Search results

  1. K

    Tuhuma za William Malecela dhidi ya Heche na Dr. Slaa - Nampa siku 3 Vinginevyo...

    Huu sio upepo bali ni kuweka ukweli hadharani , kwani huyu jamaa amezidi ni lazima ifike mwisho........bahati mbaya anaandika uongo akifikiri ni njia ya kuninyamazisha ila mimi nitaendelea kufuatilia zile picha zake akiwa amejichorachora mwili mzima na vibodi tight vya kumsaidia kuonyesha rangi...
  2. K

    Tuhuma za William Malecela dhidi ya Heche na Dr. Slaa - Nampa siku 3 Vinginevyo...

    Bado unatumia SEMBE ama umeacha maana kuandika huku ni dalili kuwa imepanda kwenye kichwa .......
  3. K

    Tuhuma za William Malecela dhidi ya Heche na Dr. Slaa - Nampa siku 3 Vinginevyo...

    Huyu jamaa yeye ndio kayataka haya na kwa wale ambao mnaweza kufuatilia niliwahi kumuonya mwezi disemba kuhusu tabia yake ya kutukana watu hakujali sasa nimeamua kumuanika , huyu alipenda mwenyewe kumegwa sasa anajifaragua , kuna siku niliwahi kusema hapa kuwa huyu ni CHAKARAMU , wengine wenu...
  4. K

    Tuhuma za William Malecela dhidi ya Heche na Dr. Slaa - Nampa siku 3 Vinginevyo...

    Kumbuka , Shaban Robert aliwahi kusema ......weka akiba .....hakumaanisha ya fedha ila hata ya maneno.....
  5. K

    Wakuu, Barua Yangu Kwa WABUNGE Wetu HIII HAPA

    Mfuko mtaji wake bilioni 700 , unataka wanunue matrekta , wanunue zana za uvuvi, wanunue ardhi , wafanya kila kitu return yake ni kipindi cha miaka mingapi, wananchi ambao wanawekeza watanufaikaje na hisa zao, ............huu mfuko usimamiwe na nani bunge ama serikali , mgawanyo wa majukmu baina...
  6. K

    Tuhuma za William Malecela dhidi ya Heche na Dr. Slaa - Nampa siku 3 Vinginevyo...

    Ungevuka uende wapi wakati vichomi havikuishi? Bahati mbaya sana umri wako na akili zako haviendani hata punje .." Kuna haja ya elim kwa watu wazima kuwa ni jambo la lazima maana watu kama wewe mtaweza kupata msaada ........
  7. K

    Tuhuma za William Malecela dhidi ya Heche na Dr. Slaa - Nampa siku 3 Vinginevyo...

    Muulize, kuhusu mtoto yeye ni baba mzazi ama mlezi? Mnamjua huyo aliyezaa naye ? Mnajua yuko wapi ? Muulizeni maswali hayo, then nasubiria majibu yake....na huyo mtoto yuko wapi mpaka sasa .......,
  8. K

    Tuhuma za William Malecela dhidi ya Heche na Dr. Slaa - Nampa siku 3 Vinginevyo...

    Hata mimi sina tatizo na mtu ila tatizo langu na wewe ni hizo tabia zako ambazo haziendani na umri wako , ulipaswa sasa uwe umekaa na wajukuu, sasa kuendelea kufanya unayofanya ya kutukana watu wengine jua utaanikwa , vipi mbona commen ya bodi tight husemi lolote?
  9. K

    Tuhuma za William Malecela dhidi ya Heche na Dr. Slaa - Nampa siku 3 Vinginevyo...

    Usishangae , ndivyo ulimweng ulivyo, huyu nitaacha kumuanika siku akiacha kuwatukana watu bila ushahidi , akiendelea niko naye na kila atakapokuwa ntaenda najua kwa sasa kahamia fb na tanuri la fikra huko nitakuja hakuko salama tena .................
  10. K

    Tuhuma za William Malecela dhidi ya Heche na Dr. Slaa - Nampa siku 3 Vinginevyo...

    Kumbe hata wanawake wana KUSINDIKA ???? sikulijua hilo nilifikiri ni wanaume tuuu...........wewe michezo yako hiyo huko bongo hupati mtu, labda urudi huku japo unajua ni kwanini uliondoka na hilo nitaliacha kiporo kuhusu kilichokuondoa huku. Nitafanya project moja mvumi na nitakuja kuiweka...
  11. K

    Tuhuma za William Malecela dhidi ya Heche na Dr. Slaa - Nampa siku 3 Vinginevyo...

    Hivi kumbe siku hizi watu wanaweza kuingia kwenye ndege na kumuaga mtu na kisha akashuka kama ilivyo kwenye mabasi ya ubungo ? Kumba hakuna tena issue za boarding pass wala security check , wala passport controll .......kweli ukiwa lizee unapoteza hata kumbukumbu ......utachekwa...
  12. K

    Tuhuma za William Malecela dhidi ya Heche na Dr. Slaa - Nampa siku 3 Vinginevyo...

    Usijichekeshe hapa , mimi sikutaki na unajua hilo na huo ndio ugomvi wetu siku zote , wana jf mnaweza kuona jinsi ambavyo tunafahamiana na hili lizee sasa nimeamua kuliweka hadharani ili mlijue likoje na muweze kuchukua tahadhari za kina kila mara mlionapo ama kusikia lipo mtaani...
  13. K

    Tuhuma za William Malecela dhidi ya Heche na Dr. Slaa - Nampa siku 3 Vinginevyo...

    Mizee kama hii ipo mingi Tanzania , lipo hili, LE mutus na lingine linaitwa John Tendwa .........yapo na mengine mengi sasa tukiwa kila mara tunayasamehe ama kuyapuuza yanavimba vichwa .......ni heri tuyaambie ukweli ili yajue kuwa kuna watu wengine wanayafahamu vizuri hivyo kabla hayajaandika...
  14. K

    Tuhuma za William Malecela dhidi ya Heche na Dr. Slaa - Nampa siku 3 Vinginevyo...

    Kutwa kucha Bongo utalikuta kwenye hotel na pubs mbalimbali likivizia vinywaji kutoka kwa washikaji halina hata makazi ya kudumu .....ole wako usilikaribie maana litakungangania mpaka ulihudumie .......
  15. K

    Tuhuma za William Malecela dhidi ya Heche na Dr. Slaa - Nampa siku 3 Vinginevyo...

    Kazi ya UDJ inahitaji kutumia akili , sasa wewe ungeifanyaje wakati huna akili? Mizee mingine bwana .......kweli kuzeeka ni kubaya sana yaani lizee hili linajikuta linabwabwaja tuu kama teja kumbe halina dili......bongo noma kuna waoaji siku hizi? Mibaharia iliyofeli kama hilo huwa inatafutiwa...
  16. K

    Tuhuma za William Malecela dhidi ya Heche na Dr. Slaa - Nampa siku 3 Vinginevyo...

    Hivi nani atakuwa na muda wa kwenda kuhangaika na lizee kama wewe mahakamani , ili upate umaarufu? Nani ana muda na wewe lizee, ungekuwa majuu mpaka leo ungepaswa kuwa kwenye makamb ya kulea mizee kama wewe kwani ungekufa kwa baridi. Hilo lizee lina matatizo mengi sana , kwa sasa lipo kwenye...
  17. K

    Tuhuma za William Malecela dhidi ya Heche na Dr. Slaa - Nampa siku 3 Vinginevyo...

    Heri mimi ninayeishi kwa kuuza chupi, kuliko wewe unaishi kwa kuzusha na kuandika uongo, Umri wangu ni mkubwa lakini sijawa lizee kama wewe , na tena nina familia ila wewe unahangaika na vijitoto vidogo vya bongo movie.......ukifikiri kuwa bado hujakua ...........una wakati mgumu sana...
  18. K

    Dr. Slaa anatumika kuhakikisha Lowassa anaingia Ikulu 2015

    Huu ni mkakati wa Membe na umeshafeli kabla ya kuanza , kuhusu Sitta alipigwa kwa sababu ya kuropoka ropoka hovyo kama alivyo LE mutuz , kuhusu Lowassa nafikiri hiyo ni strategy ili ccm wampitishe then iwe kusukuma mlevi period........mnataka Dr.Slaa awasaidie kupambana na Lowassa ? Andikeni...
  19. K

    Tuhuma za William Malecela dhidi ya Heche na Dr. Slaa - Nampa siku 3 Vinginevyo...

    Siku yangu umeifanya iwe ya tofauti, maana umenikumbusha tonge ..........ukizingatia huku ni umma na kisu kwa kwenda front hakuna cha matonge..........hilo zee huko linapiga tonge kama mia saba hivi ......,
  20. K

    Tuhuma za William Malecela dhidi ya Heche na Dr. Slaa - Nampa siku 3 Vinginevyo...

    Wewe lizee, umesema ulikuwa unaumwa ni ugonjwa gani , kwani naweza kukushambulia kumbe umeandika kutokana na ugonjwa unaokusumbua, sema mapema ili tukupe ushauri nasaha hapa . Pili , unakoelekea sasa kuwatukana hata waandishi ni kunyea kambi wakati unategemea kulala humo humo usiku wa leo...
Back
Top Bottom