Search results

  1. Nguvu ya Ajabu

    Mtafute Shafii Dauda popote alipo, umpe salamu zake, na umwambie kuwa: THIS IS SIMBA

    Shafii Dauda ni mchambuzi wa soka ambae yuko negative sana na soka la Tanzania especially Simba. Tangu simba walipoanza kushiriki michezo ya clabu bingwa mwaka huu, amekuwa akitoa maneno ya kuonyesha kuwa simba ni mtoto mdogo na hafiki mbali, huku akizisifia team pinzan. Bahat nzuri kila mara...
  2. Nguvu ya Ajabu

    Sio vizuri kumsema vibaya marehemu lakin hili la Dudubaya kuwekwa ndan na kufutiwa leseni linatia ukakasi.

    Mtu kuwa marehemu hakuondoi uchungu kwa wale aliowafanyia mabaya. Na ndo maana baadhi ya mila zina ruhusu mtu kusema kama alikuwa anadaiwa au anamdai marehemu. Na baadae mtu anaweza kusema kama alizaa na marehemu. Na ndo maana mpaka sasa kuna watu wamefungua kesi wakidai kunyanyaswa na marehemu...
  3. Nguvu ya Ajabu

    Kenya wameweza. Tanzania hii chini ya Magufuli lazima tuweze ikiwezekana hata kwa viboko.

    Wakuu nimepata clip hii ya Uhuru Kenyatta President wa Kenya akijivunia jinsi nchi yake inavojitegemea kwa 100% katika matumizi yote ya Serikali. Nikapata tamaa ya kuona Tanzania ikifika apo na zaid katika kipindi hiki cha Magufuli. Ili kufika uko haihitaji siasa wala kubembelezana. Au...
  4. Nguvu ya Ajabu

    Ni ajabu watanzania kumchagua mtu anaehonga Maaskofu

    Katika hali ya kawaida ni rahisi sana kufikiri kwa kutumia sences zingine za mwili.Either ukatumia hisia au ujinga wa kushindwa kufikiri na ukavutwa na mob psycology. Ukiwaza kuhusu kinachoendelea katika siasa za Tanzania ni rahisi sana kutambua kuwa elimu yetu au vyuo vyetu havitoi wasom wenye...
  5. Nguvu ya Ajabu

    Nimevurugwa sina hamu na mwanamke

    ndugu zangu wa jf. salaam aleikum. ni mara yangu ya kwanza kujitokeza humu ndan kwa kutoa yaliyonisibu. naomba mnishauri wana jf. nimeoa na nimebahatika kupata mtoto mmoja. mke wangu ni mzur na nimeish nae kwa aman. nimekuwa msaada kwa familia yake. nimewasaidia sana ndugu zake kwa kuwapa...
  6. Nguvu ya Ajabu

    Hodiiiiii

    Hodi wenyewe. funguen mlango wagen tuingie. tusaidiane kuchambua hoja na kubadilishana uzoefu.
Back
Top Bottom