Plot4Sale Kiwanja kina Nyumba Kinauzwa MbeziBeach Afrikana

Jun 26, 2015
56
21
Kiwanja kipo Umbali wa Mita 300 kutoka Barabara Kuu( Bagamoyo Road)

Kiwanja Kimepimwa na kina hati.
Ukubwa wa kiwanja ni Mita za Mraba 1200

Bei ni Tshs Milioni 250
Tuwasiliane: 0713226191 au 0752953860
 
1469041063965.jpg
1469041085930.jpg
 
Kwa nyakati hizi za Magu hupati mteja
Pesa hakuna siku hizi. Mimi nafuta kiwanja mbezi beach, sikutukani, Kama unaweza kuuza kwa million 120. Tafuta ukipata 250 sawa ukikosa kabisa na unaka kuuza basi mimi mteja.
 
Viwanja vilikuwa vikiuzwa bei kubwa zaidi ya Marekani au Uingereza. Mtanzania wa kawaida alikuwa hawezi kununua, wanunuaji wengi wao ni watu Kama Lugumi waliokuwa na tenda za serikali waliokuwa wakilipwa pesa zetu kabla ya kufanya kazi. Rais Magufuli ameweka kufuli hakuna tena. Nenda Mbezi beach majengo mengi yamesimama, nakupa miezi sita million 120 ninazokupa hutazipata. There is no spending power in Tanzania pesa zilozokuwa zikitumika mitaani ni kodi za wanyonge zilizokuwa zikiibiwa na wachache kupitia tenda za serikali.
 
Mama Obama una 120 unataka kiwanja serious au? Hebu nicheki 0689315582
 
Serious nataka kiwanja mbezi beach na pesa ninazo. Kama una kiwanja na unataka kuuza kwa haraka
Mama Obama una 120 unataka kiwanja serious au? Hebu nicheki 0689315582
Niko serious na pesa ninazo. Kama una kiwanja Mbezi Beach na unataka kuuza haraka niko tayari
 
Viwanja vilikuwa vikiuzwa bei kubwa zaidi ya Marekani au Uingereza. Mtanzania wa kawaida alikuwa hawezi kununua, wanunuaji wengi wao ni watu Kama Lugumi waliokuwa na tenda za serikali waliokuwa wakilipwa pesa zetu kabla ya kufanya kazi. Rais Magufuli ameweka kufuli hakuna tena. Nenda Mbezi beach majengo mengi yamesimama, nakupa miezi sita million 120 ninazokupa hutazipata. There is no spending power in Tanzania pesa zilozokuwa zikitumika mitaani ni kodi za wanyonge zilizokuwa zikiibiwa na wachache kupitia tenda za serikali.
Ni wachache watakuelewa kwa sasa lakini miezi kama 24 kutoka sasa 'wafukuaji' wa thread watakuja kuiibua hii.
Kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa kuna kiwanja 20x25 Mwenge kiliuzwa billion moja kitu ambacho ni uendawazimu, kwa sasa baada ya kuona wizi wa makontena umepungua na maduka kuanza kufungwa Kariakoo kila mmoja anajua kuwa ukiwa na billion moja unaweza kufanya uwekezaji wenye tija na faida zaidi kwa kuajiri watu zaidi badala ya kukamua kodi katika mfumo wa utakatishaji pesa.
 
Economy ya Tanzania ilikuwa mbaya. Nyumba ambazo zilikuwa zinajengwa siyo za kawaida. Pesa nyingi zilikuwa zinatoka serikalini za walipa kodi. Matokeo yake watoto mashuleni wanakaa chini, hospitali haina vitanda. Million 45 ya Watanzania masikini, million 5 matajiri na utajiri wao sio wa kufanya kazi, Bali walikuwa wa kutumia kodi za Watanzania million 45. Leo mahoteli yamekuwa hostel, hospitali ya Apollo India mapato yake makubwa yalikuwa katika kwenye kodi za Watanzania million 45. Mungu isaidie Tanzania na watu wake ili waelewe pesa zao zinatumika vipi.
 
Kweli kabisa ulikuwa ni uwenda wazima kununua kiwanja eti bilion na kuendelea au nyumba mtu anatamka tu bei anaye taka mbaya zaidi hivyo vitu vinavyo uzwa bei hizo ukiangalia miondombinu hakuna sasa unajiuliza thamani yake inatoka na nn? Hupati jibu

Anyway labda purchasing power ya Tz kubwa sn ndio maan watu wanawza kununua bei kubwa.
 
Mfano unanunua nyumba half a milion dollar sehem kisha usalama wako na mali yako upo matatan kwa ajili ya ujambazi ,hii nilikuwa sipati jibu .
Ukilinganisha na nchi nyingi sehem ya value kubwa uhalifu haupo kabisa kama upo mdogo mdogo sio ule wa majambax na mabunduki.
 
Kwa sasa ngoja tusubirie maana viwanja tutanunua hata bure maana hela itapotea kabisa
 
Pesa hakuna siku hizi. Mimi nafuta kiwanja mbezi beach, sikutukani, Kama unaweza kuuza kwa million 120. Tafuta ukipata 250 sawa ukikosa kabisa na unaka kuuza basi mimi mteja.
Mkuu Mimi ninacho 460sqm bei yake 93ml kipo Mbezi beach karibu na shule ya Jk nyerere
Chek na Mimi kwa 0756060183
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom