Search results

  1. georgemwaipungu

    Peter Madeleka Ametekwa Leo yapata siku ya tatu na inajulikana kuwa waliomteka ni Polisi

    Je? KUTEKWA NA VYOMBO VYETU VYA USALAMA KWA WAKILI PETER MADELEKA KUNATUFUKIRISHA KWELI AU TUMEKUWA NI WATU WENYE ROHO MBAYA? PETER MADELEKA Ametekwa Leo yapata siku ya tatu na inajulikana kuwa waliomteka ni Police wakishirikiana na Idara zingine za USALAMA lakini watanzania wote tumekaa kimya...
  2. georgemwaipungu

    Yule aliyetaka kumuua Nape Yuko Wapi?

    Hivi yule kijana aliyetaka kumuua NAPE NNAUYE Alitumwa na Nani? na Yuko wapi? Na Alitumwa kwa masilahi gani? Au Hajulikani?
  3. georgemwaipungu

    Dollars 490 za EUROPEAN UNION

    Habari wana jamvi nimepokea kwa mshituko mkubwa maneno ya vyombo vya Habari kupotosha ukweli kiasi kwamba inaonekana ni kweli. Kuna makubaliano juzi muwakilishi WA EU wasainiana na Serikali ya Tanzania makubaliano ya kuipatia tsh 490 bilion Sasa watu wameipeleka kwenye tsh kama ilivyo. Ambayo...
  4. georgemwaipungu

    Matapeli wa Benki wavamia Dar

    Kuna utapeli umeenea sasa hivi Dar wa watu wanaodai wamepata wafadhili kwenye mradi wa kusaidia watoto wenye mtindio wa ubongo au wanasema wana shamba darasa wamefungu huko Lindi, wanataka kutumiwa dollars 10 million wanahitaji mtu mwenye account yenye mzunguko pia yenye kuwa na Dollar 50,000=...
  5. georgemwaipungu

    Elimu ya ziada Inahitajika

    Anaandika kaka Emmanuel Kihaule Nawaona vijana wenye uwezo ambao kwa bahati mbaya kwa kukosekana utaratibu wa kunoa vipaji vyao kupitia mifumo na taasisi zilizowekwa kwa makusudi katika awamu ya kwanza kusaidia mamlaka za uteuzi kuwatambua na kuwalea vyema, wameishia kufanya vituko katika...
  6. georgemwaipungu

    Je nii kweli UDA imelipiwa?

    Ikiwa UDA ni Mali ya wanahisa wote yaani serikali, na Kisena iweje serikali isijue Nini Kinaendelea ndani ya mwendo kasi? Je? Ni kweli kiasi kilicholipwa na Simon Group Kilitokana na, pesa za Kampuni? Je? Pesa Hiyo haitokani na mauzo ya UDART? Ikiwa zinatokana na pesa za mauzo. Je? Rais...
  7. georgemwaipungu

    Hon. Magufuli in future

    Magufuli is trying to convince majority by force for preparation in 2020 election. But you should remember that as an opposition there is something we can do and will never do.
  8. georgemwaipungu

    Wakufunzi wa Mwl Nyerere University njaa kali

    Kutokana na kufanya kazi bila malipo kwa zaidi ya mwaka Wakufunzi zaidi ya 90 wa chuo cha mwalimu Nyerere waishi kama paka aliyekosa mfugaji. Wamefanya jitihada ya kulifikisha suala Lao kwa katibu mkuu kiongozi, cha kushangaza zaidi walifukuzwa na kuambiwa wakamuone katibu mkuu utumishi...
  9. georgemwaipungu

    Hii ndiyo Tanzania yetu Bangi yako ila Dhabu yao

    Eti, ni katika nchi hii tu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mahali ambapo kama bangi ikiota shambani kwako ni yako. Utashtakiwa kwa kosa la kulima bangi, na kufungwa miaka thelathini jela. Lakini sasa, kama kwenye shamba lako wakigundua dhahabu, eti ni yao. Wanakunyang’anya hadi shamba lako...
  10. georgemwaipungu

    Serikali ya Magufuli nayo ni JIPU jingine

    SERIKALI YA MAGUFULI NAYO NI JIPU JINGINE. inahitaji kutumbuliwa. UCHAGUZI MEYA ILALA,KINONDONI NA JIJI LA DAR ES SALAAM. Mara ya kwanza waliletwa Wabunge viti maalumu toka Zanzibar eti nao wapige kura Kinondoni ili tu CCM ishinde wa guvu.Upinzani wakagoma. Upinzani wakafungua kesi mahakama...
  11. georgemwaipungu

    Wahamiaji haramu waliyowashinda idara ya uhamiaji

    Katika hali isiyo ya kawaida Idara ya Uhamiaji inashindwa kuwachukulia hatua wafanyakazi wa Kihindi na Ki-Turkey waliojaa bila vibali vyovyote katika mladi wa De Ecco. Taarifa rasimi zinasema walifika kuwakamata mwaka 2013 lakini Waziri mkuu wa wakati huo alitoa agizo la kuzuwia kuendelea...
  12. georgemwaipungu

    Je, Waziri Mkuu na IGP Wana Nguvu ya Kuzuwia vyama visifanye kazi zake?

    Kumekuwepo na Matamko ya kuwazuwia Wapinzani wasifanye mikutano. Matamko haya yamekuwa yakitolewa na ama Mkuu wa Police Msaidizi wake au Kova wa Dar, juzi yametolewa na Waziri Mkuu yaani mtu mkubwa kabisa. Sisi wenye akili tumeanza kuamini kuwa ni Viongozi hao walikuwa wakiwatuma Police kuzuwia...
  13. georgemwaipungu

    Isuzu injection inahitajika haraka sana

    Nahitaji Isuzu injection kununua. Bei maelewano ila inaanzia na Tsh 3m na kuendelea. Ikiwa popote hata ifakara au Tabora tutaifuata. Iwe Tipper au boxboard sawa tu.
  14. georgemwaipungu

    Isuzu injection inahitajika haraka sana

    Nahitaji Isuzu injection kununua. Bei maelewano ila inaanzia na Tsh 3m na kuendelea. Ikiwa popote hata ifakara au Tabora tutaifuata. Iwe Tipper au boxboard sawa tu.
  15. georgemwaipungu

    Isuzu injection inahitajika haraka

    Nahitaji Isuzu injection kununua. Bei maelewano ila inaanzia na Tsh 3m na kuendelea. Ikiwa popote hata ifakara au Tabora tutaifuata. Iwe Tipper au boxboard sawa tu.
  16. georgemwaipungu

    Roli Isuzu injection inahitajika haraka

    Nahitaji Isuzu injection kununua. Bei maelewano ila inaanzia na Tsh 3m na kuendelea. Ikiwa popote hata Ifakara au Tabora tutaifuata. we Tipper au boxboard sawa tu.
  17. georgemwaipungu

    Walimu washindia mihogo Mwl. Nyerere Memorial Academy

    Zaidi ya Wakufunzi 100 wa Chuo cha Mwl. Nyerere Kigamboni wamekuwa wakiishi katika maisha magumu sana baada ya kutopokea Mishahara yao na pesa za Uhamisho Tangia Mwezi wa tano mwaka huu. Cha kushangaza tangia wahamishiwe hapo hawajapewa hata pesa za kujikimu!
  18. georgemwaipungu

    Ufisadi Na CCM

    Je? CCM ya sasa ni Safi? kama ndiyo! Je? Chenge, Mwambalaswa, Prof. Tibaijuka, Prof. Muhongo, Ngeleje na Ridhiwan ni wasafi mpaka wapewe dhamana ya kupeperusha Bendera ya CCM katika Majimbo yao? Kama Siyo kwanini wamepewa dhamana hiyo? Je? Wana Nguvu kuliko chama? Kama hawana kwanini Chama...
  19. georgemwaipungu

    Mwl. Nyerere Memoria Academy Choka Mbaya

    Wakufunzi wa Mwl. Nyerere Kigamboni zaidi 100 wamekuwa Omba Omba Mitaani, maana mishahara tangu mwezi wa Tano walipowahamishia hapo toka mikoani hawajapewa mpaka sasa wanaishi kwa kuomba wanakula Mihogo. Kisa pesa iko kwenye kampeni.
  20. georgemwaipungu

    Sentensi 11 zilizotolewa na Freeman Mbowe kwenye Baraza la Idd

    Viongozi wakuu wa umoja wa katiba ya wananachi UKAWA wakiongozwa na mwenyekiti wa chama cha Democrasia na maendeleo CHADEMA Mh FREMAN MBOWE pamoja na makamu mwenyekiti wa CHADEMA Profesa SAFARI na kaimu mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF ambaye pia ni mbunge wa bunge la Africa mashariki Mh...
Back
Top Bottom