Search results

  1. S

    Elections 2010 JK kutangazwa Rasmi Kesho, Kuapishwa Jumamosi!

    :cool:Mtakumbuka vizuri kuwa Mashehe, maaskofu na wachungaji walihubiri muda wote wa kampeni na wengine kabla ya kampeni kwa waumini wao kuwa msiwachague viongozi mafisadi, chagueni viongozi wanaojali maslahii ya kitaifa, sasa kipimo cha ukomavu wa kiroho na dhamira njema ya kiungwana...
  2. S

    Elections 2010 Majina ya vijana kituo cha batist kichangani morogoro hayaonekani hatima yao vipi!

    Vijana wengi walioandikishwa mwaka huu katika kituo cha Batist kata ya Kichangani Morogoro mjini majina yao hayakuonekana na baadhi yao wameambiwa warudu tu ni bahati mbaya! inakuwaje kwa taarifa zaidi ongea na mwanagu 0716697683 amekosa haki yake ya kupiga kura imeniuma sana:A S-baby:
  3. S

    Elections 2010 Regia Mtema kupata ushindi wa kishindo Kilombero

    Jamani Ulanga mbona kimya!
  4. S

    Elections 2010 Regia Mtema kupata ushindi wa kishindo Kilombero

    Babangu Kipuyo nimekupata! kata mizizi ya fitina huko! wapelekee maji ya kunywa wasimamizi wetu
  5. S

    Elections 2010 Regia Mtema kupata ushindi wa kishindo Kilombero

    Big up sana Regina! mama unauchungu na wanao! tuko nawe
  6. S

    Elections 2010 Hakuna Uhaba wa Mawakala CHADEMA-UBUNGO

    Mungu ibariki TZ Mungu Ibariki Jimbo la Ubungo na kijana wetu Mnyika
Back
Top Bottom