Search results

  1. W

    Mtoa Habari za kuaminika JF

    Ninamkubali sana mafundisho na Dotto Mnzava
  2. W

    Full Time: Simba 0-2 Yanga Taifa 26/9/2015

    Yanga 2-Simba O
  3. W

    Vurugu Mwanjelwa: Wafanyabiashara wawatuhumu walinzi kuwa ni vibaka

    habri bila kuthibitishwa na mamlaka husika sio habari.
  4. W

    Mke wa Gwajima aibua hofu afya ya mumewe

    Familia ya Kiongozi wa Kanisa la Ufunuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima, imeeleza hofu yake kwamba imeshangwazwa na hali ya afya ya kiongozi huyo kubadilika ghafla akiwa mikononi mwa Jeshi la Polisi akihojiwa.Akizungumza na waandishi wa habari jana, katika Hospitali ya TMJ jijini Dar es...
  5. W

    Sumaye adai kuundiwa zengwe

    Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye (pichani), amefunguka kuhusu uamuzi wa Umoja wa Vijana wa CCM makao makuu kusitisha shughuli za kumsimika kuwa Kamanda wa Vijana wa Wilaya ya Hanang. Akizungumza na maelfu ya wakazi wa mji wa Katesh juzi, alisema ni mawazo potofu kufikiri kwamba...
  6. W

    Naitwa Wee Deree, mimi ni mgeni humu ndani

    Kama nilivyoandika kwenye title yangu mimi naitwa Wee Deree, mimi ni mgeni humu ndani. Karibuni munikaribishe.
  7. W

    Mtoto mchanga aokotwa Sinza 'C' karibu na ilipo Mahakama ya Mwanzo akiwa ametelekezwa na Mama yake

    Kwa kweli kama ndugu yetu alivyosema tuungane kuwarekebisha hawa ndugu zetu ili hili jambo lisijitokeze tena katika maeneo yetu.
Back
Top Bottom