Search results

  1. Catagena

    Mwigulu Nchemba kwa anayofanya yupo sahihi, soma hapa

    Kwanza, kwa mshangao mkubwa, si amini kama hii text inatoka kwa Mwigulu Nchemba (I give him a benefit of doubt in the first place.) Kama huu ujumbe unatoka kwake, basi, naomba kuhitimisha kuwa, Migulu atakuwa mtu mwenye upeo mdogo sana, na hiyo First class degree (acha tu ya uchumi, hata...
  2. Catagena

    Ili Kuboresha Elimu Tanzania, sheria hii ipitishwe haraka

    Mimi nafikiri swala sio kuwabana viongozi, ila sera zenyewe zitajieleza. Kwanza, jiulize ni kwanini tuna standards mbili za Elimu ndani ya nchi moja? I t is very obvious kwamba moja ni kwa ajili ya viongozi wakubwa serikalini na matajiri, na hii nyingine ni kwa ajili ya walalahoi. N aukweli...
  3. Catagena

    Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

    Hey Mama porojo, Who, in this damn country do you think is gutsy enough to say "NO" to the Britons? Lest you have forgotten, I am reminding you that it is the same guy (JK) who once said I can not turn down the invitations from the British PM, no matter what Tanzanians say about his trips...
  4. Catagena

    Moshi yaongoza kwa joto kali Afrika

    Hiyo ni variability tu, wala isikutishe mkuu. Kuhusu pale juu (kileleni) Kilmanjaro, temperature haijawahi kuwa above 0 degrees of Celsius....So, there is nothing like global warming affecting the of mount Kilimanjaro. In fact, there are investigative studies going on there, so let's wait for...
  5. Catagena

    Mkulo with economic ignorance

    Godwine, two wrongs don't make it right. By failing to pay the public servants under the pretext of saving the economy from even higher inflation does not exonerate the government a blame of failure to stabilize the government. Why should you wait to infringe the statutory rights of your...
  6. Catagena

    Mkulo with economic ignorance

    So Godwine unataka kuueleza umma huu wa JF kuwa kwa sasa deficit ya budget is a desirable thing, right? Bali pia, swala lilikuwa inflation kusababisha deficit na sio deficit kusababisha inflation, hii ndiyo ilikuwa hoja ya msingi. I can see you are trying to politicize the matter, may be you...
  7. Catagena

    Ufisadi wa Kufa mtu TANAPA: Hebu angalia Mkakati ulivyokaa!!

    This is a stupid arrogance...Who cares about your big salary? We all know that you guys collude with all those who embezzle the government money. Remember, JF is used as a tool to disentangle all the evil deeds...coming up with pay arrogance is a sign of immaturity...and you dare call yourself...
  8. Catagena

    Mkulo with economic ignorance

    Great thinkers, The Tanzanian Minister for Finance tells us that there is no significant relationship between and spiraling inflation and the government budget deficit. This is a day-time lie. I don't agree with him whatsoever. Much as the purchasing power of a common Mwananchi is crippled by...
  9. Catagena

    Mabao

    And you call yourself a great thinker? It feels weird.
  10. Catagena

    Muslim university of morogoro na scandle ya uongozi

    Your heading and the contents are two ends of the continuum.....If you are an undergraduate student, revisit your writing skills lecture notes. If you are a lecturer or thereabout, mmmmmhhhh, it gives chills. However, your message is understood with difficulties. I personally got what you...
  11. Catagena

    Nimeipenda hii joke...Samahani ikikukwaza!!!

    Mkuu hakuna chakumkwaza mtu. It is true and that is the whole essence of obliging our women to cover themselves...By covering themselves, they add value to their bodies. (Not those who disguise anyway).
  12. Catagena

    Ehud Barak belittled Tanzania

    Much as I don't support that contempt, I partly concur with Ehud Barak in one way or the other. There so many bad things happening in the country, yet going unabated, and since the world is now reduced to a village, we have no hideouts at all. Likening Tanzania with a non-existent state is a...
  13. Catagena

    Profesa Jay

    Tatizo lenu vigeu geu...Watatoa kali mtarudi kuwasifu humu humu jamvini...Kikubwa tu ni kwamba huwezi kum-judge mtu kwa wimbo mmoja tu, hata studies za evaluation hazielekezi hivyo ndugu zangu. It take a great deal of time to conclude whether someone is finished or not. Great thinkers...
  14. Catagena

    Wanawake wakimachame si wakuoa!

    Siku hiz hakuna cha mmachame, mgogo, msambaa wala mzaramo. They are one and the same. anayoyasema mtoa maada ni mambo ya zamani, tena yakufikirika zaidi......Swala la kupenda pesa needs a case-by-case analysis and not a sheer generalization. Siku hizi walio wengi, regardless yeye ni kabila...
  15. Catagena

    Nimewaona leo LIVE

    Langu jicho mimi.........
  16. Catagena

    Je "Dr" Mbwambo wa Mzumbe University Dar Business School ame-graduate PhD yake?

    Ndugu yangu, ninachofahamu mimi ni kwamba ukiwa unasoma PhD, na ukarudi kazini kwako wanafunzi wana-tendency yakuwaita waalimu wao Doctor., hata kama hawajamaliza. Hili litatolewa ushuhuda na watu wengi sana maana ndiyo common practice in most Universities in Tanzania. Hii inatokana na nidhamu...
  17. Catagena

    TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

    Kwani hakuna hata mmoja aliyekwenda? Bonge wa Clouds FM sio Msanii? Maana yeye alikuwepo.
  18. Catagena

    Ni nani kama Paul Sozigwa katika viongozi wa CCM walioko sasa.

    Great thinkers, good day to you all. I really respect your work and informative ideas I have garnered ever since I joined the forum. However, I have one big quest yet to be quenched and I trust you people are in a good position to get me off the hook. After following the political tussles in the...
  19. Catagena

    What is wrong with this picture?

    Ukweli ni kwamba yanayotoka mdomoni mwa viongozi wetu hayafanani na matendo yao: i.e. They don't walk their talks:
  20. Catagena

    Arusha: Polisi waimarisha ulinzi

    I think your take is very correct and I absolutely concur with you. My worry is, our judiciary is not an independent pillar as it is claimed in the constitution. It is not easy for a court to decide on its own in Tanzania, and especially when it comes to a political case like that one. Now, I...
Back
Top Bottom