1. contagious

    Wana Kigoma embu jengeni kwenu

    Wabinafsi mno, huo ukurutu sijui utawatoka lini? wakifika miji ya watu wanaendeleza Ubinafsi, ni hatari sana.
  2. contagious

    Wadada ukiwa unatongozwa halafu ukanyamaza bila kutoa jibu, ni Ishara ya kukubali?

    Nyie ndio wale Simba waenda pole, hawa wapiga kelele hapa hawatofautiani na msukuma Deo Msunga sijui yulee
  3. contagious

    Wadada ukiwa unatongozwa halafu ukanyamaza bila kutoa jibu, ni Ishara ya kukubali?

    Sijapata maana mwanamme yeyote ninayempata kabla mate hayajakauga si mwanamme huyo ni kwa ajili ya mechi za kirafiki tu, hakuna la msingi nitaokota toka kwake.
  4. contagious

    Wadada ukiwa unatongozwa halafu ukanyamaza bila kutoa jibu, ni Ishara ya kukubali?

    Jaribu ukishanigegeda sambaza na picha, huna hela na maarifa nayo shida nikupeleke wapi mie!
  5. contagious

    Wadada ukiwa unatongozwa halafu ukanyamaza bila kutoa jibu, ni Ishara ya kukubali?

    Of course siwezi kujisifu kulaghai mtoto wa Sekondari nikajiita mwanamke, natafuta watu wazima wenzangu ndio naachuana nao.
  6. contagious

    Wadada ukiwa unatongozwa halafu ukanyamaza bila kutoa jibu, ni Ishara ya kukubali?

    Tatizo lenu mnajisifu kwa kutongoza watoto wa form four, halafu mnakuja kujisifu nimetongoza, sasa mtoto wa form four naye anatongozwa ama analaghaiwa? Nitajie idadi ya wanawake ambao umetongoza toka last year, wanawake sio watoto wala wadada poa!
  7. contagious

    Wadada ukiwa unatongozwa halafu ukanyamaza bila kutoa jibu, ni Ishara ya kukubali?

    Msipende kujisifu kuhusu pesa wakati unahongwa na hujawahi kuhonga, hamna hela halafu mnavyozungumzia kutoa hela kana kwamba mmewahi kutoa!
  8. contagious

    Wadada ukiwa unatongozwa halafu ukanyamaza bila kutoa jibu, ni Ishara ya kukubali?

    Hujapata wataalam wa kuchuna wakati unafikiri unamiliki kumbe hata upangaji hujafikia, achana na wajuzi wa kuchuna wewe! Acha utalia kijana! Baki ivo ivo
  9. contagious

    Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

    Hata wa kiume wanaolewa kila Siku! Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
  10. contagious

    Kweli nimeamini mwanamke anahitaji ndoa

    Hapana si kila mtu anahitaji ndoa, wengine they only need an amazing sex, unaweza ukaolewa ukakosa hilo ndio ukajua kiasi gani umepoteza muda wako kuolewa na hitajika lako lisitimie! Unaishia kutafuta tena mwanamume Mashine halafu watu kiherehere cha kukusema bila kuelewa. Sent from my SM-N900...
  11. contagious

    Ukweli kwa walimu

    Safi sana mkuu
  12. contagious

    Nimeombwa hela ya kusukia

    Ndio umshangae, 30 analia, angeombwa 300 angechanganyikiwa asielewe kuwa kwa nywele wala sio pesa ya kutosha wala kutisha, umasikini bwana, anataka amtongoze akiwa kapendeza lkn Hajui kugharamia
  13. contagious

    Nimeombwa hela ya kusukia

    Ungekuwa na hela ya kumpatia wala usingekuja kujiliza hapa, mwanamme suruali kweli!
  14. contagious

    Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

    Huitaji hasira, Hapa ni uwanja wa Jamii na matukio ya kijamiii Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
  15. contagious

    Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

    Mapenzi hayana umri, huyu atakuwa ni hohehahe hakika. Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom