Search results

  1. C

    msaada, muongozo wa kimawazo

    Habari zenu wana jf, naombeni msaada wenu wa kimawazo katika hili. mimi ni mjasiriamali nina stationery nimepanga sehemu ambayo ina nyumba kubwa ndani. kutokana na ukubwa wa nyumba na wingi wa wapangaji kukatokea mgogoro kwenye ununuaji luku ila kwa kuwa mimi mfanyabiasha inabidi niwe na umeme...
  2. C

    fremu ya kupangisha inahitajika

    habari zenu wana jf, mimi ni kijana nimeamua kujiajiri natafuta fremu ya kuanzisha stationary iwe maeneo karibu na chuo chochote- dar. naombeni msaada wenu, asanteni.
Back
Top Bottom