Search results

  1. K

    E-Books & E-Magazines

    Mtu anaweza akanunua kwenye website yao direct sio mbaya. Hata kama nadownload free na kuuza gharama za internet ni juu yangu na huo ndo ujasiliamali wenyewe.
  2. K

    E-Books & E-Magazines

    We sell E-Books and E-Magazines in PDF format for ease of access and convenience. From Economist, Business Week, Time Magazine, to Harvard Business Review, GQ, Maxim, FHM and World Soccer Magazine, we've got it all! Price: $US 2 or TShs 2800/= Email Address: send a Private Message (niPM)
  3. K

    Esoteric: Uhusiano wa Zitto, JK, Salim A.S, Ridhwan, Omar Ilyas & then some Islams?

    wadau mi naomba kumsikia Mh. Zitto anazungumziaje swala zima la wizi wa kura? maana huu ndo mzizi wa CDM kutoka nje siku ile, kwa kuwa sijamsikia akizungumza lolote kuhusu swala hili.. nanogesha hoja
  4. K

    Elections 2010 Uchambuzi Yakinifu Kuhusu Matokeo ya Urais 2010

    CHADEMA hatujawahi, hatuwezi na hatuna watu wa namna/sampuli yako, Nakataa wewe Si CHADEMA!!! Usitufanye watoto wadogo :nono:
  5. K

    Ridhiwan Kikwete: Mimi si fisadi

    wanatuletea usultani eeeee?
  6. K

    Elections 2010 TBC waandaa wananchi kukubali matokeo, wawachafua CHADEMA!

    Tunawajua vizuri hao TBC, sio TBC ambao wamekua wakizima mijadala mbali mbali ya LIVE kutoka bungeni hasa akiwa anachangia mbunge wa upinzani(i.e Zitto)? sio TBC ambayo imeendesha mahojiano na mafisadi ya kuwasafisha na kuyaita exclusive? sio hao hao TBC wameshindwa kuonyesha hali halisi ya...
  7. K

    Elections 2010 TBC waandaa wananchi kukubali matokeo, wawachafua CHADEMA!

    The can only fool us once, BUT they can't fool us Forever!! TBC hawana weledi wowote kwenye tasnia ya habari na hao watangazaji wanalinda tu ugali wao ila wanamjua vema Dr. Slaa na chadema na miaka hii mitano ujayo watakosa cha kureport kutokana kwamba chadema imeweka makombora ya kutosha...
  8. K

    Elections 2010 walikuwa 5 tu, sasa wapo 16 tayari, je itakuwaje?

    simple math if 1 chadema mp = 30 ccm mp's 16 chadema mp's = mp's ? 16 x 30 = 480 ans = 480 chadema mp's :loco:
  9. K

    Elections 2010 Jimboni Ubungo

    wadau Ubungo vipi, any updates???
  10. K

    Lawrence Masha - Mfano wa Ulevi wa Madaraka. Ajitangaza mshindi Nyamagana!

    Arudi kwenye kakampuni chao uchwara pale upanga siasa haiwezi
  11. K

    Elections 2010 Loawasa's firm grip on Arusha Municipal politics now in tatters.........

    Batilda could not handle Arusha (she knows it), she was just pushed to run for the post, after Mrema being outdated (hauziki), i real dont understand the motives behind the one who pushed her, is it INFLUENCE? KAMTANDAO KAPYA? GHOST LEADING? :nono: C'mon Guys we can't be fooled all the time...
  12. K

    Elections 2010 Tathmini ya Ushindi wa CHADEMA

    Mpendazoe, Tindu Lissu VP?
  13. K

    Elections 2010 Tathmini ya Ushindi wa CHADEMA

    Kuna mtu yoyote anafahamu tumekamata majimbo mangapi tayari tujulishane JAMANI
  14. K

    Elections 2010 JK ndani ya Mwanza kuokoa jahazi la Masha

    ah hawana lolote wote wachovu, hii ni mvua
Back
Top Bottom