Search results

  1. shabhibhii nafwa

    hili ndio kundi bora la mziki

    Wadau wa mziki hapa nchini kuna wanamziki wengi vilevile na wasanii kibao ambao ndo wengi zaidi. Kiboko yaoni kundi linaitwa WAMWIDUKA BAND wanamziki wa tanzania wasiojua mziki wakasome kwa hawa watoto. Ali kiba, Diamond na wengine mkajifunze mziki kwa hawa watoto sitanii huu ni ukweli...
  2. shabhibhii nafwa

    SGR bila demokrasia, ni zaidi ya utumwa

    Mkuu kiukweli ulichoandika kimenitia simanzi. Mimi na ww tunawajibu wa kufanya mageuzi katika nchi yetu. vinginevyo tutaumia. Hivi ikiwa miradi inayotekelezwa ipo chini ya kiwango nani atahoji maana rais wetu keshasema yy ni jiwe. 26/4 inatuhusu
  3. shabhibhii nafwa

    Mbunge Elibariki Kingu: Watu kutekwa na kuuawa ni kawaida, haina haja ya kulipeleka Bungeni

    Hakika tz hakuna bunge. muda mwingingine inatia huzuni . Kama huyo ni mbunge ambae wajibu wake ni kusimamia serikali. What's do you expecting ? Maandamano ya mange muhimu sana . Leo natangaza rasmi kuwa 26/4 nitaingia barabarani. pasco mayalla upon apo.
  4. shabhibhii nafwa

    Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi aliyeripotiwa kupotea, Abdul Nondo apatikana Mafinga mkoani Iringa

    mungu mkubwa. ila awe uliholo wane sijuinawe uwanza aje bhabebe maana ulinishihelehele sha post umu. najile utumile itawa lilenga saga uwomvwa. manyi wewe mwene. owo ushauli tu. kutekanatekana ni ushamba ndugu yangu
  5. shabhibhii nafwa

    Kendrick Lamar & SZA- all the stars: Wasanii wetu mna nini cha kujifunza?

    go utube search him. write wamwiduka band u will get a result
  6. shabhibhii nafwa

    Mnaotarajia kuandamana someni hii...

    nitaandamana. risasi za nini
  7. shabhibhii nafwa

    Kendrick Lamar & SZA- all the stars: Wasanii wetu mna nini cha kujifunza?

    mkuu wale jamaa wazuri sema wamekosa promo za midia alafu kuna dogo anaitwa wamwiduka hatari sana
  8. shabhibhii nafwa

    Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Mutungi awalima barua CHADEMA kwa kufanya maandamano Februari 16, 2018

    kwa kuandamana walivunja katiba ya wapi. maandamano no haki ya kikatiba. risasi za nini
  9. shabhibhii nafwa

    Watanzania wapo tayari-CCM yazidi kukataliwa.

    tupo wengi sana kwa mtaa sisiem tutawaonyesha pamoja na kuwa na uchwara hapo magogono. Risasi za nini ww si unakubalika?
Back
Top Bottom