Search results

  1. A

    Nyumba Inapangishwa Sinza

    Ni master na vyumba viwili,kuna jiko,maji,umeme na car parking bei Ni Laki 3 kwa miezi 6. Na pia kuna nyumba maeneo ya kijitonyama,mbezi africana,masaki nk kwa mawasiliano piga Au sms namba 0713 912577 Sinza Mbezi africana Kijitonyama Laki 3 kwa Mwezi kwa miezi 8
  2. A

    Nyumba zinapangishwa Dar es salaam

    Nyumba tulizonazo kwa Sasa
  3. A

    Chuo Kikuu Tumaini Makumira Mwaka wa Kwanza hawajapata BOOM mpaka leo

    Salaam wanajf; Chuo hiki pamoja na kuwa ni cha dini lakini wamekosa ubinadam kiasi kwamba ni wiki ya tatu sasa tumesaini mkopo,hatujapewa hela zetu japo bodi wamesha toa cheque tangia tarehe 10...magufuli mulika chuo hiki pia watu wanateseka bila sababu. Inakera sana update: boom limetoka...
  4. A

    Selection za Tumaini University Makumira Wametoa majina

    Ninatumia Application ya Jf kwa simu so haiwezi kuattach file..tembelea website yao au mwenye supportive device aweke humu Good luck
  5. A

    Ninauza Vocha ya NACTE

    Salaam jf. Mwenye kuhitaji vocha namba ya NACTE tafadhali ninauza Elfu 30 tu.mwenye kuhitaji ni pm.
  6. A

    Vijana na Watafutaji Tuna la kujifunza kupitia Dalas

    MOYO huhifadhi mengi mazito hasa ya kuumiza! Staa mkubwa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amejikuta akimwaga machozi wakati akianika siri tano nzito kuhusu mapenzi katika mahojiano (exclusive interview) na Amani kwa takriban saa mbili. Wolper akifunguka ndani ya Ofisi za Global...
  7. A

    Mliohitaji Kubadili Programme Chuoni Mlifanikiwa?

    Salaam wanajf Najua kunawatu wengi walipangiwa programme na TCU ambazo hawakuzipenda,Ama walichagua programme priority kwa mategemeo ya kupata Mkopo ili wakifika chuoni kubadili programme waliyopangiwa na TCU chuoni.. swali ni je, kwa faida ya wanaJf wanaotegemea kudahiliwa kipindi hiki cha...
  8. A

    Marufuku ya Jeshi La Polisi Kuhusu Maahandamano Ni Kwa Vyama Vya Upinzani Tu

    Salaam wanajf.. Wote tunakumbuka marufuku iliyotolewa na jeshi la polisi,kupitia kwa Kamishna Chagonja na Kamanda Kova kuhusu maandamano ya vyama vya siasa nchini kuelekea kwenye kampeni.. chakushangaza leo CCM inafungua kampeni zake pale jangwani na kuna maandamano ya magari na wanaccm...
  9. A

    MUHIMU:Nina Uza Vocha ya NACTE Kwa Elfu 20

    Salaam wanajf.. Baada ya kukosea kununua vocha ya TCU nikanunua ya NACTE takribani wiki 2 zilizopita na kuwapigia wahusika bila mafanikio.. nimeamua kuuza vocha hiyo kwa bei nafuu zaidi..naomba kwa mtu anayeitaka anitumie meseji PM. asante
  10. A

    MUHIMU: Nauza Vocha ya NACTE Kwa Elfu 20 tu

    Salaam wanajf; Leo nilitaka kununua voucher ya TCU kwa bahati mbaya nikakosea nikanunua ya NACTE..please mwenye kuhitaji voucher hii hata kwa Elfu 40 au tubadilishane anipigie.. Namba ni 0673 354881 Nawasilisha
  11. A

    Kozi ya nzuri ya kusoma kwa EGM

    Wasalam wanajf. mimi nimemaliza form six 2011 nilipata Economics-D,Geography-E,na A/maths-E,Gs-S.Div III-14.je naweza kupata kusoma ardhi university nikapata mkopo? Naombeni mnisaidie wakubwa zangu na wenyeuelewa na hili.mtaani kubaya jamani bila elimu. ASANTENI NAOMBA MAONO YENU
Back
Top Bottom