Search results

  1. D

    Serikali yapeleka huduma ya mabasi ya Mwendokasi Kibaha

    Unaishi wapi wewe? Yapo mengi tu hapo Mbezi
  2. D

    Ujenzi/upanuzi wa njia nane Kimara-Kibaha una walakini

    Mkuu ufafanuzi kidogo unahitajika hapa. Hiyo barabara ya mwendokasi abiria watapanda na kushukia wapi? Sioni sehemu ya kujenga kituo. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. D

    Tetesi: ESTIM kujenga barabara Kimara - Kibaha

    Ungekuwa unatokea maeneo ya kibamba, mbezi , kimara ungekuwa unaelewa umuhimu wa barabara hii. Je unafafamu kila asubuhi saa 1 polisi hulazimika kuzuia magari yaendayo mikoani eneo la kimara mwisho kupisha njia mbili kwa magari yatokayo mbezi?
  4. D

    Tetesi: ESTIM kujenga barabara Kimara - Kibaha

    Hivi ESTIM ndio hao wako site kimara na kibamba?
  5. D

    Naomba kuuliza....

    Kwenye menu ni 148 na 149 ndizo zilizoruhusiwa na tcra
  6. D

    Naomba kujua upanuzi wa Morogoro road kutokea Kimara hadi Kiluvya umefikia wapi?

    Naona wanasafisha pembezoni mwa barabara lakini hakuna bango. Labda ndio ishara ujenzi utaanza muda wowote.
  7. D

    Naomba kuelekezwa haya kwenye Samsung galax note 5

    Kwa mujibu wa IMEI yako hiyo ni Samsung S5 maalum kwa ajili ya Verizon. Na ina uwezo wa 4G. Kwani haifanyi kazi?
  8. D

    Sijui itafungwa??

    Hiyo itabidi tu ifungiwe. Laini 5?
  9. D

    TTCL mobile (CDMA) internet settings

    Unazo contacts zao mkuu? Kwenye website yao sikupata msaada
  10. D

    app nzuri za kufuta duplicate contact's

    Tumia contacts optimizer
  11. D

    TTCL mobile (CDMA) internet settings

    Wakuu msaada kwa anaefahamu TTCL mobile (CDMA) internet settings. Nina router inayotumia CDMA sim card ambayo haikutoka TTCL kwa hiyo haina settings. Kama una modem ya USB unaweza kuzipata kirahisi zaidi. Nahitaji hizo settings ili router iweze kufanya kazi
  12. D

    Simu inanipa stress, ACM limit exceeded

    Kubadili line maana take ni ku swap tu upewe chip mpya ila namba ile ile
  13. D

    weledi nisaidieni hapa tatizo nn

    Inawezekana una enough space kwenye memory card lakini internal storage ikawa ndogo
  14. D

    Can TCRA/Airtel trace me if I change line but use same phone?

    Na pia mtandao yote itakuwa na hizo EIR Mwezi huu
Back
Top Bottom