Search results

  1. H

    Kiongozi wa dini anaposepa na rambirambi za msibani

    Viongozi hao hao au wengine wanashawishi waumini wao wakiwa wazee au wanaumwa na hawajiwezi wawapelekee mayai na kuku ati wawapatie baraka. Yale yale akilalamikia Martin Luther. Kanisa la Kristu limechanika vipande vipande (madhehebu) zaidi ya 40,000 kutokana na upotoshaji wa malengo ya dini na...
  2. H

    Mugabe awalipua Walokole

    Utapeli ni wizi na hivyo ni kinyume cha haki na sheria. Hao wanaofanya biashara ya kumwuza Mungu wanauza bidhaa ambayo hawakununua, isiyo na idadi (stock) inayopungua, isiyo na expire date na ambayo hutajua ubora wake (guarantee) mpake ufe. Kwanza wanakuambia maneno kadha wa kadha waliyookoteza...
  3. H

    Mugabe awalipua Walokole

    Utapeli ni wizi na hivyo ni kinyume cha haki na sheria. Hao wanaofanya biashara ya kumwuza Mungu wanauza bidhaa ambayo hawakununua, isiyo na idadi (stock) inayopungua, isiyo na expire date na ambayo hutajua ubora wake (guarantee) mpake ufe. Kwanza wanakuambia maneno kadha wa kadha waliyookoteza...
  4. H

    PICHA: Uharibifu uliosababishwa na Waislamu Mbagala

    Compare and contrast huo msikiti na hilo kanisa. Chance ni kwamba huo msikiti ulijengwa kwanza, kanisa likaja baadaye. Ni wazi kwamba kanisa linaonyesha mafanikio makubwa wakati msikiti umedumaa. Badala ya kuona hii tofauti ya mafanikio kama changamoto kwa aliye nyuma kujifunza kwa aliyekupita...
  5. H

    The World’s Most Beautiful Bridges

    Here is the flip side: follow the link below to bridges to nowhere! Roads to Nowhere: Abandoned, Ruined and Unfinished Bridges | Interbent
  6. H

    Africa on the Move

    I like the humorous approach!
  7. H

    Mzee Eddie Murphy huyo na katoto kadogo.

    Miaka 28 katoto kadogo kako wapi? Mijitu mizima, kazi kumezea mate mali ya wengine tu, halafu kujitia zabibu mbichi.
  8. H

    Bungeni: Mjadala wa dharura juu ya mgomo wa wauza mafuta

    Jazba, jazba tu. Jazba daima inaharibu, haijengi. Serikali inatakiwa ibalance interest za pande nyingi, ndiyo maana serkali iliyo civilized inafikia maamuzi kwa mazungumzo na wadau na siyo kulazimisha maamuzi ya upande mmoja kama tulivyozoeshwa huko nyuma. Nchi nyingi za Africa zimekosa...
  9. H

    Fuel crisis: Serikali ifanye maamuzi magumu

    Shukrani kwa wachangiaji wa mada hii muhimu kwa taifa. WaTz inabidi tuzingatie ule usemi unaosema "asiyejifunza kutokana na makosa ya huko nyuma ni rahisi kuyarudia makosa hayo" Taifa lisiloweza kusahihisha makosa yake bali linayarudia rudia haliwezi kuendelea kamwe.
  10. H

    Sokoine angefaa kuongoza kizazi cha sasa?

    Jamani, haya maneno kama "haki" na "uwajibikaji" wengine, (ijapokuwa siyo mtoa mada), tunayatumia tu ovyo ovyo bila kujali kama hapo yanapo-apply yana ukweli? Ama ni ule utumwa wa fikra na mawazo tuliofugwa wakati huo na wengi wetu bado wanashindwa "kujivua gamba" hilo? Sokoine alibobea kwa...
  11. H

    Tulikwenda kupigana msumbiji kama nani!!

    Originally Posted by FaizaFoxy nyerere alikuwa dikteta na wengi wapetoa si huyo tu. Mpaka alikuwa na sheria yake binafsi ya kumfunga mtu na hatolewi mpaka yeye ndiye aamuru. Mkuu, naona alimaanisha "na wengi wamepotea si huyo tu"
  12. H

    Tulikwenda kupigana msumbiji kama nani!!

    Originally Posted by Amiliki Mwaka 1975 Baada ya kurudi kutoka katika Vita vilivyomwondoa Mreno Msumbiji tulikusanyika pale Lugalo Jeshini ambapo Mwalimu JK Nyerere alikuja kutupongeza kwa Ushujaa uliomwondoa Mreno . Katika Hitimisho lake Mwalimu akasema, Mashujaa Mmerejea tunawapokea kwa...
  13. H

    Mapigano ya kugombea ardhi yaua Tegeta

    TUSISAHAU KUWA SERA YA ARDHI ALIIANDIKA ISSA SHIVJI KWA STAILI ILE ILE ANAYOTAKA KATIBA MPYA IANDIKWE. MATOKEO YAKE NI MIGOGORO YA ARDHI ISIYOISHA NA WAGENI KUJA KUWANYANGANYA WANANCHI ARDHI YAO. MIFANO IKO MINGI, TEGETA NDIO WA LEO TU. TUKIMSIKILIZA SHIVJI TENA LEO KATIKA MASWALA YA KATIBA...
  14. H

    Pesa mpya jamani vituko

    Labda wazungu kwani wana historia ya uungwana. Lakini wanaotunyemelea ni wahindi, waarabu na wachina, nao si waungwana hata kidogo. Swala la kutawaliwa tena na wazungu waungwana haliko. Kilichoko ni kutawaliwa na matapeli, mijizi na miuza unga kutoka kote duniani wakishirikiana na hawa akina...
  15. H

    Mujahidina aonyesha hamu kubwa ya kuhamia USA

    Mujahidina aonyesha hamu kubwa ya kuhamia USA Said Jaziri, Controversial Muslim Cleric, Caught After Allegedly Entering U.S. Illegally East of San Diego By Dennis Romero, Thu., Jan. 27 2011 @ 6:07AM YouTube http://www.youtube.com/watch?v=V-35Oqk20-U&feature=player_embedded Said Jaziri...
  16. H

    mume wangu jamani

    Usidanganywe na wanaokuambia "uende kwa Mungu". Hao viongozi wa dini ya mtu mmoja ukienda kwao hujaenda kwa Mungu bali umeenda kwenye makucha yao, nao hawana uwezo wala nia ya kukupeleka kwa Mungu bali nia yao na uwezo wao ni wa kukuopoa hela yako na kukufilisi kama walivyowafilisi wafuasi wao...
  17. H

    Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?

    Matokeo yamefisadishwa kwa Rostam Aziz/Vodacom na Necta. Ukitaka kujua matokeo yako inabidi umlipe shs 400 kwa kila mwanafunzi kwa kila wakati. Hakuna ujanja wa kujua wenzako wamepata nini au shule yako imeshindana vipi na shule nyingine. Hivyo ndivyo serikali yetu, na hivyo nchi yetu pamoja na...
  18. H

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    Bolivia: wananchi wawachakachua polisi kwa mawe na kuwarudishia mabomu yao yamachozi na kuvunja nyumba za serikali huku polisi wakitimua mbio. Wao wanajitia jasiri tu wa kupiga ili mradi anayepigwa hajibu mapigo. Ndiyo maana wanawaogopa majambazi hata kama wakiwa na mapanga tu lakini wanaonea...
  19. H

    Elections 2010 Kumbe rostaz alikua afrika kusini, siku kura feki zinadaiwa kuingizwa toka huko?

    Ama kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza! Wanazidi kutoa ushahidi wa ushiriki wao katika uchakachuaji wao wenyewe!
Back
Top Bottom