Search results

  1. K

    Mjue mzee aliyetabiri kuja kwa wakoloni na utawala

    MJEE/MZEE WA MUSOMA. Katika wilaya ya Musoma kuna eneo mashuhuri kwa uvuvi na shughuli za kilimo linaitwa Majita,hili ni eneo linalokaliwa na Wajita kwa sehemu kubwa na Wakwaya ambao pia ni jamii ya wajita. Nilipofika katika hili eneo ambalo kwa sasa limetengwa kuwa halmashauri ambayo makao...
  2. K

    Mgogoro wa Nyamongo kati wananchi na mgodi wa North Mara uliishaje?

    Wadau naombeni kwa mwenye ufahamu,ule mgogoro wa Nyamongo wa wananchi na mgodi wa North Mara uliisha kwa wananchi kulipwa fidia kiasi gani kwa square meter moja? .
  3. K

    Mzee wa Musoma

    MJEE/MZEE WA MUSOMA. Katika wilaya ya Musoma kuna eneo mashuhuri kwa uvuvi na shughuli za kilimo linaitwa Majita,hili ni eneo linalokaliwa na Wajita kwa sehemu kubwa na Wakwaya ambao pia ni jamii ya wajita. Nilipofika katika hili eneo ambalo kwa sasa limetengwa kuwa halmashauri ambayo makao...
  4. K

    Kwanini serikali isivifunge viwanda vya kutengeneza makokoro kukabiliana na uvuvi haramu?

    Tokea nikiwa shule ya msingi niliteseka sana pale mzee wangu alipokuwa anasafiri kwenda mwanza kununua makokora na hatimaye yale makokoro kukamatwa na watu wanaoitwa Bwana masamaki maarufu sana kanda ya ziwa. Walipo kuwa wanayakamata walikuwa wanayachoma moto,mzee alikuwa hakati tamaa bali...
  5. K

    Ndalichako tumbua jipu hili ofisi za elimu Temeke.

    Kwa nini walimu walio masomoni na wanastahili kupanda daraja hawapandishwi?. Je hii ni haki?. Kwa Halimashauri zingine nchini pia wanafanya hivo au ni kwetu tu?. Wadau naomba msaada.
  6. K

  7. K

    Serikali yasalimu amri kuhusu ada elekezi ya vyuo vya umma na binafsi

    Miezi michache iliyopita serikali ilijigamba kuja na mpango wa ada elekezi kwa vyuo vya umma na binafsi,lakini hadi bunge kuvunjwa hakuna tamko lolote juu ya kupunguzwa kwa ada za vyuo vikuu hii ni kutokana na wawekezaji kuwagomea. Tunaiomba Serikali itolee ufafanuzi wa hili jambo maana imesha...
  8. K

    Wilaya masikini

    Wadau hebu naomba msaada wa hili swali,kwa nini wilaya zote masikini nchini Tanzania majimbo yake yanaongozwa na CCM??.
  9. K

    TCU Guide Book 2015/2016, ada ziko vile vile

    Ada elekezi kwa vyuo vikuu nchini itatolewa lini?.Au zilikuwa mbwembwe tu.
  10. K

    Ada elekezi ya vyuo

    Ada elekezi kwa vyuo vikuu nchini kama ilivyo sikika siku si nyingi itatangazwa lini?.
Back
Top Bottom