Search results

  1. N

    Kambi ya Lowassa njooni hapa tumnadi Magufuli

    Uchaguzi Umekwisha, Mgombea Wetu Kakatwa Kwa Hila. Sasa Kama Kweli Mgombea Aliyepachikwa Na Chama Anapendwa Na Wananchi Kuliko Lowasa, Atashinda Uchaguzi, Kwa Kuwa Mgombea Wetu Kakatwa Kwa Uonevu Na Hila, NAPENDEKEZA KURA ZETU ZOTE KWA UKAWA DR SLAA.TUWAACHIE MGOMBEA WAO.TUKUTANE OKTOBA
  2. N

    Kwanini wanawake wamejiweka kando kugombea nafasi ya urais?

    Ukianzia Chama Cha C.C.M Hakuna Mwanamke Hata Mmoja Aliyejitokeza Hata Ile Kutishia Tu Kutangaza Nia Achilia Mbali Kutangaza Nia Ya Kuingia Kwenye Jumba La Maulaji. WANAWAKE WENGI WA C.C.M WAPO BIZE NA VITI MAALUM.Je Hali Hiyo Inatokana Na Nini?
  3. N

    Je, Mgomo wa Madereva UMEKUATHIRIJE au UMEFAIDIKAJE nao?

    Mimi Ulinisababisha Kwanza Nichelewe Kufika Darasani, Pili, Ulisababisha Nitembee Kwa Miguu Toka Kinondoni A Hadi Kigamboni. FAIDA ZA MGOMO. Mosi, Umenisababisha Nifanye Mazoezi Ya Kutembea Kwa Umbali Mrefu Wa Kwenda Na Kurudi.PILI,kwa Watu Wanene Wasiopenda Kufanya Mazoezi Wamelazimishwa...
  4. N

    Madereva tayari wauza bidhaa, je waalimu zamu yenu ni lini?

    Mishahara haitoshi, unapandishwa daraja bila kubadilishiwa mshahara. Posho ya mazingira magumu hakuna, madai ya malimbikizo ya mishahara hayajalipwa. Kila siku wanafanya uhakiki usiokwisha. Ni lini sasa madai hayo yatashughulikiwa, ikiwa ya madereva yanashughulikiwa ndani ya siku saba...
  5. N

    Kozi Mpya Ya Uongozi Na Maadili. Chuo Cha Mwal Nyerere

    Wadau Kwa Wale Wanaohitaji Kujifua Zaidi Kwenye Masuala Ya Uongozi Na Maadili Sasa Zinapatikana Chuo Cha Kumbukumbu Cha Mwalimu Nyerere Kivukoni.Maelezo Zaidi Fikeni Chuoni Hapo.
  6. N

    Kwanini maafisa utumishi wengi wao wana majibu ya ovyo?

    Karibuni Wanajamii Forums Tujadili Sababu Za Maafisa Utumishi Wengi Wao Kuwa Na Majibu Ya Jeuri,yasiyo Na Staha Kwa Wafanyakazi Wanapokwenda Kuwaona Kwa Ajiri Ya Matatizo Mbali Mbali. Hebu Mwenye Kujua Hii Hali Inasababishwa Na Nini Aje Hapa Atufafanulie.
  7. N

    Natafuta Gari Rav 4 bajeti Mil 6

    Kama kichawa kinavyojieleza mwenye nayo aweke picha na detail zake zote hapa na contact zake.Gari Iiwe Dar es salaam ili nije kuiona na kuikagua. Karibuni.
  8. N

    Kwanini Tanzania isiingizwe kwenye kitabu cha maajabu ya dunia?

    Ni Nchi Pekee Viongozi Wake Ni Wezi Waliokubuhu Wa Mabilion Ya Sh.Ambao Wakibainika Wanabembelezwa Wajiuzuru Kisha Wanajisifu Wao Ni Nyoka Watafuta Pesa! Ni Nchi Pekee Imepambana Na Magaidi Hewa Huko Amboni Na Kwa Tukio Kama Hilo Si IGP Wala Mkuu Wa Majeshi Katoa Tamko Juu Ya Ugaidi Huo, Ni...
  9. N

    Magaidi Amboni wamewezaje kutoroka bila kukamatwa?

    Panya Road Walikamatwa Zaidi Ya Mia Tano, Maandamano Ya Cuf Na Cdm Unakuta Zaidi Ya Vijana Elfu Moja Wamekamatwa, Vipi Hawa Magaidi Ambao Walikuwa Wanarusha Risasi Wasikamatwe Licha Ya Kuwa Waliwazunguka? Intelijensia Ya Polis Ipo Wapi?
Back
Top Bottom