Search results

  1. Bwaksi

    Magufuli hana historia ya harakati za Mabadiliko

    huyu hana sifa za mabadiliko
  2. Bwaksi

    Elections 2015 Mulongo anasurika kipigo, kisa Lowassa

    mulongo ni kati ya wakuuwa mikoa wasio na sifa za uongoz
  3. Bwaksi

    Tiba ya meno

    yanauma tu
  4. Bwaksi

    Tiba ya meno

    Asatnte sana
  5. Bwaksi

    Tiba ya meno

    marafiki, naombeni ushauri wa tiba ya meno ili kupunguza maumivu. nimemuona daktari mmoja akasema hayajafikia hatua ya kung'olewa (yapo mawili) ila alishauri nitumie dentamol tablets kutuliza maumivu, na nimetumia lkn maumivu yako pale pale
  6. Bwaksi

    Tiba ya meno

    Wadau nisaidieni, Meno yangu (magego mawili ya chini na juu) yanapata maumivu makali sana, lakini daktari aliyenifanyia check up amesema hayajafikia hatua ya kung'oa. Kanishuri nitumie "Denatamol tablets" lakini hazijanisaidia. NAOMBA USHAURI.
  7. Bwaksi

    majembe SUA yakomaa na LOAN BOARD.

    Komaeni jamani. Mi ni ex-SUA, wa enzi zile. Ni mpenda kudai haki maarufu hata marehemu baba yangu alikua ananipa BIG UP kwa hilo.
  8. Bwaksi

    Hatimaye Fao la Kujitoa Limeruhusiwa.

    Mkuu, we ndio umekurupuka kujibu taarifa bila kutafakari.
  9. Bwaksi

    Hatimaye Fao la Kujitoa Limeruhusiwa.

    Hizi ni taarifa za kweli. Najua waliosema umekurupuka wameanza kuficha nyuso zao. We umeongea kwa takwimu. Wao ndio hawana uhakika. Ndio wamekurupuka kujibu bila kuingia kwenye vyanzo vingine vya taarifa
  10. Bwaksi

    Bunge la anza kesho Dodoma - je muswada wa fao la kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii vipi?

    Tuone yatakayojiri. Then tutafanya maamuzi magumu. Kuna wengine wetu tumesha panga kufanya maamuzi magumu ambayo yatakua historia katika nchi hii, kwenye suala la mifuko ya hifadhi ya jamii.
  11. Bwaksi

    Fao la kujitoa mifuko ya Hifadhi ya Jamii kurudishwa

    hii ndio point. tutayaporomosha hayo maghorofa
  12. Bwaksi

    Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Mafao Kutua Bungeni - Mapendekezo Kunufaisha Wachache

    Kuna watu tutajitoa mhanga kwa niaba ya wafanyakazi wenzetu waliolala usingizi. Hizi pesa ni haki yetu. Lazima kieleweke
  13. Bwaksi

    StarTV Live: Mifuko ya hifadi ya jamii

    Hili suala hakuna kulala, hadi keleweke. Mafao yetu wameshayachezea sana bila ridhaa ya wanachama. Sio kweli kwamba wafanyakazi wa sekta binafsi wamelala, ila wamekosa uwajibikaji wa pamoja kama wafnyakazi wa migodi.
  14. Bwaksi

    Nigerian Man 28, Marries 71-Year-Old White Lady

    Ni sawa, kama mama ana ankara, endelea kujishikiza
  15. Bwaksi

    Nathan kamfunika kipanya?

    Hii habari inasikitisha..!
  16. Bwaksi

    Mambo ya wanaharakati Muhimbili...

    jk kachoka, achia ngazi nchi itawaliwe na rais makini
  17. Bwaksi

    Ona mwenyewe

    mimeona!
  18. Bwaksi

    Car for Girls only

    Naona
Back
Top Bottom