Search results

  1. bruno castol

    Je, ushawahi kumpenda msichana kiasi kwamba anakwambia ana mpenzi lakini wewe huelewi?

    Mimi nilikua hata nikiiona nyumba yao naridhika, hahahaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. bruno castol

    Arumeru: Jerry Muro awaambia wananchi kama hawataki kufuata sheria na kanuni za nchi basi wahame nchi

    naona alitaka kurusha ngumi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. bruno castol

    Shahidi kesi ya bilionea Msuya: Niliteswa mpaka nikahasiwa na Polisi na kuamua kumfukuza mke wangu

    Mimi nishawaonya wanangu nisimsikie hata mmoja anasema anataka kua askari polisi,
  4. bruno castol

    Nikikumbuka hii mbinu niloitumia huwa nacheka sana

    Mwanamke ni kama kuku akiwaanatamia mtoe mloweke kwenye maji baridi mtoe kasahau kutamia na ataanza kutaga
  5. bruno castol

    Je, sheria ya hotel levy kwenye nyumba za wageni bado ipo?

    Aiseee, mimi mwenyewe nilisikia hivyo, sasa siku naenda kukata leseni mpya yaliyonikuta ni majuto, deni na penati zake, na kwa sasa ikifika tarehe 7 hauajalipa faini pekee sh laki 2 kwa mwezi, manispaa ya ubungo
  6. bruno castol

    Kilichonikuta leo Ubungo Bus Terminal kimesadifu ukweli wa kauli ya Mh Donald Trump

    Pumbavu wewe, habari ndeeeeefu iliandikwa na jinga
  7. bruno castol

    Mbunge wa CCM, Musukuma kumtukana mbunge wa CHADEMA (Lema) ni sawa?

    Mtu mwenyewe hua naona kama ana matatizo, dawa yake kumwombea aache kuwakejeli wenzie
  8. bruno castol

    Tumpigie Rais Magufuli kura ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017

    Hivi ushindi wa mtu ni vigezo au kwakua mko wengi kuliko rwanda
Back
Top Bottom