Huhitaji mtaji kuanzisha biashara! Unatakiwa tu kuwa na "idea" halafu financing itafuata. Ukiwa na idea ambayo ni nzuri na itakayoleta faida, wapo watu wengi tu wenye pesa wanatunza benki huku wakitozwa gharama za kuzitunza huko watawekeza! The issue here is are you ready to start your own...
Tatizo la watanzania si wadadisi! Wakiona jambo wana adopt bila hata kufanya utafiti kidogo. Kwa mfano katika kupitia makala juu ya vikuku nimekutana na statement hii "In the book, "Culture Shock! India" the author claims that if you wear a ring on only one foot it means that you're a...
Kuacha mambo yaende yatakavyo kama ndugu yangu anavyotaka kufanya "yangu macho" ni kutoitendea haki nchi hii! Sasa ikiwa kila mmoja wetu ataamua mambo yaende hivihivi itakuaje? Ni wajibu wetu kukemea tunapoona mambo hayaendi kama tulivyotarajia, na kuchukua hatua mahususi kila inapobidi.
Ndugu...
Mheshimiwa, Kubadilika kwa ratiba ni mambo ya kawaida kabisa unless una uthibitisho usiotia shaka kuwa kulikua na malicious intention katika hilo! Wahadhiri hawa ni binadamu tu kama wanafunzi wao ambao nao pia wanaweza kuahirisha mtihani kwa sababu moja au nyingine! Sasa kama wanafunzi wanaweza...
Single mothers can not be best parent as mapenzi ya baba na mama ni muhimu kwa mtoto! Kids gets depressed wanapojikuta katika single family! Fanya utafiti! Na akikua utamwambia nini kuhusu baba yake? alikufa?! hakupendi/hatupendi?!
Mwisho wa siku atakulazimisha kumwonyesha babake na ataenda...
One thing you have not been objective ni kuona wanaume ni wajinga! Hivi kama wewe ni mwanamke, unajua mtu ana mke au hata kama hujui (though unapaswa kujua kabla hujamvulia) ukaamua kutembea nae, nani mjinga hapa?! Mimi nadhani hapa wanakua wajinga wawili wamekutana! So badala ya kupata ghadhabu...
Tatizo let watanzania ni kulalamikia kila jambo pasi kuchukua hatua! Kila chuo kina maamuzi yake when it comes to academics, na chombo kikubwa kabisa kinachamua mifumo ya academics katika respective colleges ni senete ambayo wanafunzi wana uwakilishi. Kama kuna mapungufu yeyote na tuna hoja za...
Tatizo Watanzania wanafiki, kwani ni nani anaekulazimisha kuchangia harusi mpaka ulalamike unashindwa ku- save katika account yako! Suala ni kwamba, kama kweli michango inatukera kama tuanavyosema, na tuache kuchangia! Nawahakikishia kama tutafanya hivyo, michango ya harusi itapotea yenyewe...
Its shame but i conquer with those of the opinion that such issues should be internally resolved by members disciplining each other. On the other hand, we are all sinners! if you are not a fornicator, you are a lier and so on, So help us God!
People with such idea, who can not respect others with different views or perception, why do they want us to agree with them???!!
I tend to believe this guy is one of the beneficiaries of the current system that undermines democracy, exploitative and dubious!!
How can a person or people...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.