Search results

  1. Cardinal06

    Mna moyo duh

    Mnaonunua nguo za ndani (chupi) za mtumba mna moyo sana!! . Endeleeni na moyo huo huo. Yajayo Yanafurahisha.
  2. Cardinal06

    Ushauri wenu wadau

    Hivi ni sawa kumuoa mwanamke aliyekuzidi umri?? Kidini imekaaje?? Mfano mwanamke amekuzidi miaka 4, nini madhara ya kibayolojia??
  3. Cardinal06

    Huawei Ascend Y530 inasumbua sana

    Nina simu yangu Huawei Ascend Y530 ina 4gb internal storage capacity ila inaonesha kwamba no enough storage masaa yote....nimerestore mara nyingi tu lkn baada ya cku mbili inaonesha no enough space in your internal storage. Wajuzi tafaadhal niambieni nn cha kufanya.
  4. Cardinal06

    Moshi tukutane hapa Krismas hii

    Kwa wale tulioko Moshi em tuelekezane mitaa, club, gardens, au sehem zozote nzuri kufanya mtoko jumatatu hii ya Sikukuu ya Krismas. . Mimi ntakuwa pale Mekuz Bistro, iko karibu na roundabout ya Arusha, njia inayoelekea Shanti.
  5. Cardinal06

    Kanisa la Walokole Laporomoka!

    IN SUMMARY Mchungaji wa kanisa hilo, Thomas Kipemba amesema licha ya kuporomoka kuta zake ambazo ziliwekewa nondo laini, litajengwa jingine kwa michango ya waumini zaidi ya 900 wanaoishi mji wa Muleba. Ngara. Kanisa Kuu la Pentekoste katika Mamlaka ya Mji Muleba mkoani Kagera, ambalo lilikuwa...
  6. Cardinal06

    Nchi zenye amani zaidi duniani

    List ya nchi zenye usalama zaidi duniani kwa mwaka 2016 imetoka hivi karibuni ambapo nchi 11 zimetajwa kuongoza kwa kuwa na usalama na amani zaidi. List hiyo ilihusisha mataifa 163 ambapoilijulikana yale yanayoongoza kwa amani na usalama pamoja na yale ambayo ni hatari zaidi kuishi kutokana na...
  7. Cardinal06

    Wenye nyumba za kupangisha kuisoma namba

    Serikali inatarajia kuwasilisha muswada mpya wa Sheria ya Fedha ya Mwaka 2016 bungeni unaotajwakuwa utawabana na kuwakamua watu mbalimbali wakiwamo wafanyabiashara na wamiliki wa nyumba. Muswada huo unaotarajiwa kuwasilishwa kwa maraya pili bungeni wiki ijayo, unakuja baada ya Juni 8, mwaka huu...
  8. Cardinal06

    Prof Lipumba 'kibarua kigumu' CUF

    Fidelis Butahe na Sharon Sauwa mwananchipapers@mwananchi.co.tz Chama cha Wananchi CUF, kimemtaka aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba kutojaribu kukiyumbisha chama katika kipindi hiki ambacho nchi ina matatizo lukuki. Kauli hiyo iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya...
  9. Cardinal06

    Pope Francis apitisha sheria mpya dhidi ya Makasisi katika Kanisa Katoliki

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Baba Mtakatifu Fransis ametangaza kuwa maaskofu wa kanisa hilo watakaoshindwa kushughulikia makasisi waliokumbwa na hatia ya kuwanyanyasa kingono watoto wadogo wanaweza kuondolewa katika madaraka yao. Sheria mpya ya Vatican iliyotolewa na Baba Mtakatifu...
  10. Cardinal06

    Kauli ya Mh. Majaliwa yashangaza wananchi Bagamoyo

    Bagamoyo. Zaidi ya kaya 900 zinazozungukwa na shamba la mradi mkubwa wa kilimo cha miwa wilayani Bagamoyo (Eco Energy) wamesema wamepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa ya kusitishwa kwa mradi huo iliyotolewa bungeni na Waziri Mkuu Kassim Mjaliwa, wakisema hawajalipwa fidia na hawajui hatima yao...
  11. Cardinal06

    Donald Trump apata kura nyingi Republican

    Bila ya kutarajiwa akiwa ameingia katika nafasi ya juu kwenye uwanja wa siasa za Marekani, bilionea Donald Trump amepata rasmi uteuzi wa chama cha Republican kuwania urais kwa mujibu wa hesabu ya wajumbe iliyofanywana shirika la habari la Associated Press-AP. Akiwa amebakiwa na wagombea...
  12. Cardinal06

    Maalim Seif Aja na Mapya Z'bar

    Dar/Zanzibar. Siku moja baada ya Jeshi la Polisi kusema limemwita katibu mkuu wa CUF ijumaa kwa ajili ya kumhoji kuhusu masuala ambayo hayakuwekwa wazi, wanasiasa nchini wamekuja juu wakisema hatua hiyo inaashiria ukandamizaji wa kisiasa, huku chama hicho kikisema kinasubiri tukio hilo ili kitoe...
  13. Cardinal06

    Mji mkongwe mwingine kugunduliwa Tanzania

    Mpiga mbizi mmoja anaamini amegundua kile ambacho huenda ni mji mkongwe kutoka pwani ya Tanzania ambao ulimezwa na bahari, kwa mujibu wa taarifa kutoka gazeti la nchini humo Dar Post. Katika blogu yake Alan Sutton amesema alikuwa kwenye helikopta akielekea kisiwa cha Maffia wakati 'aliona...
  14. Cardinal06

    Njoo PM tuchat

    Mwenye mzuka wa kuchat na hana wa kuchat naye nyt hii aje PM tuendeleze . Asanteni
  15. Cardinal06

    Tiba Asili wamjibu Dr Kigwangala

    SIKU chache baada ya Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamis Kigwangalla, kutoa tamko la kuwataka watoa huduma za tiba asili na mbadala, tamko hilo limepingwa na Jukwaa la Tiba Asilia na Mbadala Tanzania. Katika tamko lake, Dkt. Kigwangalla alipiga marufuku...
  16. Cardinal06

    Waziri aipa Polisi siku moja kujieleza!

    Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga ametoa siku moja kwa Jeshi la Polisi kueleza ni kwa nini askari hawalindi Bandari ya Dar es Salaam badala yake kazi hiyo inafanywa na kampuni binafsi za ulinzi. Kitwanga amepanga kukutana na viongozi waandamizi wa Polisi kesho ili...
  17. Cardinal06

    Kilichomng'oa Dr. Hosea Takukuru hiki hapa!

    RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Dk Edward Hoseah. Aidha, ameamuru kusimamishwa kazi kwa watumishi waandamizi wanne wa taasisi hiyo kwa kukiuka maagizo yake. Rais ametengua uteuzi huo wa Dk Hoseah, kutokana na...
  18. Cardinal06

    Mchakato Mahakama ya Mafisadi waanza

    Dar es Salaam. Utekelezaji wa ahadi za Rais John Magufuli unazidi kushika kasi baada ya kuanza kwa mchakato wa kuanzisha mahakama maalumu ya kuwashughulikia mafisadi. Jaji Kiongozi, Shaban Lila alisema jana kuwa tayari wadau mbalimbali wa haki jinai wameanza kukutana kuangalia namna ya...
  19. Cardinal06

    Nmeokota hirizi!!!

    Kama kuna aliyepoteza humu anitafute PM chap chap. . . Asanteni kwa ushirikiano wenu.
  20. Cardinal06

    Natafuta mke

    Awe mmachame. Najua sifa nyingine atakuwa nazo tu. . . Bichwa langu ndo limenshauri hvo pliiiiiiiz wandugu
Back
Top Bottom