Search results

  1. CMBC Mlalahoi

    Vinyama au vidoti sehemu za siri

    Kwenu madaktari, aisee me kuna hivi vidude vinaitwa dats cjui au vidoti vinaniota sehemu za korodani na hapa juu ya mgombea, panapoota mav*z* vinaota hivi vidude. First time nilienda kumuona daktari akanipa dawa ya kuviunguza, vikaungua juu tu kumbe mizizi ikabaki sasa vimeanza tena, tiba yake...
  2. CMBC Mlalahoi

    Hawa ndugu zetu wanaosema wanaotesha nywele kwenye vipara ni kweli wadau au wanatuibia

    Samahani wadau, Hivi kuna mtu amewahi kutumia mafuta ya kuotesha nywele kwenye kipara na yakamsaidia kweli au ni uongo tu wa hawa watu ili wajiingizie kipato, tafadhali kama kuna mdau amewahi kufanikiwa anijuze!
  3. CMBC Mlalahoi

    Notifications za Facebook zinajaa kwenye email yangu,msaada wadau

    Naombeni msaada wadau, nilipokuwa najiunga Facebook niliweka # yangu ya simu na email ili niwe napokea notifications za kutoka huko, sikuona ama kujua kama baadaye itakuja kunisumbua, notifications zikaanza kuja kwenye namba ya simu na email mpaka ikawa kero, nimefanikiwa kuzuia upande wa namba...
  4. CMBC Mlalahoi

    Hali ikiendelea hivi, nahisi watu wataanza kuuza vyeti vyao

    Kwenu wadau, Kutokana na ugumu wa kupata ajira, na watu kukosa mitaji ya biashara hasa kwa wale wanaotoka kwenye familia zisizokopesheka, nahisi mtu anaweza kuamua kuuza vyeti vyake. Imagine mtu amepoteza muda wake na pesa mwisho wa siku hakuna kazi wala mtaji wa biashara, nahisi mtu anaweza...
Back
Top Bottom