Anatafuta wa kubadilishana
Ni mwalimu wa shule ya msingi... Nipo Wilaya ya Temeke.... Natafuta mtu wa kubadilishana maeneo ya kazi... Nahitaji kuhamia Wilaya ya Kinondoni.
Wasiliana na namba hii
0718043983
Sisi ndio wananchi na sisi ndio wapiga kura. Ubabe, Vijembe, Matusi haisaidii. Sisi tumemkubali. Alete maendeleo, hasilete, tutamchagua tu. Tumechoka!!!
Miaka miwili kafanya makubwa kuliko miaka 50. Ni dalili njema kwa wataka mabadiliko. Anaweza!!
Serikali imara kama kiongozi Fisadi...
Edward Lowassa anajiunga na CHADEMA na atakuwa mgombea urais wa CHADEMA na wa UKAWA. Lowassa is perhaps the most controversial and divisive political figure in the country right now. Na amekuwa hivyo kwa muda mrefu.
Sisi CHADEMA tulimweka kwenye Orodha ya Mafisadi kutokana na kuhusika kwake na...
Sasa ndio nimeamini Chama cha ACT ni mpini wa kudhoofisha upinzani.
Chadema imekuwa ikijijenga siku hadi siku na mpaka sasa inaendelea kupokea viongozi mbalimbali kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kibaya zaidi, wakati wakijenga chama, ACT wanabomoa.
Nimeamua kufungua moyo kwa kukaribisha Mh. EDWARD NGOYAI LOWASSA Chadema!
Lowassa si fisadi kama anavyozungumziwa.
KAMA KUNA MTU ANA USHAHIDI KUHUSU UFISADI WA LOWASSA, AUTOE!
Ripoti ilimtaja Lowassa katika kashfa ya Richmond, lakini cha ajabu hiki hiki Chama Cha Mapinduzi kilichoshika...
Full name : Simba Sports Club
Founded :1936
Ground : National Stadium Dar es Salaam, -Tanzania
Capacity : 60,000
Chairman : Evans Elieza Aveva
Manager : Kerrey
League =-Tanzanian Premier League
Full name : Young Africans Sports
ClubNickname(s):Yanga
Founded :1935
Ground : National Stadium-Capacity 60,000
Coach: Hans Van De Plujm
League : Tanzanian Premier League
Mwanasiasa mkongwe nchini na moja kati ya waasisi wa chama cha mapinduzi mzee Kingunge Ngombaru Mwiru amesema mchakato wote uliotumika katika kumpata mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM mwaka huu ulikuwa batili.
Akizungumza na vyombo vya habari nyumbani kwake jijini Dar es Salaam, mwanasiasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.