Search results

  1. D

    Pamoja na uzuri wake, Maumbile ya mpenzi wangu yananichosha mwili na roho!

    Wish ningeona picha za hicho unachokisema (ili niseme kama ni kitu kinachoweza kurekebishika hapa bongo au la...)...kama unaweza nitumie kupitia "drberno@gmail.com" au kama anapatikana maeneo ya kanda ya ziwa mlete Bugando hospital, idara ya kina mama utanikuta,tuwasiliane mkuu kama kweli uko...
  2. D

    Starlet glanza for sale

    GlanzaS for sell 5 months in Tanzania,driven by a lady...alloy wheel,jvc music and subwoofer. Serviced on time....asking price 10.5M.......Contact 0713 123 673
  3. D

    Car for sale...

    TOYOTA HARRIER LEXUS, black (95,200 KM mileage) na RAV4 L, pearly white (92,100 KM mileage)...for sale! Both in good condition, they are at Mwanza. contact 0715/767- 483 570
  4. D

    Toyota PASSO for sale

    Toyota Passo for sale...2005, KGC15-0019152, AHSBK, engine model 1KR FE 0179953. Cc 990 petrol, 92500 milege, white colour..serious buyer plz (0715/0767-483570)
  5. D

    Ni dawa gani zinazoweza kumfanya mwanamke kubeba mimba ya mapacha??

    Nimeona sbb za makusudi za watu kuhitajika kurudi shule...
  6. D

    Kungoneka wakati wa hedhi

    KIAFYA HAKUNA MADHARA KTK TAFITI ZOTE ZILIZOFANYIKA! NI SWALA LA USAFI WAKO TU...ILA CHANCE YA MAAMBUKIZI YA MAGONJWA km UKIMWI HUWA JUU SANA!
  7. D

    Ni dawa gani zinazoweza kumfanya mwanamke kubeba mimba ya mapacha??

    hakuna kisichokuwa na madhara,hata chakula chenyewe kina madhara (kilichopo ni kuthaminisha kati ya faida na madhara kipi kinabeba uzito zaidi)...thats why mi nimemshauri aonane na madaktari bingwa wa mambo ya uzazi,wao wana nafasi ya kumweleza faida na madhara yote yanayohusiana na hizo dawa...
  8. D

    Ni dawa gani zinazoweza kumfanya mwanamke kubeba mimba ya mapacha??

    shauri wa nani akamuone Osaka...c unajua cku hz kila mtu mwny koti jeupe dr!
  9. D

    Ni dawa gani zinazoweza kumfanya mwanamke kubeba mimba ya mapacha??

    dawa zipo (mf "clomiphen") lkn ni vzr huyo rafiki yako aonane na dr kwnz kabla ya kuanza kizitumia ili apewe elimu tosha ya hz dawa...anaishi wp huyo rafiki wako?
  10. D

    kitovu kuwa kikubwa nini chanzo

    kwa maelezo yako yaonesha hiyo yawezakuwa ni umbilical hernia(kama ambavyo wengine wametangulia kusema)! matibabu: kama tundu lake ni dogo chini ya sentimeta 4 linauwezekano wa kujifunga by the age of 4yrs! otherwise to the above statement..upasuaji unaweza kuhitajika ni bora ukaonane na dr ili...
  11. D

    Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Hilo tatizo huwa linasababishwa kwa asilimia kubwa na kupasuka kwa 'layer' nyembamba ya ngozi (skin) inayoitwa "acid mantle".Hii huletwa na mabadiliko ya 'hormones' yanayotokea wkt wa hedhi. JINSI YA KUJIKINGA: aepuke kula vyakula vyny mafuta sana(hasa ya wanyama),ale mboga za...
  12. D

    Jaman hii imekaaje?

    Daah,aisee pole sana..vikundi vya maana kwny facebook vinaundwa na waliofahamiana tk zamani tu either skul mates/staff mates etc lkn hawa wa kukutana tu ndani ya facebuk kaka ni umalaya tupu uliokithiri..watu washaibiwa sana wake na waume zao kwa njia hyhy uloelezea humo humo facebook kaka! Pole...
  13. D

    Mi nilishindwa sijui nyie.

    yap,urafiki unaweza kuendelea kwa uangalifu sana/some limitations...na unahitaji kuwa na msimamo thabiti ktk hilo vinginevyo mtarudiana!
  14. D

    Nahitaji mume 33-40 age

    Yes, Mwenye kuhitaji mume...nicheki kwa drberno@gmail.com ili tuongee vzr na kwa ufasaha zaidi. Thanx
  15. D

    What Makes a Loving Wife Cheat?

    You can't believe that circumstances have conspired to make your loving wife cheat on you and risk your marriage by doing so. You never thought she would be capable of such an act. Not only do you feel betrayed because she turned to another man but you also feel betrayed because she did...
  16. D

    What should u do?

    When a man steals your wife, there is no better revenge than to let him keep her. Lee Majors After marriage, husband and wife become two sides of a coin; they just can't face each other, but still they stay together. Al Gore By all means marry. If you get a good wife, you'll be happy. If...
Back
Top Bottom