Search results

  1. ngoroki

    Chuchu za mwanaume

    Wakuu naomba kujuwa faida ya chuchu kwa mwanaume ni zipi?na kama hazina faida yoyote ile zipo kwa ajili gani kwa mwanaume?
  2. ngoroki

    Mwanaume kuwa na wake wengi: Sababu, faida na changamoto/hasara

    Kutokana na mafundisho ya dini yangu kwa muda mrefu nilijilazimisha kuamini kwamba kuwa na mke mmoja tu ndo kanuni ya maisha na mpango wa Mungu. Badae nikafahamu hata vitabu rejea kwa mafundisho ya dini tena kwa watu mashuhuli kwa njia za kiimani na waliotembea na Mungu kwa ushujaa na hekima...
  3. ngoroki

    Nissan teana

    Naombeni ushauri,nataka kununua gari Nissan teana ila mimi sina ujuzi wowote na magari ni kitu gani cha kuangalia kabla ya kununua?
Back
Top Bottom