Search results

  1. D

    Msaada wa mawazo kwenye haya mahusiano yangu

    Habari wakuu. Nimekuwa kwenye mahusiano na huyu binti kwa zaidi ya mwaka mmoja na malengo yetu ni kufunga ndoa halali ya kanisani next year. Changamoto kubwa niliyonayo ni usiri wa huyu binti kwenye simu yake. Kwa mwaka mzima nimefanikiwa kushika simu yake mara moja na nilikuta sms ya mapenzi...
  2. D

    Bajaji ipo sokoni

    Sold
  3. D

    Samsung S6 edge

    Msaada wakuu. Hii simu bado mpya kabisa lakini nikiweka tathering na nikaconnect PC basi simu inapata moto vibaya sana. Mwenye kujua tatizo anisaidie please
  4. D

    Naomba kujuzwa taratibu za kuoa Kibosho

    Habari zenu wakuu. Naomba kwa wajuzi wa Kabila tajwa hapo juu wanijuze utaratibu wa kuoa Kibosho. Vitu kama mahari vinakuwaje ili angalau nipate mwanga kidogo. Asanteni sana Mrejesho .................................................. Niliulizia kuhusu mahari lakini wadau wakaja na...
  5. D

    Mwanamke wa kuoa

    Mimi sio mgeni huku na nakiri kuwa hii ni ID yangu ya pili. Umri na wakati wa kuoa umefika na naomba kutumia jukwaa hili kutafuta mwenza ikiwezekana mapema mwakani tufunge ndoa. Sifa zangu ni kama ifuatavyo. 1. Me 2. 34 years 3. Maji ya kunde 4. Lutheran 5. Mfanyabiashara na mtafiti wa masoko...
  6. D

    Simtank for sale

    Lutaingia Lita 2000 Halina demage yeyote Halijawahi kutumika/Halijapauka Limeshatobolewa cock ya kutolea maji. Unaweza ukapata na sehemu ya pipe yake yenye urefu wa kama mita 4 Bei 200000 Karibuni PM tufanye biashara
  7. D

    Kiwanja kinauzwa Chanika mwisho

    Kipo Chanika mwisho eneo linaloitwa Gogo minazi mirefu. Urefu ni meter 42, upana meter 25. Gari inafika na imezungukwa na fensi za ukuta mbili za majirani. Bei ni million 5 kutoka Million 8 niliyotangaza hapo awali. Karibuni pm tufanye biashara. Pia nimepata wazo mbadala la kukigawa hichi...
Back
Top Bottom