Search results

  1. Jopaki

    Wenza nao kulipwa mamilioni halikubaliki viongozi muogopeni Mungu

    Waafrika sisi ni watu wa hovyo sana na tumethibitisha hilo mara nyingi sana..
  2. Jopaki

    Mshikaji wangu anatembea na ex wangu

    Mama yangu aliwahi kunishauri vitu ambavyo huna matumizi navyo tena wape wenye mahitaji...
  3. Jopaki

    Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko amesema kuwa serikali haiwezi kusema ni lini mgawo wa umeme utakwisha

    Wewe ni mzalendo wa viongozi sio mzalendo wa nchi
  4. Jopaki

    Nabii Sanga: Mgawanyiko mkubwa utaikumba CCM mwaka 2024 na 2025, tuiombee

    Kuna tofauti ya Mungu na MUNGU wewe unasemea yupi?
  5. Jopaki

    Aibu Vyama Mamluki Kugomea Maandamano Wakati Wanaccm Wapo Waungao Mkono

    Siku ukijua kwa nini Africa ilitawaliwa kirahisi na kuwa enslaved hutowaza mara mbili.. Ngozi nyeusi sisi tunapungukiwa sifa za binadamu kamili mwenye utashi
  6. Jopaki

    Kwanini Dr Slaa ana chuki kubwa sana na Rais Samia?

    Unajibu kama vile umekatika kichwa... hoja za msingi unajibu taarabu...
  7. Jopaki

    Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    Nilikuwa naona kama wanaonewa ila baada ya kuona hii clip ni bora Israel waendelee kugeuza Gaza yote kuwa vifusi tuu..
  8. Jopaki

    Shaka Hamdu Shaka ana hatari huyo

    Joho wa Mombasa anahusikaje tena hapo mkuu?
  9. Jopaki

    Profesa Mukandala: Siyo watu wote wanataka katiba mpya, wengine wanaitaka hii iliyopo ila ifanyiwe marekebisho kidogo

    Kila siku nasikia viongozi wanapongezana wanafanya kazi nzuri sana sasa iweje hawapende katiba mpya? mtu kama ni mwema hana haja ya kuwa na hofu na sheria kali
  10. Jopaki

    Rais Samia Suluhu anakwenda kuzoa kura zote uchaguzi ujao

    Mama hana shida ila akamate majizi wanaokula hela za umma na kuweka katiba nzuri tuu
  11. Jopaki

    Nilichojifunza: Uchaguzi wa CCM hakuna kukosea kujaza fomu wala kupita bila kupingwa

    Unaonekana uko timam kabisa lakini nahisi unajitoa akili tuu kupima upepo
  12. Jopaki

    Jarida la Ebony liliponea chupuchupu kufungiwa biashara kwa kosa la kutumia picha ya Yesu mwenye asili ya Afrika (Black Jesus)

    Kwa kweli inabidi tutafakari sana, yalivyokuja mapinduzi ya viwanda kawakutaka kuleta huku ndio kwanza ata wagunduzi wetu walikatwa mikono lakini Africa hii kila kijiji haijalishi kipo mbali kiasi gani lazima awe mkristo au mwislam
  13. Jopaki

    Jarida la Ebony liliponea chupuchupu kufungiwa biashara kwa kosa la kutumia picha ya Yesu mwenye asili ya Afrika (Black Jesus)

    Kiukweli inawazisha sana, kwa vitu walivyotufanyia ilihitaji sijui akili gani kwa mtu mweusi kuukubali ukristo na uislam....
  14. Jopaki

    Kenya 2022 Kwa yanayoendelea Kenya, Nyerere apongezwe kuondoa ukabila

    Hayo unayosema Nyerere aliyasemea wapi ndugu yangu? tupe ata nukuu tukasome!! Hayo makabila uliyotaja jumlisha wahaya ndio watu walioelimika na yaliendelea angalau, sasa kulingana na poverty mentality yetu kuwa makabila madogo sijui ndio nn sasa
  15. Jopaki

    Kenya 2022 Afadhali ya NEC, ile IEBC ni aibu tupu. Tanzania tuko vizuri

    Watu wenye akili timam always wanapenda ku argue, kufananisha IEBC na NEC ni sawa na kichuguu na Kilimanjaro
  16. Jopaki

    Mambo mengi ya Serikali yetu yanafeli kwasababu ya wanaoyaendesha ni wasomi

    Halihitaji Phd kugundua hilo, matajiri wengi shule hawana.. serikalini nahisi ni mfumo tuu uliwekwa ila mwisho wa siku kila kitu kina sehemu yake
Back
Top Bottom