Search results

  1. G

    Simu ya mkopo imepotea. Naipataje?

    Nenda kakope nyingine maana wakopeshaji wamejaa mno
  2. G

    Wapi Wanauza Power bank za uhakika?

    Oraimo 27000 mah ni kiboko
  3. G

    Je africa sattelite inahusu chanel za bure kwene ving’amuzi?

    Receiver zipo aina mbalimbali na bei tofauti,mfano juzi kati nimenunua mediastar 4030 pro kwa 300k,ni bonge la decoder.ingia Google utapata sifa zake hapa nitajaza ukurasa kuielezea.ninachokipata kwa dekoda hii hata hawa akina azam naona kama uchaf tu.
  4. G

    Wataalam wa umeme wa solar nisaidieni hapa

    Matumizi ya kawaida soar Watts 100 ,betri Rita au prosola n100 ,invator ya kusuka/kuchonga Watts 300 hapo utafurahia maisha ya sola
  5. G

    Dar es Salaam ni mji wa kawaida ila unakuzwa sana

    Huyu mshamba tu kama wengine unaidharau Dar kwa lipi sasa
  6. G

    Msaada: Jinsi ya kupata channel za local kama ITV,EATV TBC etc Kwenye king'amuzi cha startimes

    Hivi bado kuna watu wananunua king'amuzi cha startimes,kweli tupo tofauti sana
  7. G

    'Oraimo Freepods Lite' ipoje? Wale mnaotumia tunaomba feedback

    Nunueni bluetooth speaker ya oraimo mle mema ya nchi# nimeninunua kariakoo wiki hii sh75000 ina mdundo ile mbaya na chaji inakaa sana
  8. G

    Vitochi original bei rahisi sana

    Niuzie kimoja nina 25000 sasa hivi
  9. G

    Zifahamu simu bora za Infinix mwaka 2023

    Isije ikawa umenunua A series maana nazo ni infinix iliyochangamka
  10. G

    Kuna changamoto gani katika kutumia king'amuzi cha Azam cha Malawi?

    Ndio raha ya kuishi mpakani,hapa jirani kenya wao wanalipia 750ksh wanapata kifurushi kile tunacholipia 25000tsh
  11. G

    Kuna changamoto gani katika kutumia king'amuzi cha Azam cha Malawi?

    Du heri mimi niliyepo sirari sijasema,endelea kujitapa tuone mtafika wapi
  12. G

    Wengi tunapenda kumiliki smartphone mbili na wakati mwingine hata zaidi ya mbili. Je, huu si uwendawazimu?

    Kwako ni uwendawazimu maana huna uwexo wa kumiliki smartphone 2,siku ukimiliki pesa utanunua hata simu 4 kila simu itakaa na line yake
  13. G

    App gani zinatoa mikopo mtandaoni (Kuzingatia Usalama na uhakika wa kupata mkopo?)

    Pesa x ni nyoko sana walinikopesha 10000 baada ya wiki 1 walianza kunipigia simu,kwa siku wananipigia zaidi ya watu 20 tofauti .walienda mbali wakawapigia hata waliokuwa wadhamini .niliwachelewesha makusudi ili niwakomeshe,sasa nilishawalipa na sina shida na mikopo yao.nikiwa na shida nasongesha...
  14. G

    Nataka nirudi kwenye simu za button

    Kitochi kinaganda ile mbaya
Back
Top Bottom