Search results

  1. kishoreda

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Haya yanayoendelea kutokea kwenye mchakato wa kupata katiba mpya ni matokeo ya dharau kutoka kwa serekali inayoongozwa na ccm juu ya huu waraka wa mtumishi wa Mungu Askofu Kakobe.Mm ningewashauri wakitaka katiba mpya ipatikane waurejee huu waraka na kuufanyia kazi.
  2. kishoreda

    Ombi: Ikulu ipuuze waraka wa Kakobe

    Ikulu imepuuza waraka wa Askofu Kakobe hadi leo wanahangaikia katiba mpya
  3. kishoreda

    T.B. JOSHUA Alitabiri Kupotea kwa Ndege ya Malaysia

    o Kiongozi huo uzi ni kweli au adobe?
  4. kishoreda

    Udhalilishaji: Video ya PNC akimuomba msamaha Ostaz Juma na Musoma

    Sasa kiongozi diamond ameingiaje tena Hapo?
  5. kishoreda

    Yanayojiri Leaders Clubs na fiesta ya clouds media

    Kama kuna mwenye speed ya kutosha anaweza check humu CloudsTV
  6. kishoreda

    Mhadhiri wa UDSM auawa kwa risasi jijini Dar es Salaam

    Dah haya matukio mbona yananitisha maana nina tu million 6 ndani mwangu tunanikosesha usingizi asee
  7. kishoreda

    Bei za ulalo Moro

    ''Kukubithi'' ''Utawara'' Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  8. kishoreda

    Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

    Mkuu nimeeleza tatizo la Iphone yangu hapo juu mbona hujanijibu?mm ni mteja na nipo seriously Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  9. kishoreda

    Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

    Mkuu habari samahani nina Iphone 3G yangu nilijaribu ku-upgrade SW nikafika mahali ikawa inahitaji niwe kwenye WIFi ili iweze kumaliza hiyo upgrade,nikajaribu ku fall back imekataa nimeenda sehemu yenye wifi nimejaribu imegoma kabisa.Sasa ipo tu home. Sent from my BlackBerry 8520 using...
  10. kishoreda

    Watanzania Wawili wakamatwa South Africa na Madawa

    www.facebook.com/agnesmasogange.gerald?fref=ts
  11. kishoreda

    Mzee saidi wa azam we kiongozi kweli?

    Sorry Are you great thinker?And what r u talking about?
  12. kishoreda

    Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

    Na siyo National Bank of Commerce ni National Broadcasting Corporation ya Marekani
  13. kishoreda

    Obama Live at The State House of Tanzania

    Kweli kingereza kilikuja na meli
  14. kishoreda

    Mabalozi 11 wa mashina ya ccm jijini arusha na waachama 123 waihama ccm leo

    Samahani hivi makamu wa rais wa Zanzibar ni nani? Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  15. kishoreda

    Nape: Mlipuko wa bomu la Arusha yawezekana ulipangwa na CHADEMA wenyewe

    To be honest nimekasirika sana na kauli ya Nape
  16. kishoreda

    He! kumbe kuna mtu sinza anaambukiza ukimwi!

    Sure mkuu maana anasema wiki 2 baada ya kufanya mapenzi na huyo mwanaume wake akaenda kupima na kukutwa vvu sasa virusi gani vinaonekana baada ya wiki2?
  17. kishoreda

    Sakata la Bomu: Pengo afichua siri

    mm sijaelewa kabisa
  18. kishoreda

    kupatwa kwa mwezi leo tarehe 25 april 2013 kuanzia saa tano na dakika nane (11:08 PM)

    mbona hamna kitu jamani ngoja nikalale zangu wizi mtupu
Back
Top Bottom