Search results

  1. Joninho

    Nimetuma pesa kwa Wakala asiyestahili, naombeni msaada wa jinsi ya kumfikia

    Naomba msaada anaeweza kunisaidia kumfikia wakala huyu VODACOM LIPA NDAYAVUGWE EUSTACE MANYAGA 5999506 Nililipia bidhaa nikakosea namba moja nikalipa kwake. Nimekosa msaada huduma kwa wateja hivyo kabla ya kuchukua hatua zaidi naomba anaeweza kumfahamu anisaidie wadau. Umetuma TSh 135,000...
  2. Joninho

    Naomba kufahamu Sheria yetu ya hapa Tanzania inasemaje kwa mtu/muajiri anae kashifu wafanyakazi wake

    Habari zenu ndugu na wanachama wenzangu wa hapa Jamiiforum? Nimatumaini yangu kwa uwezo wake Mwenyezi Mungu mmeamka salama,niwatakie jumapili njema nyote . Nielekee moja kwa moja ktk mada kuu Kama kichwa Cha habari kinavyo jieleza, Naomba kufahamu Sheria yetu ya hapa Tanzania inasemaje kwa...
  3. Joninho

    Ushauri wako ni muhimu katika hili

    Habari wadau wote wa JF ni matumaini yangu mko salama Kwa uwezo wake Mwenyezi mungu, heshima kwenu wote. Naomba kuwasilisha swala hili mahali hapa kwani nafahamu humu Kuna watu walio yapitia mengi, hivyo wengi mnauzoefu wa maswala mengi. Baada ya kuhitimu shahada yangu ya kwanza nili rejea...
Back
Top Bottom