Search results

  1. Vox Populi

    Nyakarungu: Nimeripoti polisi kwa usalama wangu

    "Juu ya taarifa niliyopewa ya kuwa Katibu Mkuu wa chama changu Chadema Amemwagiza Mkurugenzi wa ulinzi na usalama anishughulikie kwa mitandao wa red briged. Ameagiza wanifuatilie!!'' Kama si kutafuta umaarufu kwa njia isiyoweza kusaidia ni ubatili na ukosefu na ukosefu wa weledi wa uongozi...
  2. Vox Populi

    Justice and Peace

    Although justice is an ingredient of peace, the pursuit of peace goes beyond the pursuit of justice. Peace is pursuing justice while at the same time maintaining a positive relationship of respect and mutuality with the person whom justice is sought.
  3. Vox Populi

    Bajeti ya ku-copy na ku-paste

    BAJETI YA TANZANIA HUANDALIWA WAKATI HAZINA HAINA HELA, NA HUWA HAITEKELEZEKI, NI BAJETI YA KISIASA ZAIDI KULIKO UHALISIA, PAMOJA NA KUSOMWA KWA MBWEMBWE LAKINI HAITEKELEZEKI. HII NI KUTOKANA NA... KUTOKUWA NA UCHUMI SHIRIKISHI, UCHUMI WA NCHI KWA TANZANIA HUPIMWA KWA KUANGALIA TU TABAKA LA...
  4. Vox Populi

    Usomaji wa Hotuba ya Bajeti 2012/2013

    Bajeti hii inaonekana ni ya kwenye vitabu tu. Nafikiri waziri ame copy na ku paste tu bajeti za nyuma. Utagundua kwamba vyanzo vya pato la taifa ni vilevile vya kila mwaka, nafikiri ingekuwa ni hekima waziri aeleze kwanza taifa lina hazina ya pato la taifa kiasi gani, na ili kutathmini vema...
  5. Vox Populi

    Uhuru pasipo ukombozi ni sawa na kujilisha upepo

    Wanajamii mnapenda fupifupi eee!
  6. Vox Populi

    Uhuru pasipo ukombozi ni sawa na kujilisha upepo

    Siri ya furaha ni kuwa na ukombozi na siri yaukombozi ni ushupavu. Hakuna ukombozi unaopatikana kwa gharama rahisi. Uhuruunawezekana lakini ukombozi unapiganiwa. Naweza kusema kwamba uhuru ni hatua tu kuelekeakwenye ukombozi. Ni kasumba ya wapigania uhuru kujiona siku zotekwamba wao ndio...
  7. Vox Populi

    Maandamano ni stahili na staili ya sawia na thabiti ya kudhihirisha nguvu ya umma

    Mara nyingi hakuna mtawala anayependa watu waandamane dhidi ya serikakali yake au hata dhidi yake. Maandamano kwa nchi zisizothamini na kutambua misingi thabiti ya demokrasia ndio njia ya msingi ya watu au jamii fulani kuelezea na kufikisha maoni na ama kuelezea kero zao. Na kwakuwa mwisho wa...
  8. Vox Populi

    Kama noma na iwe noma,

    Kuna watu wanasema sana juu ya Dr. nina maana Dr. wa kweli "SILAHA" juu ya kwanini hakuhudhuria kwenye mahafali ya "Rahisi" hata tarehe ya kumtangaza na kumwapisha "Rahisi". Vox ninasema, alichokifanya Dr. Bravo, wache wafu wazike wafu wenzao bwana, na kwakuwa kwenye msafara wa mamba na kenge...
  9. Vox Populi

    Elections 2010 Kikwete kuapishwa na kutangaza hali ya hatari

    Waungwana, kuna wanajamii wengine wako gizani bado hata kama wanaingia katika "net" mtazamo na rai yangu ni kwamba, ukilumbana na mwendawazimu kuna uwezekano wewe uliye muungwana ukaonekana kama ni zaidi yake. Tujenge hoja za msingi, kamwe hatutaweza kukomboa nchi yetu kwa vikao vya jikoni aka...
  10. Vox Populi

    Miaka mingine mitano ya maumivu!

    kama tukiamua kufanya zile hesabu rahisi za cross multiplication utagundua ukweli huo, sema kwa mfano: kama sukari mwaka 2005 ilikuwa sh.600 mpaka 2010 imefika sh 1600-200, je kwa miaka mingine 5 itakuwa saw na shilingi ngapi? ukifanya hivyo kwa kila bidhaa utagundua nyakati ngumu zijazo. Jadili...
  11. Vox Populi

    Mandamano ya kupinga uchaguzi mkuu tanzania,kufanyika washington dc usa

    Gharama ya demokrasia si ndogo. Na ukombozi wa kweli hauwezi kupatikana kwa vikao vya jikoni. Udhalimu katika serikali dhalimu unapaswa kuondolewa kwa udhalimu. Hapa sisemi dawa ya moto ni moto, hasha, bali dawa ya moto ni maji. Ukiwaka maji huuzima. Tusiwe vuguvugu, ila twaweza kuwa motomoto...
  12. Vox Populi

    Ridhiwani Kikwete: Dokta Slaa anataka kunichafua!

    Ingawa hata mwendawazimu ana jambo ambalo watu wanaweza kujifunza, Vox Popuili nasema, yasemwayo na ridhiwani (nimeandika kwa herufi ndogo makusudi tafadhali) ninayaona kama ni ubatili mtupu na kujilisha upepo. Kamwe kisuguu hakiwezi kuwa mlima kutokana na nguvu ya mchwa. Hekima za...
  13. Vox Populi

    JK Nae Kumpigia Kura Dr. Slaa Hapo Jumapili Tarehe 31/10/2010

    Ni wakati mzuuri ambao umempendeza Mungu, kwamba watu waishi kwa furaha katika nchi waliyopewa na BWANA.Itayoongozwa na mtumishi mwaminifu kutoka katika Misri kwenda katika Kanaani ya kweli, naam, kisha tutaona nchi mpya na mambo mapya, ya kale yatakuwa yamekwishapita, tazama yote yatafanyika...
  14. Vox Populi

    Truth or lies?

    Truth or Lies? People (for purpose of politcs; politicians) make things say or appear to be whatever they want them to say or be. The reality is that we see things not the way they are but the way we are. And the more untruthful (dishonest) we are with ourselves, the more we will distort all...
  15. Vox Populi

    Heri kaburi chakavu la shujaa kuliko nyumba angavu ya muongo na mnafiki

    Mwanazuoni mmoja liwahi kusema kwamba ukitaka kukmbukwa siku zote baada a kufa ama ufanye mambo ambayo wengine wanweza kuyaandika au uandike mada ambazo wengine wanaweza kuzisoma. Mtu awaye yote aweza kutengeneza historia ya maisha yake kwa namna yoyote apendavyo. Lakini historia njema ni tunu...
Back
Top Bottom