Search results

  1. B

    Rais Magufuli azidi kupotoshwa na Wasaidizi wake

    Hiyo ya kutafuta wataalamu wa IT Rwanda ni sawa na kwenda kutafuta migodi ya Tanzanite Kenya
  2. B

    Urembo bandia mimi unanikera

    mambo haya yote ya majambo bandiaz yanaletwa kwenu kwa hisani ya wanaume
  3. B

    Rais Kikwete amteua Shaban Lila kuwa Jaji Kiongozi

    tuendelee kubomoa hii nchi, tutaijenga kesho
  4. B

    Rais Kikwete amteua Dr. Migiro kuwa mbunge

    Mmh feminist? Alishiriki wapi ufeministi? Wala hauamini...akiwa UD zilikuwa mbwembwe za nitoke vipi
  5. B

    Tanzania hakuna Proffessor wala Chuo Kikuu ( Wote wasanii tu na Ujanja ujanja tu)...

    MKATA KIU, samahani lakini ni professor na si profFessor. Samahani mkuu
  6. B

    Maprofesa UDSM Wanyimwa Mkataba wa Kazi

    Kwa kauli hizi, elimu ya Tanzania ina matatizo ya muda mrefu si aliyoyaonesha Dr. Ndalichako mwaka huu pekee, ila hata kwenye vyuo vikuu kuna div. 0 nyingi zilipata digrii
  7. B

    Kumekucha Bajeti: EU yaongeza masharti ya misaada kwa Tanzania

    Hao EU wajitoe jumla ili tupate akili. Kama hawafaidi wanachangia nini?
  8. B

    Kutokwa na maziwa

    Msogo wa mawazo au aina ya dawa zinaweza kuleta mparaganyiko wa hormones na kusababisha hali hiyo. Tanzania lazima wakupime mimba kwani kutokwa maziwa kunahusianishwa na mimba. Madaktari bingwa wa JF watasaidia zaidi hapa
  9. B

    Ninani Profesa Mbele??

    Profesa akiwa na akili sana Tanzania anaishia kupewa vyeo vya kisiasa, ukikosea njia kidogo unaishia kuwa wa hovyo (kama baadhi yao walivyo sasa), bora ujifanje profesa zuzu uendelee kuganga njaa lol
  10. B

    Wabunge wataka Umri wa kugombea Urais uwe 35; Zitto asema umri mkubwa ni ushamba

    Tatizo kubwa ni kwa waliodhalilisha mamlaka ya urasi wa Jamhuri ya watu wa Tanganyika kufikia hatua ya kuwaona Watanganyika 'washamba' pale wanapohoji aina na malengo ya 'udikteta' wa vijana wanaotaka kuumeesha kwa kivuli cha ujana. Who said we need our president to swim in all valleys, lakes...
  11. B

    GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

    Poa tu, kwa sababu hata BAE ni kampuni ya China!:A S confused:
  12. B

    Ombamba maarufu, Matonya, afariki dunia

    Pumzika kwa amani pacha wa JK!
  13. B

    A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

    ...wanajua Watanzania wengi ni wasahaulifu, punde tatasahau, watafanya mabaya zaidi...
  14. B

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    JK, Bilal, Pinda hawajafika Muhimbili kumpa pole?
  15. B

    Wanaume wa Tanzania hawaogi, Hawafui nguo za ndani, Hawapigi mswaki?

    "Ukirusha jiwe kwenye giza, atakayepiga kelele ujue jiwe limempata". Don't prove this ka chic right wakuu!
  16. B

    Danish PhD student on Nyerere and "Vijiji vya Ujamaa"

    If your PhD supervisor has a head, you're far from being even a PhD candidate but if s/he has a coconut instead you're a briliant student!
  17. B

    Asha Mkwizu Hauli-Na kesi ya kumuua hawara wa mumewe

    Mkuu Mtambuzi Asante sana kwa kuandika habari/hadithi nzuri kwa mpango mzuri na lugha fasaha
  18. B

    Mwandishi amchoma Mahanga mahakamani

    Labda Baba M anaandaa mazingira ya kumpumzisha
  19. B

    Mtoto kiume wa Lowassa aandaliwa kuchukua jimbo la Monduli

    Wasijipange kuchukua Monduli na Arumeru Mash. tu wasonge mpaka Bukavu
  20. B

    Joyce Mhavile ashauriwe

    Unamaanisha akili yake itafikiri vyema akiwa na mwanaume wa kudumu au yeye akiwa mwanamke wa kudumu?:thinking:
Back
Top Bottom