Search results

  1. R

    Majimbo ambayo UKAWA wameshinda Ubunge lakini Magufuli ameongoza kura za Rais

    elewa vixuri ndo lugha gani mkuu?
  2. R

    Hili la CHADEMA kuajiri wageni kwenye uchaguzi sio jambo dogo

    asante mkuu. matumaini napata.
  3. R

    Kuolewa na mwanajeshi

    achana na maneno ya watu weye. songa mbele. so unamaanisha ndoa zote zenye matatizo ni wanajeshi.
  4. R

    Nahitaji gari kwa shilingi milioni 5 wakuu

    mh. hatujamsaidia kitu. natafuta Gari Toyota CAmi iwe kwenye hali nzuri. ofa yangu m.5
  5. R

    Wanandoa: Kama haukwaruzani na mwenza wako ni hatari

    mmh!!! raha Sana... asante nimeongeza siku
  6. R

    Huu unafiki wa Lowassa unatisha

    ha ha haaaa. umeiona hiyo mkuu! wanachanganikiwa kabla. he eee. wasubiri hilo jembe liingie ndo matako kulia mbwata
  7. R

    Wadada wa kazi na visa vyao, nimemtimua wangu jana

    ni makosa yamama. mdada wa kazi si kazi yake. huyo mke hafai anatoaje suruali ya mumewe bila kuikagua. pengine mdada kachoka. bila shaka hata boxer anafua mdada. house girl hakufata nguo chumbani kwa boss wake. na kama alifata. uzembe wa mama
  8. R

    Naombeni ushauri katika hili

    Uwe msukule Mara ngapi? washirikishe ndugu zako na hata viongozi wa dini. maaaaasikiiiiin poole
  9. R

    Walimu ajira mpya waliokosa mshahara wa mwezi huu

    Hilo tatizo si kwa walimu tu. Imetokea hata lea ajira mpya kada nyingine
  10. R

    Hivi kuna tabia ya kabila fulani?

    we kabila gani?
  11. R

    Upepo wapeperusha Kofia ya Papa Francis

    hivi kumbe mungu ndo yesu
  12. R

    Tutafika tu

    nimefurahi sana
  13. R

    Yupi mume bora kati ya hawa wawili? Nahitaji washauri wazuri sana ili kunisaida kushauri

    mmmh asiongeze idadi ya baba kwa watoto. A anamfaaa. anataka ahudumiwe vipi na Mtoto anatoa ada? amhudumie Mara ngapi name elim kampatia, tiba kamtibia afya iko vizuri kwa sasa. huyo B anampa matunzo ya mwanzo tu. hatokaa amlipie mwanae ada. wanawake wengine bhana. unadanganywa na mapenzi ya...
  14. R

    Serikali yashindwa kulipa mishahara mwezi Mei

    sim bankng inahusika
  15. R

    Serikali yashindwa kulipa mishahara mwezi Mei

    usiwe na papala
  16. R

    Mbavu kubana na kushindwa hata kukohoa kipindi cha baridi

    nipm nikuelekeze kitu kilichonisaidia Mimi kama we ni mdada
  17. R

    Polysistic Ovarian Syndrome: Kwa mwanamke anayetafuta mtoto

    we ndo mwenye tatizo sema ukweli. muombe mungu pia huku ukitumia dawa
  18. R

    Je, wajua dawa ya kuzuia kutapika?

    hiii Dawa inasaidia lakini wakati mwingine inadunda. mi nilitumia lakini ndo kwanza nikazidisha.
  19. R

    Unakumbuka ulikuwa wapi kwa mara ya kwanza unaona tamthili ya hawa jamaa?

    achaaaaaa! a man called God/ peter p ni hatareeeeee
Back
Top Bottom