Search results

  1. M

    Ninahitaji maswali ya set

    Nipeni maswali jamani.Maswali ya set peke yake
  2. M

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Mimi ninahitaji mnipe maswali mengi ya set naombeni mnipe hayo maswal
  3. M

    Ninahitaji maswali ya set

    Jamani naombeni mnipe maswali mengi zaidi ya topic ya set
  4. M

    UDOM: Special Diploma tunaenda au hatuendi?

    Jiandaeni jamani chuo hicho kinafunguliwa jumamosi muwahi kwa sisi mwaka wa kwanza hasa special diploma
  5. M

    Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    jamani ni kweli kwamba direct cost imepungua kutoka 232100/= hadi 207500/= msaada jamani
  6. M

    Direct cost imepungua diploma maalumu UDOM

    Ungeangalia na pale kwenye first year brother imetoka kwenye 232100/= hadi 207500/=
  7. M

    Direct cost imepungua diploma maalumu UDOM

    Oya ebu angalieni website ya udom muone
  8. M

    Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Jamani direct cost imepungua kweli au? Maana kuna mtu anasema imerudi pale pale eti ni kweli
  9. M

    Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Kwa hiyo wew unaenda kulipia hiyo 207500 ausio
  10. M

    Direct cost imepungua diploma maalumu UDOM

    Mbona unatuzingua bro ina mana sisi hatujui kusoma mana pale kuna wanaoendelea ambao direct cost yao haifiki hata laki mbili na first year ndo ipo hiyo laki 207500
  11. M

    Direct cost imepungua diploma maalumu UDOM

    Kaka angalia pale kwenye first year no:2 utaona imepungua
  12. M

    Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Eti jaman na fomu ya hospital inatakiwa kutolewa copy nne kama za registration?
  13. M

    Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Kama haukuomba mkopo na heslb walisema watatoa utaratibu maalum wa kuomba mkopo kwa waliothibitisha lakini mpaka hamna kitu nimewaulza bodi ya mikopo juzi wakasema niwe na subira.Inaonekana tunaenda kuombea chuoni huko huko alafu mbona tumewapigia udom wanasema tuition fee hatulipi
  14. M

    First year wote wa 2015/2016 UDOM tukutane hapa

    Jaman msaada et unapoenda kulipia ada benki pale kwenye payment slip sehemu ya jina unaandika jina ambalo lipo kwenye admission letter au unaandika uliyokuwa unatumia kidato cha nne
  15. M

    Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Asante ndugu lakin nikuulize kidogo eti pale unapolipia ile slip unaandika majina yako yote sasa mimi sijaelewa unaandika kama uliyokuwa unatumia kidato cha nne au kama yaliyokuwepo kwenye admission letter kwamba unaanza na la uko alafu la kwangu mwisho la baba? asante kwa ushirikiano wako
  16. M

    Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    Jaman nisaidie eti kulipa ada za udom mpaka kwenye benk za chuo au hata kwenye benk za huku nyumbani unaweza kulipia mana kuna mtu ameniambia unalipia kwenye benk za pale chuo wakat huo huo admssion letter inasema tufike chuo tareh 31 tukiwa na payment slip sasa mimi nashindwa kuelewa tunalipia...
  17. M

    Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Jaman naombeni mnisaidie eti hii direct cost,hela ya bima pamoja na union student tunalipia tukiwa huku huku nyumban(benk za huku huku) au mpaka benk za pale chuo
  18. M

    Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Valence kama ss tunatakiwa kulipa direct cost ambayo ni 2321000Tsh na student union ambayo ni 5000Tsh na bima ya afya NHIF fund ambayo ni 50400 Alafu tuition fee tunalipia na sponser je sponser hao ni nani asante kwa ushirikiano
Back
Top Bottom