Search results

  1. A

    Dodoma: Viongozi wa BAVICHA Taifa wakamatwa kwa tuhuma za kuvaa T-Shirt zenye maneno ya kichochezi

    Dola ipo imara kweli kweli, wakileta fujo wapigwe... Na mimi nasema washa washa zifanye kazi.
  2. A

    'Maamuzi Magumu' na Tundu Lissu

    Shetani mwenyewe
  3. A

    Ugonjwa wa macho(red eyes)

    Hi, whats the causes of red eyes and treatment ?
  4. A

    Madhara ya sigara yasiyo tambulika

    Smoking is the single largest preventable cause of disease and premature death in the United States. It harms nearly every organ in your body – including your eyes. SMOKING AND CATARACTS Cataracts (clouding of the eye’s natural lens) are a leading cause of blindness in the world. More than 50...
  5. A

    Bank charger za neptunus

    BANK CHARGER ZA NEPTUNUS ZENYE UBORA WA KIPEKEE SIFA ZAKE ~ Kwanza inakaa na charge kwa muda mrefu kwani android phone moja inaweza kujaa kwa kutumia asilimia 5-8 ~Pili inaonesha kiasi kilichotumika ,mfano umeanza kucharge sim yako wakati bank charger yako ikiwa 100% mpaka sim yako kujaa inakuwa...
  6. A

    Mbolea bora

    BIO PLUS ORGANIC SEA WEED FERTILIZER Hii ni mbolea imetokanna na mimea au maotea ya majini. Hii ni mbolea ambayo ni ya asili kabisa kwani imetengenezwa kwa kuvundika mimea hii ya baharini na haina madhara kwa binadamu na mnyama yeyote. Hii mbolea inafaa kutumia kwa kuchanganya na viua wadudu...
  7. A

    Tamko la Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa Kiislam Tanzania

    Tafuta historia ya hospital ya Bugando ...acheni kuchangia msiyo kuwa na elimu nayo.
  8. A

    Tamko la Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa Kiislam Tanzania

    Kama hauna uelewa juu ya hili bora utulie tu .....Mahaskofu wenyewe nikama nani nchini kujibu hoja za wengine.? Tutaigawana nchi hii ka Sudan.
  9. A

    Mambo ya kuzingatia unapotaka kuanzisha biashara

    Its my destine,a man never give up .....just a time to discover ,have more time to study the game
  10. A

    Wewe ni nani?

    WEWE NI NANI? Najua utakuwa umeshapata jibu na umesema aaah huyu Bassanga maswali yake banah, sasa kuna kuna mtu ambae hajijui yeye ni nani! Lakini kiukweli hujui wewe ni nani. Hebu jiulize hapo ulipo wewe ni nani, ukipata jibu sahihi basi naamini hapo ndipo maisha yako yatakapoanza kubadilika...
  11. A

    Ufikiri wa watu wengi katika kuyaendea malengo

    In this business, by the time you realize you're in trouble, it's too late to save yourself. Unless you're running scared all the time, you're gone.-Bill Gates.
  12. A

    Jiongeze utafanikiwa

    JIONGEZE Ni kweli mazingira uliyokuzwa nilikuwa marufuku baba au mama akishaongea kitu alafu wewe nawe utoe mchango wako kwenye hilo jambo. Ukajikuta ukiambiwa safisha sebuleni wala huwezi kujiongeza ukasafisha na chumbani. Lakini sasa umeshakua mkubwa unaweza jiongeza usikubali hali ile...
  13. A

    Ufikiri wa watu wengi katika kuyaendea malengo

    TATIZO NI TAFSIR TULIZOZIBEBA TOKA KWA WAZAZI. Nikizungumza tafsiri nadhani unanielewa maisha yetu yako hapa yalipo kwa sababu ya tafsir tulizozibeba, hebu kumbuka mama yako alipokwambia tema mate tumchape mtoto mwenzako baada ya kukukosea ulibeba tafsiri kuwa lazima kila atakaekukosea...
  14. A

    Njia rahisi ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara

    Namna ya Kuanzisha na Kukuza Biashara Kutumia Fedha Za Watu Wengine Karibu katika safu hii ya wajasiliamali Kupata fedha za mtaji wa...
  15. A

    Je wewe ni nani?

    SIRI ILIYOJIFICHA NDANI YA BIASHARA YA MTANDAO SEHEM YA NNE Habari ndugu msomaji wa makala zangu matumaini yangu unaendelea vizuri hadi muda huu ambao umechukuwa kusoma tena makala haya ambayo yanaenda kuufungga ubongo wako sehem ambao ilikuwa imefungwa juu y biashara zilizo kwenye mfumo...
  16. A

    Panga malengo yako na yafanyie kazi

    UMUHIMU WA KUPANGA MALENGO NA KUYAANDIKA Habari ndugu mpenda mafanikio namatumaini yangu kuwa uko salama hadi wakati huu, niwakati mwingine tena tunakutana kwa mara nyingine kuhakikisha tunaufanya mwaka huu kuwa mwaka mwenye mafanikio kwetu, kipindi kilichopita tulijaribu kuangalia kuhusu...
  17. A

    Tujifunze sasa: Kuna uhusiano gani kati ya mfumo wa biashara ya mtandao na Umachinga?

    SIRI ILIYOJIFICHA NDANI YA BIASHARA KUNA UHUSIANO GANI KATI YA MFUMO WA BIASHARA YA MTANDAO NA UMACHINGA? Habari ndugu msomaji wa makala zangu? Ninaa matumaini uko salama hadi muda huu, jua sio kwa ujanja wako ila ni kwa neema za Mungu, na ukae ukijua Mungu amekuacha ili...
  18. A

    Biashara ya karne ya 21 ndo hii ndani ya neptunus

    Ha ha ha ha ha ukifanya biashara na bado ukawa ujakumbana na challenge,utakuwa bado ujafanya chochote.....maana ni vigumu sana kumlidhisha kila mtu....nafurahia sana challenge kwa sababu najifunza kitu kipya kila siku
Back
Top Bottom