Wewe hufai hata kidogo, kama unataka kuandamana watoto na walemavu wanini? kuandamana tz ni kujitoa muhanga maana sheria ya uhuru wa kuandamana magamba hawaitambui so kama umeamua kuandamana watoto na walemavu wanini?
Ukiwa na uchungu wa kitu huwezi kutaka huruma juu ya kukiendea hata kidogo...
Utaumizwa vibaya ndugu, ukiwapa namba yako ya account wanaiibia bank yako kwa kutumia account yako, utajutaje? achana nao vibaka hao na si wanawake kama utakavyowaona kwenye picha zao. Mimi kuna mjinga mmoja alinitumiaga harafu kwa kuzani mimi isangaliagi Nagerian Movie akaweka picha ya Genevivi...
Huyu mtu kwa haraka haraka ni kwamba ametaka kutolewa kwenye vyombo vya habari kama JF na kadhalika na kwamba alitaka sisi tujue kwamba anaweza kuogelea lakini si kwamba kukosa sh200 ndo kumemfanya aongelee hadi ng'ambo kama hujui kuogelea kama unabisha kajaribu wewe uliyetoa thret hii kama...
We sema umekuja kutaka kutuhalibia tu, sisi kama ni masikini wewe kinakuuma nini? au unapungukiwa na nini? kama tz ni masikini ulikuja kufanya nini? sikia kitu kingine ni kuongea saana na wala si kusoma sana kama unavyodai coz hata mimi kazi ninayoifanya ukiambia sikuisomea hata kidogo...
Wakenya mi nawapenda saana ila tatizo lao ni moja tu la kutaka kujifanya wapo juu kuliko wengine, na kama wewe ndugu umefuta japo ujinga tu usingeweza kuandika vitu kama hvyo humu, it might be true what you a saying about as but we are the best in East Africa Sir. pia hamjabahatika kuwa na sura...
Hapo kuna mawili aidha hiyo frash yako ina virus au ipo switched off Protection.
Fanya hivi ndugu
angalia katika flash yako kwenye kidude cha kuput on na off protection then pale kilipo peleka upande wa pile yaani kama kipo off weka on na kama kipo on weka off NB hakuna maandishi yanayoendicate...
Hiyo 2.5% per month unajua ni sawa na 30% per year kwa hyo utatakiwa kuregesha 390,000/= ni riba kubwa saaaana ndugu, na huwajui Pride Tanzania wewe watakuzalilisha balaa yaani kama wamekwambia marejesho ni siku furani hauna wanakuaja kusomba kila kitu nyumbani kwako yaani hao ni noma nakwambia...
Kwa kuuza hzo properties hyo mzee wako anataka kujitafudia nafasi katika word ya Vichaa milembe, kwa maana kama amefastraight kipindi hiki cha biashara kwenda mrama anaweza akauza harafu akaanzisha biashara ambayo itamwendea mrama kuliko hii ya sasa hapo ndipo atakapo changanykiwa kiukweli...
Hivi vitu ni laazima vitokee maana ndo vinaashilia mwisho wa Dunia mbona hyo chamtoto vitakuja vioja kibao chamsingi unatakiwa kujitambua nafasi yako basi haina haja ya kuvishangaa na unaposhangaa it means haujajitambua upo kundi gani mpaksikua sasa hivi, ni vya kawaida kwa siku hizi mtafute...
Kimsingi mmemtafri vibaya mh. Lema mi siona kosa lake, je ni kwenda kushirikiana na waliokua wanafanya maombi hayo au Lema alipoenda pale alitangaza kuwa CDM imemtuma kufanya maombi hayo, jaribu kutofautisha maisha binafsi nokifana cheo au kazi ya mtu pale Lema kaenda kibinafsi na kiimani yake...
Jaribu template hii mkurugenzi na usianze kwa kujizalau kwanini unasema kakibanda? nataka kuanzika a biggest company in Tanzania ulitakiwa kusema hvyo we tajiriiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!?????????????????
The executive summary is the most important part of the business plan. Many people will only...
Mimi nitakupa ufafanuzi wa biashara hzo zote mbili, a) Lory la kubeba mafuta ni biashara ambayo hasara yake ni ndogo sana kwa maana once ukishalinunua utapata mkodishaji au litakodishwa na mfanyabiashara hiyo ya mafuta, kwa hiyo kukodishwa utalipwa kulingana na mkataba wa makubaliano kwamba ni...
Yaah, kwa sasa tuna mipango hyo ya kwenda countrywide na Arusha ni moja wapo ya mikoa mitatu tunayotaka kuanza nayo ikiwemo Mwanza na Dodoma, kwa sasa tunachokifanya ni kumkopesha mtu mkopo akafanye biashara kokote lakini dhamana yake isiwe zaidi ya 50klmtrs na hii ni kwa sababu Risk department...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.