Search results

  1. M

    Mnyarwanda: "Lowassa ni kama mke wa mtu anayejitongozesha kwa mume wa jirani yake!"

    Majuzi nilikuwa nchini Rwanda kumtembelea rafiki yangu. Huyu ni Mnyarwanda wa kuzaliwa. Niliingia mjini Kigali majirani ya saa kumi na mbili jioni kwa basi la Taqwa. Rafiki yangu huyo ambaye hakunipa idhini ya kumuandika leo, nilimkuta amenisubiri. Akanipokea na kunipeleka nyumbani kwake...
  2. M

    Hatuwaamini mawakala wala tume ya uchaguzi. Tulinde kura zetu wenyewe!

    ...Uchaguzi huu, tuwaondoe mawakala wote na wasimamizi, wasiwepo. Tulinde wenyewe! Hata jeshi la polisi wasisogee! Hapa ni ulinzi wa kura tu! Hatuwaamini mawakala, polisi wala tume! Tupige kura wenyewe na tuzilinde sisi wenyewe! ...Nchi haina sheria wala utaratibu, wanasiasa wababe ndio...
  3. M

    AMANI YA TANZANIA, ICC, CCM na UKAWA:

    Wadau, Baada ya waangalizi wa uchaguzi wa Kimataifa na wawakilishi wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) kutua nchini, nimefuatilia sana kwenye vyombo mbalimbali vya habari na kwenye mitandao ya kijamii. Nilichokigundua ni kuwa, wengi wa wananchi hasa wafuasi wa UKAWA, wameonekana...
  4. M

    Baada ya Kingunge na Mwapachu, tuwajue TeamLowasa walioko CCM...

    Ndg wanaJF... Nawasalimu kwa imani yangu! Nadhani halitakuwa jambo baya kama tukijikumbusha na kufahamishana juu ya wanaCCM waliowahi kukiri kumuunga mkono mwanaCCM mwenzao ndg Lowassa ambaye ni mgombea wa CHADEMA. Mwapachu aliwahi kuzungumza na sasa amemfuata. Je, unadhani ndani ya...
  5. M

    Barua kwa rais Magufuli

    Kichwa jatwa hapo juu, chajieleza wazi. ...Mimi ni kijana wa kitanzania. Mchapakazi, muadilifu na mzalendo kweli kweli. ...Ninaomba kukufikishia kilio changu kwa njia hii. Kwa sababu ya kubanwa na makumu ya kikazi, sikufanikiwa kuhudhuria mikutano yako ya kampeni ulipokuja nyumbani Kasulu...
  6. M

    Bei ya decoder ya Startimes ni ipi?

    Habari waungwana na wanaJF wote! Ninaomba kufahamu bei ya king'amuzi cha Startimes chenye dish. Nipo mkoani Kigoma kimatembezi. Ninataka kurudi nyumbani Rwanda nikiwa ninamilike decoder hiyo. Naomba mwenye ufahamu anijuze pls. Asante kwa ushirikiano mwema.
Back
Top Bottom