Search results

  1. M

    Natafuta mhisani wa mradi wa kilimo-mazingira

    Wana JF, habari ni za siku nyingi. Mradi wetu Mifugo na KILIMO sasa unataka kujipanua hadi kufikia kilimomazingira. Tutajikita katika kilimo mazao, misitu, Nyuki, samaki na usindikaji wa mazao mbalimbali yatakayozalishwa na mradi wetu. Kwenye kuweza kutusaidia kupata mhisani (Granter) atujuze...
  2. M

    Procurement and business consultants needed

    PBC Ltd ni kampuni mpya ya ushairi wa ununuzi na biashara. Tuko Tabora manispaa. Tunatafuta wataalamu wenye uwezo katika fani ya ununuzi (Procurement) na uhasibu (Accountancy) Sifa: Kwa upande wa Procurement; Mtaalamu awe na uwezo wa kuichambua na kuielewa vizuri Sheria ya manunuzi ya umma ya...
  3. M

    Natafuta watengenezaji wa stickers

    Habari za siku nyingi wana JF Nataka kupack bidhaa za chakula, hivyo basi natafuta mtaalamu wa kutengeneza stixkers ili nibandike nembo na maelezo ya vidhaa zangu kibiashara. Kana uko tayari piga sasa nivi 0764 601903
  4. M

    Soko la unga wa muhogo liko wapi?

    Wana JF....Habarini Mimi nataka kuwa mkulima mzuri wa mhogo na nataka kuuza unga wa mhogo ulio mweupe kama unga wa ngano (Kivunde).....Nipeni sasa soko lake ikiwezekana na bei ya kila mahali ili tufanye biashara. Kwa sasa ninao kiasi wenye kutaka tuwasiliane Na. 0764 601903. UTAFURAHI..
  5. M

    Nina unga wa muhogo niuze wapi?

    Wenye kuhitaji unga WA muhogo tafadhali tuwasiliane 0764601903
  6. M

    Kwa anayehitaji Dreva /Opertor wa excavator anapatikana

    Habari za siku nyingi wadau. Nina kijana mtaalamu mzuri wa kuendesha Excavetor kama unamhitaji kumpa ajira piga sasa hivi namba 0764601903 au 0784325436. Watu hawa ni nadra sana kuwapata,utakuwa umepata bahati kubwa. KARIBUNI
  7. M

    Viwanja vinauzwa mjini Chato

    Habari za muda wadau wangu... Nawatangazia kuwa ninauza viwanja viko mjini wilayani Chato kingine kizuri sana kinatazama ziwa Victoria. Fanya mawasiliano haraka kwa Na. 0764601903 ndani ya siku tatu... Chato inafunguka kwa kasi ya ajabu.... Viwanja hivi vinafaa kwa biashara (Mahoteli) na...
  8. M

    Natafuta machine ya kukoboa mpunga Full set

    Wauzaji wa mashine za kukoboa mpunga na kusaga mahindi kama ni muuza nipe bei..... Piga tuongee 0764601903
  9. M

    Natafuta mtaalamu wa kuuza duka la madawa ya mifugo

    Mtaalamu wa kuuza Duka la Madawa ya mifugo anahitajika haraka sana. Awe na sifa zifuatazo: Awe na Certificate ya Animal Health and production kutoka Chuo kinachotambulika PIGA SASA HIVI SIMU NA. 0764 601903
  10. M

    Binti mwanasheria anapatikana

    Mwanangu sasa amemaliza shahada ya kwanza ya sharia katika Chuo cha SAUT Mwanza. Kwa yeyote mwenye kuhitaji mwanasheria anipiige moja kwa moja namba 0764 601903. Yuko tayari kufanya kazi ya sharia popote Tanzania. KARIBUNI!
  11. M

    Natafuta Wafanyakazi wa shambani

    Wana JF Shaloom, Ninatafuta wafanyakazi wawili wa kudumu watakaokaa shambani na familia zao kwa ajili ya kazi mbalimbali na vibarua vya shambani. Malipo yataendana na kazi au vibarua watakavyofanya (Vibarua na kazi shambani ni nyingi sana). Nyumba ya kukaa ya familia na maji watapewa bure...
  12. M

    Mtaalamu wa mifugo na kilimo anahitajika

    Natafuta mtaalamu wa Mifugo na Kilimo kwa ajili ya kuuza duka la madawa ya mifugo na pembejeo za kilimo. Niko Tabora. Awe na sifa ya uzoefu na elimu ya taaluma angalao awe na Cheti cha Animal Health and Production au General Agriculture Piga moja kwa moja sasa kwenye Na. 0764 601903 kwa...
  13. M

    Natafuta Automatic Incubator

    Nisaidieni kupata AUTOMATIC INCUBATOR yenye uwezo wa kutotoa mayai 300
  14. M

    Natafuta mpishi wa supu ya kuku wa kienyeji na mchemsho wa karanga na ndizi au viazi mviringo

    Wana JF, Mimi natafuta mwanamke mfanyabiashara fundi wa kupika supu ya kuku wa kienyeji na awe mtaalamu wa kupika mchemsho wa kuku uliochanganywa na karanga viazi mviringo au ndizi. Utaalamu wake uambatane na utengenezaji mzuri wa chapatti na maandazi. Atapewa malipo mazuri. Kazi hiyo...
  15. M

    Nanatafuta mpishi wa kupika supu ya kuku na mchemsho wa kuku na karanga

    Wana JF, Mimi natafuta mwanamke mfanyabiashara fundi wa kupika supu ya kuku wa kienyeji na awe mtaalamu wa kupika mchemsho wa kuku uliochanganywa na karanga viazi mviringo au ndizi. Utaalamu wake uambatane na utengenezaji mzuri wa chapatti na maandazi. Atapewa malipo mazuri. Kazi hiyo...
  16. M

    Nisaidieni kupata soko la Njugu na Komamanga

    Wana JF, Kwa mara nyingine naomba mnijuze soko la Komamanga na Njugu. Mimi ni mkulima kwa sassa nina njugu za kutosha lakini pia natarajia kuwa na kilimo kikubwa cha Komamanga mwakani. Nawaombeni mnipe mrejesho wa masoko ya mazao hayo tafadhali. Nasubiri mawazo mwenzenu
  17. M

    Soko la njugu liko wapi?

    Wana JF...Nimevuna njugu za kutosh sasa natafuta soko lenye bei nzuri tafadhali tuwasiliane....
  18. M

    Soko la Komamanga lipo?

    Mimi ni mkulima wa matunda mbalimbali. Nataka kulima Komamanga, nauliza kilimo hicho kitanitoa? Soko lipo? na kama una uhakika wa soko hilo nijulishe tafadhali.
  19. M

    Natafuta Farm Manager

    Hello JF, Ninatafuta Farm Manager kwa ajili ya usimamizi wa mradi wa shamba ulioko Tabora Kipalapala Matankini. SIFA: Awe na Elimu ya Form Four na utaalamu ngazi ya cheti katika fani ya Kilimo na Mifugo na uzoefu wa angalao miaka miwili na kuendelea. Asiwe mlevi bali awe mwaminifu. Awe na...
  20. M

    Natafuta mnunuzi wa kuku wa kienyeji

    Mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji niko Tabora Kipalapala -Matankini. Ninao kuku wa kutosha kuuza kuku 200 kwa wiki. Kama unaona unaweza kuwa Mnunuzi wangu tafadhali tuwasiliane kwa namba 0764601903. Kuku wetu ni wazuri sana maana tunawalisha na kuwapa nafasi kujitafutia chakula chao wenyewe...
Back
Top Bottom