Search results

  1. Dalali Mkombozi

    Kujua kuongea sio kigezo cha kuwa msomi

    Kumekuwa na mtazamo hasi ya kuwa " mtu asipojua Kuongea vizuri kiingereza basi watu wanamcheka na kumuona mjinga ata kama mtu uyo ni msomi sana ( daktari n.k ). Mimi naona tunakosea sana, Kujua ama kutokujua lugha Fulani haiwezi kuwa kigezo cha kuitwa msomi au mjinga. Kiingereza ni lugha kubwa...
  2. Dalali Mkombozi

    Harakati za mapinduzi ya Ukoloni Mamboleo na Dkt. Magufuli

    Naanza na Usemi usemao " Mwenye macho aambiwi tazama" Nina imani sote tuna macho na kwanjia moja au nyingine tumepata kujionea kile kinachofanywa na Raisi wetu Dr. John Pombe Magufuli Licha ya kuhakikisha uchumi wetu unapanda lakini pia jitihada zake za kujenga taifa linalojitemea tunaziona...
  3. Dalali Mkombozi

    House4Rent Chumba Sebule Choo, MbeziBeach

    Kwenye Fensi, Maji dawasco, Karibu na Barabara. Kodi laki na nusu kwa Mwezi, Miezi Sita... Wasiliana 0785938675 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Dalali Mkombozi

    Nauza Samsung S4

    Haina tatizo lolote, Bei Tsh 250,000 inapungua kidogo
  5. Dalali Mkombozi

    Samsung S4 Lte nauza

    Simu ipo Dsm, haina tatizo lolote. Serious Buyer Wasiliana: 0713226191 au 0752953860
  6. Dalali Mkombozi

    Plot4Sale Kiwanja kina Nyumba Kinauzwa MbeziBeach Afrikana

    Kiwanja kipo Umbali wa Mita 300 kutoka Barabara Kuu( Bagamoyo Road) Kiwanja Kimepimwa na kina hati. Ukubwa wa kiwanja ni Mita za Mraba 1200 Bei ni Tshs Milioni 250 Tuwasiliane: 0713226191 au 0752953860
  7. Dalali Mkombozi

    House4Rent Nyumba Inauzwa Boko

    Bei Tsh Milioni 70 Kuna Document ya Serikali ya Mtaa( Liseni Ya Makazi) Zipo nyumba Mbili mbili Sehemu Moja, Nyumba Kubwa ya vyumba3 na ndogo ya Chumba kimoja ambayo haijamaliziwa. Tuwasiliane: 0713226191 au 0752953860
  8. Dalali Mkombozi

    Chumba Single Mbezitangibovu

    Kodi 60,000/Mwezi, Miezi6 Piga 0713226191
  9. Dalali Mkombozi

    Chumba choo(Masta) MbeziTangibovu

    Maji yapo, ina tiles na gypsum. Kodi 140,000/Mwezi ◇◇ Kodi ya Miezi 6 Piga 0713226191
  10. Dalali Mkombozi

    Chumba kinapangishwa Mbezi tangibovu

    Chumba Kimoja, Maji yapo. Kodi tshs 70,000/Mwezi, Miezi 8. Piga 0715226191
  11. Dalali Mkombozi

    Kwa mahitaji ya vyumba, nyumba Bagamoyo road

    No.1 Chumba Sebule na Choo, Ipo salasala. Kodi 120,000/Mwezi, Miezi6 inatakiwa. Wasiliana: 0713226191//0752953860
  12. Dalali Mkombozi

    Chumba kinapangishwa, MbeziBeach Tangibovu

    Chumba kimoja, choo cha kushea watu wawili, ipo ndani ya fensi. Bei elfu60/mwezi, kodi ya miezi6. 0713226191
  13. Dalali Mkombozi

    Viwanja vinauzwa Goba

    Viwanja vimepimwa, vipo ukubwa tofauti tofauti. Kuna Kiwanja cha 450 sqm , 500sqm, 700sqm n.k Ukinunua unasaidiwa kupata hati miliki. Bei Tsh 18,000 Kwa Mita moja ya Mraba.
  14. Dalali Mkombozi

    Nyumba Za kupanga Dsm

    1. Nyumba Vyumba2, Sebule, Choo ndani na Jiko. Bei laki4/Mwezi, kodi ya Miezi6. Ipo MbeziBeach Tankibovu. Mawasiliano: 0713226191
  15. Dalali Mkombozi

    Kiwanja kinauzwa Mivumoni-Muungano

    Kiwanja kipo Mtaa wa Muungano, Kilomita 1 kutoka kituo cha daladala mivumoni (daladala Zinapogeuzia). Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 2000, Kiwanja kinakatwa kama ifuatavyo:-- 20Mita Kwa 20Mita = 8Milioni. 40Mita Kwa 20Mita = 16milioni. 40Mita Kwa 50Mita (Kiwanja Chote) = 40Milioni...
  16. Dalali Mkombozi

    Dell desktop inauzwa

    CPU Tu Model: Optiplex170l ram: 1.5gb hd: 80gb processor: 3ghz window7 serious buyer only simu: 0682901837 bei maelewano.
  17. Dalali Mkombozi

    Dell optiplex 170l inauzwa

    Hd--80gb ram--1.5gb processor--3ghz bei 160,000 Simu 0675107182 only cpu
  18. Dalali Mkombozi

    Samsung Galaxy Tab1 inauzwa

    Model: P1000 Galaxy Tab Brand: SAMSUNG IMEI: TAC: 357453 FAC: 04 SNR: 562562 CD: 1 ( 357453045625621) Basic...
  19. Dalali Mkombozi

    Plot for sale at salasala/kinzudi

    Unsurveyed plot for sale plot size: Sqrm 400(20m*20m) price: Milioni 7 (negotiable) plot is about 150m distance from mainroad. #contact 0752953860. Note: Kiwanja hakina mgogoro wowote
  20. Dalali Mkombozi

    Kiwanja kinauzwa Mivumoni

    Viwanja Vipo 4, kila kimoja kina ukubwa wa 20M*20M.Viwanja vyote vipo sehemu moja (uwanja umekatwa). bei ya kiwanja kimoja yaani 20M*20M ni milioni7. Document: serikali ya mtaa paper Barabara ipo, Umbali toka barabara kubwa hadi kwenye kiwanja ni mita 100. Umeme upo jirani na kiwanja. direction...
Back
Top Bottom