Search results

  1. Mnyakatari

    Niskilizeni mimi, wachezaji hawa yanga waachwe/wabaki

    Nitashangaa Skudu akiendelea kubaki Yanga msimu ujao.Jezi no.6 apewe Pacome. Metacha Mnata hatakiwi tena kuendelea kuwa mchezaji wa Yanga. Denis Nkane ni mchezaji wa timu ndogo,hana mentality ya kupigania namba timu kubwa. Zawadi Mauya namkubali sana but imekuwa bahati mbaya hajaweza kukidhi...
  2. Mnyakatari

    Kisa cha Afisa mikopo na laana alopewa na mteja

    Ile stori ya shada za maua kwenye makaburi matano unaiuza?
  3. Mnyakatari

    Nayo ni hisani ya Rais Samia?

    Hakuna kilichobadilika practically juu ya msimamo wa awamu ya Magufuli na awamu ya Samia juu ya katiba mpya.Kinachonishangaza mimi ni mtu kuona msimamo wa katiba mpya awamu ya Magufuli ulikuwa sawa na huu wa Samia juu ya suala hilohilo,na ambao kimsingi ni msimamo uleule,eti haupo sawa...
  4. Mnyakatari

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Why asking me?I was trying to provide the data I thought it may help on the discussion basing on clinicality of Jota raised by @dongyi....You can provide tthe data you are asking as well,not necessary mel
  5. Mnyakatari

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    E4444 So far Jota has played 1052 minutes in premier league with 9 goal this season Nunez has played 1813 minutes in premier league with 11 goals this season... At least one seems to be more clinical than the other here..... So far Jota has played 1052 minutes in premier league with 9 goal...
  6. Mnyakatari

    GSM: Kila bao atakalolifunga Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns nitalinunia kwa Tsh. 100M

    Jifunze zaidi kuhusu sheria ya goli la ugenini.Hayo yote uliyoyasema sio ya kwelI.Ni tabia ya kupenda kuelekeza jambo bila kuwa na uelewa nalo. Kama kitu hujui uwe unasema hujui.Ukijibu kama unajua uwe unajua kwa uhakika unaotokana na kujielimisha sio kwa kubumba au kwa hisia zako tu.....
  7. Mnyakatari

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kutofunga magoli mengi sio sawasawa na kukosa magoli mengi! Firmino hakufunga magoli mengi ila his style of play ilikuwa zaidi kucreate chances nyingi kwa wengine(Salah,Mane),kuwalink hawa wide players na kufanya front three yetu itishe dunia nzima. Firmino ndiye alikuwa mchezaji muhimu zaidi...
  8. Mnyakatari

    Mtumishi aliyetumia E-Loan system, zipi faida na changamoto zake?

    Ni kama vile hili ni group la whatsap la watumishi aiseee
  9. Mnyakatari

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Sawa
  10. Mnyakatari

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Yes Watkins ni 29 next year.... Yes Watkins anatokea mid table team...hata Mane,VVD etc walitokea huko At 24 alikuwa championship,haifuti fact kwamba tangu msimu uliopita ana numbers nzuri kuliko Nunez... 15 goals plus 6 assists are better numbers than 9 goals plus 3 assists kwa msimu...
  11. Mnyakatari

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Abaki huko au asibaki haibadilishi nilichokisema kuwa Watkins ni bonge la striker...Hayo mengine sijui MPO njema au HAMPO ni yako...my statement was just simple...Watkins ni bonge moja la striker
  12. Mnyakatari

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Yuko Mongolia
  13. Mnyakatari

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ollie Watkins .....bonge moja la striker
  14. Mnyakatari

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Nunez ni famba
  15. Mnyakatari

    Wameshida kesi sawa Lakini kimantiki Inaingia akilini?

    Na hoja yako hapa ni kuwa hao ccm walitakiwa waitumie katiba ya chadema kumfukuza huyo uliyemtaja?
  16. Mnyakatari

    Wameshida kesi sawa Lakini kimantiki Inaingia akilini?

    Lazima utakuwa msomi wa choo kikuu
  17. Mnyakatari

    Wameshida kesi sawa Lakini kimantiki Inaingia akilini?

    'Hakilini ndo nini sasa?
Back
Top Bottom