Search results

  1. K

    Waliopata supplementary diploma wanaweza kuajiriwa mwaka huu?

    Nataka kujua jamani kama wale waliosupua wanaweza ajiriwa bila kutuma barua TAMISEMI maana kunafununu wanasema bila kutuma maombi hawawezi ajiriwa kama miaka mingine mwenye ukweli kuhusu hili tafadhali
  2. K

    Tatizo la kuwa na ndoto au mono kama huu ni nini?

    Kunabaadhi ya siku nikilala huwa nashindwa kuhema nahisi kama nahamishwa mahali kwingine je! hii inasababishwa na nini na ntaepukaje hili jambo pia likinitokea huwa nashindwa hata kuinua mkono au kiungo chochote cha mwili.
Back
Top Bottom