Search results

  1. Mzeembuz

    Expand Local Disk C

    Hiyo disk unaongezeaje ukubwa.? Kutoka kwenye disk nyingine au
  2. Mzeembuz

    Madereva wa Mabasi hizi ajali huwa mnakimbilia wapi?

    Ajali nyingi siku izi zinatokea Kwa uzembe wa madereva
  3. Mzeembuz

    JamiiForums Usiku wa manane

    3:39
  4. Mzeembuz

    Naombeni jibu la mwisho la kumpa huyu dada

    Tatizo kwenye sms zako neno "naomba" limetawala Sana.
  5. Mzeembuz

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Kwa nin siku za mwiz ni 40?
  6. Mzeembuz

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ndio lipo mkuu. Tembelea website yao
  7. Mzeembuz

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Tarehe ya kuripoti ccp imetoka tembeleeni kwenye tovuti kuna pdf
  8. Mzeembuz

    Je, wanaojiuza nao huwa wanapenda kimapenzi au moyo huo ulishakufa?

    Mkuu usije ukachanganya biashara na mapenz.
  9. Mzeembuz

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Mechi inaanza ikiwa 0-3
  10. Mzeembuz

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ilibaki kidogo tu ungeungwa kwenye grid ya taifa
  11. Mzeembuz

    Huu Udhamini wa Serikali katika mafunzo ya ufundi stadi VETA Ulishia wapi?

    Iv huu mchakato umeishia wap, leo ndo siku ilekez ya kuanza mafunzo tar 17 mwez 5
  12. Mzeembuz

    Ajira mpya za walimu: Rushwa imetawala ili upate kazi

    Haya mambo hayawezi kuisha
  13. Mzeembuz

    Mimi ndio mwenye nyota ya kusalitiwa, vipi wenzangu haya mnayapata pia?

    Pole sana mkuu, sisi binadamu tunatabia ya kusahau tulipotoka,hatuna shukran na kuto kuwa proud na watu waliofanya ufike mahali fulan. Usivunjike moyo endelea kuwasaidia na wengine pale inapobid na unapo msaidia mtu ww msaidie tu usiwe na expectations zozote. Kama unaye msaidia atatambua...
  14. Mzeembuz

    Hiki anachofanya Masanja Mkandamizaji sio sahihi kabisa

    Mkuu serikali haina dini ila inatambua uwepo wa dini na imani za watu, na ndo mana ata mashuleni kuna muda umetengwa maalumu na kuingizwa kwenye time table kwa ajili ya vipindi vya dini. Apo sidhan kama kuna tatizo
  15. Mzeembuz

    Financial Security is to a woman, what sex is to a man

    Miasha huwa yana badilika na hayana formula. Apo unaposema mnaangalia sehemu ya uwakika kwa ajili ya future ikitokea huyo mtu wa uwakikisha akayumba kuichumi na kupoteza raman what next?
  16. Mzeembuz

    Financial Security is to a woman, what sex is to a man

    Wapo wanaweke wenye uvumilivu na subra. Note: this not kwa hao piskali afu kwenye swala la kuhudumia inategemea huyo mwanamke anataka kuhudumiwa kwa kias gan na mazingira. Sisi tunatoa hela pale tunapoona kuna uwitaji kwel.
  17. Mzeembuz

    Financial Security is to a woman, what sex is to a man

    Kwaiyo mkuu unamaanisha pasipo na pesa basi hakuna mapenzi
  18. Mzeembuz

    Financial Security is to a woman, what sex is to a man

    Mahusiano vs biashara. Point to note.
  19. Mzeembuz

    Financial Security is to a woman, what sex is to a man

    Hahaha. Anataka pesa afu umeku press on hold
  20. Mzeembuz

    Financial Security is to a woman, what sex is to a man

    Huo ni mtazamo tu. Wapo wanaoleta mbususu kiroho safi free of charge na wanaondoka wakiwa na tabasamu bashasha
Back
Top Bottom