Search results

  1. A

    Kuna mtu ashawahi kupokea Parcel kutoka aliexpress kupitia Speedaf?

    Wako fasta sana. Ndani ya wiki 2 mzigo wako umefika
  2. A

    TRA kwanini Wamehamishia akaunti ya malipo KCB, siyo tena NMB? Ni ufisadi baada ya Magufuli?

    Hio sio kweli. Ukiangalia vizuri hizo form utaona kwamba KCB na NMB ni benki ya anaefanya malipo (account holder). Na hela inalipwa kwenda kwa Commissioner for Customs and Excise (TRA) - Bank of Tanzania.
  3. A

    TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

    May his soul Rest In Peace! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. A

    Ununio, Dar: Serikali yakanusha kupora ardhi ya wananchi na kupewa viongozi wa umma

    Ni process gani ilifuatwa kumilikisha hivyo viwanja 22? Labda tuanzie hapo. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. A

    Mbwa wangu amegoma kula siku mbili sasa

    Mara ya mwisho kumpa dawa za minyoo ni lini? Umempiga chanjo ya pavo? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. A

    Kuna ukweli kuwa mapenzi hujengwa na ngono pekee?

    Ni kweli kabisa. Hakuna sababu ya kubanabana tena Sent using Jamii Forums mobile app
  7. A

    Makonda atangaza siku za tano ukaguzi bure wa magari Dar

    Titicomb, Ni kweli kabisa mkuu. Utaambiwa kila kitu kibovu ili mradi tuu wafidie humo kwenye spare na ufundi.
  8. A

    Serikali awamu ya tano tafadhali tanueni barabara ya Nyuki-Bunju

    Ni kweli kabisa...kipande hicho cha barabara ni kero sana kwa watumiaji
  9. A

    EWURA yapandisha bei ya mafuta tena yaenda hadi shs 2600-2800 diesel na petrol. Huku ndio kukua kwa uchumi wa viwanda

    "The increase in local prices of petroleum products is largely attributed to continued increase in the world oil market prices."
  10. A

    Nukia classic na perfume za kijanja

    Unapatikana wapi Aquatic ?
  11. A

    TANZIA: Mwanamuziki nguli wa miondoko ya Country, Don Williams afariki dunia

    May his soul rest in peace. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. A

    UJAMBAZI: Magari yote yenye tinted yapigwa marufuku na Polisi jijini Dar

    Waanze kutoa tinted wale wazee wa makumbusho. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. A

    Yuko wapi yule Traffic mwenye mbwembwe jijini Dar?

    Yupo Kawe round about ya Maringo Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
  14. A

    MK 4 ndio gemu la karne ,hakuna Arcade game linalozidi kwa ubora

    Haha...hapo sub zero lazima nipige mtu freeze
  15. A

    Weekend Story! DESPERATE!

    lara 1 is back. HNY
Back
Top Bottom