Search results

  1. I

    Dr. Shein kumrithi Kikwete

    Hivi Katiba ya 1977 na hii inayopendekezwa si imesema Rais wa JMT pia ndiye Rais wa Serikali ya Tanganyika?
  2. I

    Je, kunahitajika ‘affirmative action’ ili Mzanzibari aweze tena kuwa Rais wa JMT?

    Tume ya Jaji Warioba iliona hili. Ndio maana ikapendekeza Serikali Tatu. Kwa mfumo wa sasa wa Muungano, ambamo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mdiye pia Rais wa Tanganyika au Tanzania Bara haiwezekani Mzanzibari awe rais wa JMT. Haiwezekani
  3. I

    Warioba:Tumenaliza kazi yetu, Prof Baregu: Rais ametoa vitisho

    Wala wabunge wa Bunge Maalum la Katiba wasipandishe presha. Waseme tu na wawe na msimamo kuwa: 1. Kwa kuwa Serikali ya Muungano pia ndiyo Serikali yaTanzania Bara au Tanganyika, lazima Rais wa muungano awe Mtanganyika yaani aliyezaliwa Tanzania Bara na ambaye sio Mzanzibari. Vinginevyo...
  4. I

    Msaada wa sheria ; mgogoro wa kiwanja,

    Kama nyumba ina thamani ya zaidi ya shilingi 50 milioni haiwezi kuanzia kwa serikali za mitaa.
  5. I

    Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    Wazanzibari hawatamkubali. Isitoshe, ikiwa serikali ya muungano pia ndiyo serikali ya tanganyika inakuwaje kiongozi wa serikali ya tanganyika atoke zanzibar? Tafuteni mwingine kwa ccm Watu kama kina asha rose migiro hawajawahi kugombea hata nafasi ya ujumbe wa nyumba kumi na kushindanishwa na...
  6. I

    Migiro (for Presidency 2015) na Tibaijuka (Uwaziri Mkuu 2010) Wanatosha Kuitakasa CC

    Asha Rose Migiro hajawahi kuchaguliwa kwa kura hata kuongoza kata. Ni Mtu wa kubebwa tu. Aliingia Bungeni kupitia nafasi za wanawake wa kundi maalum Vyuo Vikuu; nafasi ambayo sasa anaishikilia Dr Fennella Mukangara, Waziri wa Habari. Kuna wanawake wengi ndani ya CCM wenye uwezo, azma na nia ya...
  7. I

    CCM imehujumu TBC1 na matokeo yake ni kunyima watanzania haki ya msingi

    Sio TBC tu. Angalieni hata magazeti ya Serikali ya Daily News na Habarileo. Mvuto umekwisha tangu Mruma alipoondoka. Hivi yuko wapi? KUna mwenye taarifa?
  8. I

    DK. Bilali Chaguo la JK Kumrithi 2015?

    Wakati mwingine lazima tukae chini tujiulize, tutafakari mambo yafuatayo: Kwanza: Tunaambiwa Tanzania ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Pili: Tunaambiwa kuna nchi inaitwa Zanzibar Tatu: Tunaambiwa kuna watu wanaitwa Wazanzibari. Kwa hiyo kimantiki tu ni kuwa kuna Watanzania ambao sio...
  9. I

    Yona, Mramba trial moved to next year

    Hivi waandishi wa habari tumefikia wapi hadi kuandika maoni kwenye story. .......which saw it receive a whopping 65bn/- (USD 50 million.Hiyo kwenye red ni opinion.
  10. I

    Mwanahalisi leo duh! Pinda naye jamani gogoro la CUF alitakia nini?

    Pia kuna uchambuzi wa miaka 50 ya Uhuru na namna sera zinavyoathiri maendeleo vijijini
  11. I

    Utata wa Tanganyika na Tanzania

    Nadhani ni kwa interest ya Wazanzibari kuwa kuwe ka Serikali ya Tanzania, vinginevyo iwapo serikali ya Muungano ndiyo hiyo hiyo serikali ya Tanganyika, haiwezekani basi Mzanzibari kuwa Rais wa Serikali hiyo kwani atakuwa Rais wa Tanganyika pia. Nadhani wanaobisha hawajaliona hili kwa upeo. Kama...
  12. I

    Banda la Tanzania, Lang'aa Maonyesho ya ITU Geneva.

    Yaani Watanzania wameenda Geneva kumwonyesha Mtanzania mwenzao yanayofanyika hapa Tanzania? Tungeonyeshwa viongozi wa mataifa mengine wakiwa kwenye hilo banda.
  13. I

    Bastola ya Aden Rage na CCM

    Nadhani ni kosa la jinai kwa mtu kuonyesha silaha hadharani kama sio mwajiriwa wa kampuni za ulinzi.
  14. I

    Nataka kuanzisha kampuni ya uchapishaji..!

    Mpigie simu mdau Bwana Isaac Mruma, nadhani namba yake ni 0786406340 ana uzoefu na amefanya shughuli hizo muda mrefu na amesaidia wengi. Au pitia tovuti ya Media Partners Mediacom Partners » Strategic Communication, Public Relations,Media development uone kazi wanazofanya na namna watakavyoweza...
  15. I

    Sitta ataimaliza CCM

    Wandugu nimesoma makala haya kwenye tovuti ya Shirika la Habari Vijijini Tanzania Shihata Igunga na fumbo la imani vijijini Na Mwandishi Wetu, Igunga VUMBI, upepo na baridi ni mambo unayotakiwa kuyazoea uwapo katika Wilaya ya Igunga. Jioni moja katikati ya Julai mwaka huu...
  16. I

    Kaka wa Karzai auawa kwa kupigwa risasi

    Hivi mtu wa miaka 40 ni mzee? mnamuita huyu aliyemuuwa ndugu yake Rais Karzai kuwa ni mzee, lakini ana miaka 40.
  17. I

    Magazine deal-Nahitaji sapoti wadau

    Tuma namba yako ya simu kwenye email address hizi: info@mediapartners.co.tz na info@shihata.co.z au piga simu 0736501680 au 0737182930 uache namba yako ya simu kwa atakayepokea. Pia tembelea Mediacom Partners » Strategic Communication, Public Relations,Media development au Shihata uone...
  18. I

    Suala la mmiliki feki dowans: Wahariri walihongwa

    Kwa mtu mwenye akili timamu, ni dhahiri kwamba habari ya mmilki feki wa Dowans ilikuwa na kasoro nyingi za kiuandishi. Hata magazeti yaliyo makini kama Mwananchi yaliingizwa mkenge na kuwa na ushabiki. Eti mtu anakuambia anamilki kampuni yenye hadhi kubwa duniani halafu anasema hataki apigwe...
  19. I

    Toyota Starlet!!

    Ni gari zuri. Wala usijali kuliendesha iwapo wenzako wanayo magari 'makali'. Full tenki ni wiki nzima hata kama unaishi Mbezi Beach na kufanya kazi Kariakoo. Ila nunua EP 91 ndiyo latest.
Back
Top Bottom