Search results

  1. C

    BP wanauza mafuta km kawaida...

    wameruhusiwa kuuza mafuta kwa kununua kutoka kwenye makampuni mengine lakini si BP yao. kwa hiyo BP watakuwa hawauzi unleaded.Ila sidhani kama BP wenyewe wanakubaliana na hili kuuza mafuta ya makampuni mengine.
  2. C

    Mazingaombwe (Jugglery) ni Sayansi au Uchawi?

    mimi nilikuwa mmoja wa mwanamazingaombwe wa enzi zile unataka kujua nini kwani?tuliacha baada ya kutokea matatizo fulani hivi.....
  3. C

    Umewahi Sikia Hii??

    Duh hiyo kali sasa
  4. C

    Nissan X-Trail, Harrier, Rav 4

    nahisi mzee punch huifahamu harrier vizuri ni hivi harrier zipo za cc 3000, cc 2200 na cc 2400 na pia kuna yenye 4*4 full time na 2 wheel drive, ya cc 3000 usiiguse kama hela yako ya mawazo, ila cc 2200 consumption yake ni ndogo mno ni kama RAV 4,huwa naendesha nakwenda nayo moro na kurudi...
  5. C

    Nissan X-Trail, Harrier, Rav 4

    nahisi mzee punch huifahamu harrier vizuri ni hivi harrier zipo za cc 3000, cc 2200 na cc 2400 na pia kuna yenye 4*4 full time na 2 wheel drive, ya cc 3000 usiiguse kama hela yako ya mawazo, ila cc 2200 consumption yake ni ndogo mno ni kama RAV 4,huwa naendesha nakwenda nayo moro na kurudi dsm...
  6. C

    Sasa waweza tuma SMS bure

    Nashukuru mkuu kwa kushare nasi vitu vizuri nachat na washikaji kwa sasa bravoooooo
  7. C

    Haya ni mazungumzo ya watanzania ndani ya daladala leo asubuhi!

    popote pale kunapokuwa na group kubwa ya watu sasa hivi Tanzania ukianzishwa mjadala kuhusu serikali ya kikwete watu huwa wanaropoka, watu wameelewa maana hata hao ccm wenyewe wanaona wameingia chaka.
  8. C

    Toyota spacio

    Mimi nimeiingiza gari mbili mwezi wa saba kupitia beforward nakuhakikishia usalama jamaa wako smart hatari
  9. C

    EWURA waridhia kupandisha bei mafuta, bei mpya hizi hapa!

    jamaa wamekuwa fasta kupandisha eti baada ya taarifa ya habari TBC nimepita lake oil ya kijichi wameshaweka bei mpya wakati walmesema bei inaanza kutumia kesho, bongo kweli noma.hakuna utaratibu kabisa
  10. C

    Lema afunua siri za muafaka wa madiwani Arusha

    jambazi kwani haruhusiwi kuwa raia mwema?
  11. C

    jamani zungu anachana huku clouds FM

    Nchi kwisha habari yake mtemvu anasema wamemsaidia mke wa masaburi kupata ubunge wa africa mashariki na hao waliosaidia leo hii wanabezwa na kutengenezewa kashfa. kumbe nchi hii ili upate cheo lazima ufahamike shenzi kabisa usipokuwa na network hata ubunge wa ndani ya nchii hii kumbe hupati...
  12. C

    jamani zungu anachana huku clouds FM

    Msikilize mtemvu anasema ANASIKITIKA KWAMBA masaburi ANAWAAMBIA WAO WAnafikiria kwa kutumia ******
  13. C

    jamani zungu anachana huku clouds FM

    Zungu katoa vielelezo kamwachia mtangazaji kwamba masaburi alisaini documents kuruhusu uda kuuzwa
  14. C

    jamani zungu anachana huku clouds FM

    Jamani zungu anafunguka balaa sakata na uda hatari kwenye jahazi clouds fm.hii ngoma inaondoka na mtu sasa
  15. C

    Wananchi tunaanza mgomo rasmi leo (PAKI GARI BARABARANI) kwa pamoja tunaweza kubadilisha nchi

    ushahidi jana nimeuziwa gesi 15kgs kwa shs 48,500/= kutoka Tshs 44,000 bongo ni noma sijui tunakwenda wapi.
  16. C

    Jamani Housegirl wangu Huyu, Ananitafuta ubaya! (STRICTLY KWA WANAUME TU)

    duh hiki ni kituko sasa huna bahati ya nini sasa?aha aha
  17. C

    Its WENDAL AND KAREN 4 BBA WINNERS

    Zimbabwe na nigeria
  18. C

    Grade ya taifa imekosa kazi jamani

    kukosa kazi. grid ya Taifa imeamua kucheza ruka kamba, Hapa ni karibu na Songas Ubungo
Back
Top Bottom