Search results

  1. Kigger

    Dhambi ambazo huwezi tubu peke yako bila kushirikisha watumishi wa Mungu

    Kuna dhambi ambazo kwame Mungu awezi kuzisamehe ata ukitubuni pamoja na uchafu (ushoga,kumdhihaki nk )
  2. Kigger

    Mwanafunzi mmoja afariki wengine hali tete wilayani Kilolo, Iringa baada ya kula futari ya msaada

    Na wewe unahoji kama nani ? Acha uswahili bana binti tiari amesha kufa ulitaka iyo taasisi iendelee kuua wengine ?
  3. Kigger

    Blog ina miaka 2 lakini hali mbaya!

    Ulichosema ni sahihi kabsa,alfu mi nasema kila siku kama hauko connected na watu uwezi kufanikiwa kwa haraka mtu una blog yako ata rafiki zako awajui sasa utafanikiwa vipi? Ujajiunganisha na bloggers wezio huna social network dah! Sikiliza Tzgospel Radio hapa Tzgospel Radio Tuna habari kutoka...
  4. Kigger

    Blog ina miaka 2 lakini hali mbaya!

    Ni mbongo si yeye tu wapo wengi wanapiga pesa mimi nikiwemo ila mimi ni online Radio [emoji343]
  5. Kigger

    Blog ina miaka 2 lakini hali mbaya!

    Sawa kama huamini ni wewe angalia tanzania emerging youth award 2023 uone wenye blog na podcast walivoshinda pesa ndefu
  6. Kigger

    Msaada: Naondoaje uraibu wa kusikiliza muziki?

    Tzgospel Radio sikiliza hapo
  7. Kigger

    Blog ina miaka 2 lakini hali mbaya!

    Bado blog ni deal maana ata wazungua wanaamini sana blog sema wao blog zao zime base upende mmoja,mfano blog ya afya inabidi Taarifa zote za afya uwe nazo na uchambuzi wakina hii itakusaidia kupata matangazo la afya na inakubidi uwe connected na watu kuna dada ana blog ya afya uwezi amini...
  8. Kigger

    Blog ina miaka 2 lakini hali mbaya!

    https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1992713/
  9. Kigger

    Namna ya kuazisha kituo cha radio (online radio)

    Lazima awashe data atatumia mb 54 kwa lisaa
  10. Kigger

    Blog ina miaka 2 lakini hali mbaya!

    Mi nimewekeza kwenye online radio napata wasikilizaji adi 60k kwa siku
  11. Kigger

    TANZIA Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe

    Niliwasiliana na bro kuhusu kunisaidia kuweka radio yetu Tzgospel Radio Tzgospel Radio satellite alinipa ushirikiano wa kutosha na mwongozo ilikua ni vibali pekee tu nimekaribia kukamilisha kaka umeenda kaka umeendaa! Ungesubiri basi radio iingie kwenye satellite
  12. Kigger

    Utekaji umeanza tena? Imam Mkuu wa msikiti wa GPB Geita atekwa

    Iwe ni dini liwe ni kabila au chama kamwe atuwezi kukubali watuvunjie amani kwa namna yoyote ile
  13. Kigger

    Kuna mambo nilikuwa nafanya wakati wa ujana yananitesa

    Wabongo wape kichwa cha habari pekee
  14. Kigger

    Azamu TV acheni udini kwenye channel zenu

    Mbona zamani itv walikua wanaonesha mechi
  15. Kigger

    Kwanini mkoa wa Njombe una vilima vingi?

    Nangoja jibu kwa mtaalamu
  16. Kigger

    Mradi wa Igoma 2 Buhongwa na Wakenya

    Tanzania mbele usituchanganye wakati ujui sheria inasemaje
Back
Top Bottom