Search results

  1. Manchira

    Makosa matatu ya Mwigulu Nchemba kufikia malengo yako

    Nlichoshuhudia jana kwa Nchema ni malalamiko kuhusu mapungufu ndani ya Serikali na historia ya maisha yake.Nlitegemea angejikita zaidi kueleza mafanikio yake kwa kipindi chake cha Ubunge na kwa kipindi kifupi alichoshikilia nafasi ya naibu Waziri wa fedha ili kukishawishi chama na wananchi...
  2. Manchira

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Watalainika tu,mpira ni biashara.Labda Van Gal asiwe na nia thabiti
  3. Manchira

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mtandao wa Wikipedia umeonyesha kuwa Beki Otamendi amsaini kujiunga na Man U Source: CAUGHTOFFSIDE
  4. Manchira

    Wakati Watanzania tunakimbizana kuchagua viongozi wanafiki Kenya wanachagua waleta maendeleo

    Hakika,kwa viongozi hawa wa mazoea na mfumo wetu wa kiutawala na kiutendaji,tunahitaji miujiza ili kuwafikia wa-Kenya
  5. Manchira

    Hidden cancer cures

    Tupo pamoja Deception!
  6. Manchira

    RAIS Buhari akikagua Ikulu (ASO VILLA) kabla ya kukabidhiwa rasmi hapo kesho:

    Demokrasia inaanza kukuwa Afrika,mwisho wa siku wataelewa tu.Kenya,Malawi,Zambia,Nigeria,who is next?
  7. Manchira

    Mwigamba kumvaa Mnyika Ubungo

    Mkuu ahadi za Mkuu hajazitimiza,huyo Mnyika ndo ataweza?
  8. Manchira

    Udhamini wa ajira, ni sahihi mwajiri kutaka picha ya mdhamini?

    Inawezekana nmekosa neno zuri la kiswahili lenye kuleta maana sahihi,lakini namaanisha LETTER OF RECOMMENDATION
  9. Manchira

    Ruzuku ya $34milioni kwa Vodacom! Upuuzi mwingine mkubwa serikalini

    Kwa nini hyo ruzuku isigawanywe kwa makampuni mengine yote ya simu?.Kwa nini Vodacom tu? .Ni kweli hitaji kubwa la Watanzania kwa sasa ni mawasiliano ya simu kuliko hata barabara,kilimo,afya,elimu na viwanda?
  10. Manchira

    Udhamini wa ajira, ni sahihi mwajiri kutaka picha ya mdhamini?

    Poleni na majukumu JF members. Kama heading inavyosemeka. Kuna kijana mtaani kwetu ameomba kazi kwenye kampuni moja binafsi hapa Dar lakini moja ya vigezo vyao ni kuwa awe na wadhamini wawili ambao mmoja lazima awe mtumishi wa Serikali Alivyokuja kuniomba niwe moja ya wadhamini wake mimi...
  11. Manchira

    Zamani ilikuwa raha

    Zamani mkiwa mnasafiri mkaharibikiwa na gari mlikuwa mnaandaliwa chakula bila malipo na wenyeji wa eneo husika,siku hizi mkiharibikiwa na kushindwa kusafiri kwa muda chakula mnauziwa na wenyeji Kweli zamani raha!!!!
  12. Manchira

    Anayolalamikia Reginald Mengi kama ni kweli, tunaelekea kwenye udikteta usiomithilika

    Nafikiri Mengi kaongea kwa nafasi yake kama Mwenyekiti wa wamiliki wa Vyombo vya habari Tanzania
  13. Manchira

    Anayolalamikia Reginald Mengi kama ni kweli, tunaelekea kwenye udikteta usiomithilika

    Mkuu unajua wakati nasikiliza hii habari niliona kama labda nipo kwenye ndoto.Kama ni kweli hizi taarifa hazijapindishwa basi nachelea kusema kwamba uhuru wa habari sasa kwishne!...
  14. Manchira

    Tuisaidie Taifa Start ili nchi isipate aibu!

    Kuna kila dalili kuwa Timu ya Taifa ya mpira wa miguu inayoshiriki mashindano ya COSAFA kama mwalikwa ikapoteza mchezo mwingine leo dhidi ya Madagascar.Mpaka kipindi cha pili kinaanza Stars wapo nyuma kwa magoli 2 Katika mechi yao ya kwanza ambayo kidogo walionekana kucheza vizuri walitandikwa...
  15. Manchira

    Hivi ITV hawana watu waliobobea habari za kimataifa?

    Mimi habari za kitaifa huwa naangalia ITV wakishamaliza hapo nahamia STAR TV ndo nawakubali kwa habari za kimataifa
  16. Manchira

    Mwanamke ajifungua mtoto kg 6.3 kwa njia ya kawaida

    Mkuu nmeangalia taarifa ya habari ya leo kupitia CITIZEN TV ya saa moja usiku.Huyo mtoto kiukweli ni mkubwa na mama amejifungua salama na anaonekana yupo happy na madaktari wamethibitisha mtoto hana tatizo.
Back
Top Bottom