Uko sahihi kabisa
Kwa mara ya kwanza naona mtu mwenye mtazamo kama wangu kuhusu utamaduni wa kujenga shopping malls ambao haupo hapa nchini.Nakubaliana na wewe kwamba wakati mwingine nguvu zutumike katika kuhakikisha kuwa hii miradi inafanikiwa.Mimi naongezea kwa kusema,nguvu pia zitumike...
1.Israel Houghton-great is thy faithfulnes, to worship you I live, You hold my world in your hands, Your presence is heaven, My chains are gone etc,
2. Hillsong..hawa wana nyng sana tafta mwnyw. Ila usiziache Still, how great is your name,power of your love
3. Kirk Franklin-Now behold the...
wazo zuri sana. Wanaokukashfu wanahtaji kusafir au kugugo na kuona wenzetu wamefanyaje,..angalia festival mall huko Cairo kwa mfano.
Na pia unafanya kiv inaitwa structured trade financing kupata fund..ubunifu.
changamoto ninayoiona ni kuwa je tuko tayari? Hatuna culture ya hvo yani sisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.